MFUNGO WAMZUIA MLELA KWA MPENZIWE
![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPvGFuJq2de6wE8BQnTfBUEFNcC*prdn-zKpVbP4fGhGAeFVLNXqwBQRn1f3rQOiRoMGnWheESqqpHl*XZs0qMdT/mlela.jpg)
Stori: Gladness Mallya NYOTA wa filamu Bongo, Yusuph Mlela hataweza kuonana na mpenzi wake ambaye pia ni mzazi mwenzake kutokana na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Nyota wa filamu Bongo, Yusuph Mlela. Akipiga stori na gazeti hili, Mlela alisema alikuwa na desturi ya kwenda kwa mzazi mwenzake kila siku kwa ajili ya kwenda kumuona mwanaye, Mwantumu lakini kwa mwezi huu itakuwa ngumu kutokana na misingi ya dini yake....
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo26 Dec
Atuhumiwa kuua mpenziwe kwa kumvuta korodani
JESHI la Polisi mkoani Simiyu linamshikilia mwanamke na mkazi wa Kijiji cha Usiulize wilayani Meatu kwa tuhuma za kumuua mpenzi wake kwa kumvuta korodani, kutokana na wivu wa kimapenzi.
5 years ago
CCM Blog![](https://1.bp.blogspot.com/-zBRfWR6A3A0/XspW20SQOKI/AAAAAAACLbg/BbwzfQ8ICO4iEPPkptGX3Ha6IsG25qhHgCLcBGAsYHQ/s72-c/IMG_20200322_125827_308.jpg)
RAIS DK. MAGUFULI AWAPONGEZA WAISLAM KWA KUMALIZA MFUNGO WA RAMADHANI, AWASHUKURU KWA KULIOMBEA TAIFA DHIDI YA CORONA
![](https://1.bp.blogspot.com/-zBRfWR6A3A0/XspW20SQOKI/AAAAAAACLbg/BbwzfQ8ICO4iEPPkptGX3Ha6IsG25qhHgCLcBGAsYHQ/s400/IMG_20200322_125827_308.jpg)
RAIS Dk. John Magufuli amewapongeza Waislam wote nchini kwa kumaliza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku akiwashuru kwa namna walivyoshiriki kuliombea Taifa hasa katika kipindi hiki cha kukabilia na ugonjwa wa COVID-19.
Hayo yamesemwa leo (Jumapili, Mei 24, 2020) na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akizungumza na waumini wa dini ya kiislam mara baada ya kumaliza kuswali sala ya Eid El Fitri katika Msikiti wa Gaddafi, jijini Dodoma. Pia Rais Dkt. Magufuli...
10 years ago
Michuzi14 Jan
Waumini wa Mwembetanga kwa Karagosi waadhimisha Maulidi ya Mfungo Sita
![](https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpf1/v/t1.0-9/10929563_10155059878775247_3913798444414577470_n.jpg?oh=8a548382d15afcae09ca57c5f0ee6074&oe=5565ADD3&__gda__=1433093036_626af3b61ff199e263fcac8648094610)
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQgHU39qHbOP8ehDkSsn5YgELz*OhIa1fdAV8s1*ID1IdRRNe9H2YAY5d9mfO*iiJZRj9RA6J30b6s8LoviAX9sV/Mlela.jpg)
MLELA: NIMEPATA MTOTO KWA BAHATI MBAYA!
10 years ago
BBCSwahili07 Oct
Mpishi amchinja na 'kumpika' mpenziwe
10 years ago
BBCSwahili07 Feb
Aganda katika barafu akimtafuta mpenziwe
10 years ago
Tanzania Daima29 Aug
CHADEMA wamzuia Mbowe
HATIMAYE Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Freeman Mbowe, amekubali ombi la Wazee la kumtaka atetea nafasi hiyo katika uchaguzi mkuu utakaofanyika Septemba 14 mwaka huu. Licha ya...
10 years ago
Tanzania Daima31 Aug
Wananchi wamzuia JK awasikilize
MSAFARA wa Rais Jakaya Kikwete, jana ulizuiwa mara mbili tofauti na wananchi wa vijiji vya Handali na Ndebwa Wilaya ya Chamwino mkoani Dodoma, wakimshinikiza asikilize kero zao. Kikwete ambaye alikuwa...
11 years ago
Tanzania Daima07 Feb
Wamzuia mbunge waeleze kero
WANANCHI wa Kijiji cha Kwefingo kilichopo Kata ya Dindira, wilayani Korogwe, walizuia msafara wa Mbunge wa Korogwe Vijijini, Stephen Ngonyani ‘Profesa Majimarefu’, ili waweze kumweleza kero zao. Wananchi hao waliokuwa...