WANANCHI WAMZUIA MGOMBEA MWENZA WA CCM BARABARANI MWANGA
Bi. Samia Othuman Suluhu akipokewa na baadhi ya viongozi na makada wakiwa kwenye mkutano huo.
Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.
BAADHI ya wananchi na wapenzi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) wamelazimika kuuzuia msafara wa mgombea mwenza wa nafasi ya urais alipokuwa njiani akitokea Wilaya ya Same kuelekea Wilayani Mwanga mkoani Kilimanjaro huku wakimuomba awasalimu na kuzungumza nao, kabla ya kuendelea na safari yake.
Bi. Samia Suluhu alilazimika kuusimamisha msafara wake baada ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
StarTV25 Aug
Wananchi wazuia msafara wa Mgombea mwenza wa CCM-Mwanga

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye mkutano huo.

10 years ago
Dewji Blog15 Sep
Mgombea mwenza CCM aupukutisha upinzani Lindi, 61 wajiunga CCM, wamo viongozi



10 years ago
Vijimambo
MGOMBEA MWENZA CCM APUKUTISHA UPINZANI LINDI, 61 WAJUNGA NA CCM WAMO VIONGOZI



10 years ago
Vijimambo
PICHA: MGOMBEA WA URAIS KWA TIKETI YA CCM DKT. JOHN MAGUFULI NA MGOMBEA MWENZA MH. SAMIA SULUHU WACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS









10 years ago
Michuzi
Mgombea Mwenza CCM Mama Samia Suluhu Hassan apukutisha Upinzani Lindi, 61 Wajiunga CCM, Wamo Viongozi




10 years ago
Michuzi30 Aug
MGOMBEA MWENZA WA CCM SAMIAH SULUHU ANADI ILANI YA CCM MWAKA 2015 KATIKA KATA YA KYENGEGE,WILAYA YA IRAMBA


10 years ago
Vijimambo
Mgombea Mwenza CCM akiwa Tanga



10 years ago
Habarileo13 Jul
Samia awa mgombea mwenza CCM
KWA mara ya kwanza Chama Cha Mapinduzi (CCM) kimemteua mwanachama wake mwanamke kuwa mgombea mwenza wa urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu waOktoba 25, mwaka huu na kuweka historia.
10 years ago
Dewji Blog29 Aug
Wanawake wamlilia maji mgombea mwenza wa CCM
Mgombea mwenza wa CCM nafasi ya urais, Bi. Samia Suluhu akiwasikiliza akinamama wakimuelezea kero ya maji baada ya kumsimamisha na kumpa kero hizo Jimboni Longido.
Wakinamama wilayani Longido wakiendelea kuteka maji kwa zamu baada ya kumaliza kumueleza kero zao Bi. Samia Suluhu aliepita maeneo hayo.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la Monduli wakiwa kwenye mkutano wa hadhara wa mgombea mwenza nafasi ya urais wa CCM, Bi. Samia Suluhu.
Baadhi ya wanaCCM na wananchi wa Jimbo la...