LIGI KUU: Tambwe aipaisha Yanga, Simba yashikwa
Baada ya ukame wa mabao katika michezo miwili mfululizo, mshambuliaji Amissi Tambwe jana alifunga mabao matatu ‘hat trick’ ya kwanza msimu huu na kuisaidia Yanga kupata ushindi mnono wa mabao 4-0 na kuendelea kuongoza ligi kwa kufikisha pointi 30.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Mwananchi20 Feb
LIGI KUU BARA: Yanga yang’ara, Azam yashikwa
9 years ago
Mwananchi25 Sep
Makocha Ligi Kuu wazichambua Simba, Yanga
9 years ago
Raia Tanzania21 Aug
Simba, Azam zatofautiana na Yanga ratiba ligi Kuu
SIKU moja baada ya Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), kutangaza ratiba ya Ligi Kuu Tanzania Bara, Uongozi wa Mabingwa wa ligi hiyo, Yanga umeibuka na kuipinga kwa madai kuwa haikuwatendea haki.
Ligi hiyo inatarajiwa kuanza kutimua vumbi Septemba 12 kwa michezo saba ya ufunguzi kuchezwa katika viwanja tofauti nchini.
Katibu Mkuu wa Yanga, Jonas Tibohora, alisema kuwa wao hawajaridhika na upangaji wa ratiba hiyo, na inaonyesha wazi nia yao ni kutaka wafanye vibaya msimu...
10 years ago
Tanzania Daima15 Sep
Mateso ya Yanga, Simba SC Ligi Kuu ndio uhai wa soka
KIVUMBI cha Ligi Kuu Tanzania Bara, kitaanza Septemba 20, kwa miamba 14 kuanza vita ya kuwania ubingwa wa ligi hiyo huku timu kongwe za Simba na Yanga zikiwa na kazi...
9 years ago
Mwananchi16 Sep
UHONDO WA LIGI KUU: Simba na kisasi, Yanga, Azam kasi
10 years ago
Mwananchi25 Oct
LIGI KUU BARA: Kumekucha Simba, Yanga, Azam vitani leo
10 years ago
Mwananchi21 Nov
Yanga, Simba zagawa wachezaji kwa klabu 11 za Ligi Kuu Bara
11 years ago
Mwananchi28 Jan
Tambwe apata hofu Ligi Kuu