Waumini wa Mwembetanga kwa Karagosi waadhimisha Maulidi ya Mfungo Sita
Vijana na wazee wa kiIslamu wa MwembeTanga wamefanikisha kuadhimisha Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yaliosomwa Siku ya Jumanne Jan 13 ,2015 sawa na Rabii Awal 1436Maulidi hayo walioaza rami mida ya Saa tatu usiku maraa tu baada kusaliwa sala ya Ishaa, katika Mtaa wa Mwembetanga maarufu (Kwa Karagosi) Zanzibar ambapo Wazee na vijana hao huuandaa maulidi kila mwaka, ifikapo mwezi wa kuzaliwa Mtume Muhammed S.A.W.Muongozaji Maulidi ya Mwembetanga kwa karagosi MC Imam Sadat...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Vijimambo
Waumini wa Mwembetanga kwa Karagosi waadhimisha Maulidi ya Mfunga Sita

9 years ago
Dewji Blog06 Jan
Maulidi ya Mfungo Sitta Muembetanga yafana
Angalia taswira za Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yalioandaliwa na wazee pamoja na vijana wa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.


Wasomaji wa Maulidi ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yaliosomwa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.


11 years ago
Michuzi.jpg)
WAUMINI WA KANISA LA ADVENTISTA LA WASABATO WAADHIMISHA SIKU YA MATENDO YA HURUMA KWA KUCHANGIA DAMU
10 years ago
Vijimambo31 Aug
Waumini wakatoliki wa DMV waadhimisha ibada ya misa ya Kiswahili Baltimore Md.








5 years ago
CCM Blog
RAIS DK. MAGUFULI AWAPONGEZA WAISLAM KWA KUMALIZA MFUNGO WA RAMADHANI, AWASHUKURU KWA KULIOMBEA TAIFA DHIDI YA CORONA

RAIS Dk. John Magufuli amewapongeza Waislam wote nchini kwa kumaliza mfungo wa mwezi Mtukufu wa Ramadhani huku akiwashuru kwa namna walivyoshiriki kuliombea Taifa hasa katika kipindi hiki cha kukabilia na ugonjwa wa COVID-19.
Hayo yamesemwa leo (Jumapili, Mei 24, 2020) na Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, wakati akizungumza na waumini wa dini ya kiislam mara baada ya kumaliza kuswali sala ya Eid El Fitri katika Msikiti wa Gaddafi, jijini Dodoma. Pia Rais Dkt. Magufuli...
11 years ago
GPL
MFUNGO WAMZUIA MLELA KWA MPENZIWE
10 years ago
MichuziSTAR TIMES WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA JIJINI DAR
11 years ago
Habarileo05 Aug
Waumini Moravian kizimbani kwa kujeruhi
WAUMINI watatu wa Kanisa la Moravian Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu mashitaka ya kumjeruhi askari wa Jeshi la Polisi.