Waumini wa Mwembetanga kwa Karagosi waadhimisha Maulidi ya Mfunga Sita
![](http://1.bp.blogspot.com/-Ecys3OIfNNw/VLWErn16m8I/AAAAAAAAQEs/8eSsmBtqy7g/s72-c/10929007_10155060024685247_321126672212360873_n.jpg)
Vijana na wazee wa kiIslamu wa M/Tanga wamefanikisha kuadhimisha Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yaliosomwa Siku ya Jumanne Jan 13 ,2015 sawa na Rabii Awal 1436 Maulidi hayo walioaza rami mida ya Saa tatu usiku maraa tu baada kusaliwa sala ya Ishaa, katika Mtaa wa Mwembetanga maarufu (Kwa Karagosi) Zanzibar ambapo Wazee na vijana hao huuandaa maulidi kila mwaka, ifikapo mwezi wa kuzaliwa Mtume Muhammed S.A.W Mapambo ya jukwaa: Maandalizi ya jukwaa maalumu kwaajili ya...
Vijimambo
Habari Zinazoendana
10 years ago
Michuzi14 Jan
Waumini wa Mwembetanga kwa Karagosi waadhimisha Maulidi ya Mfungo Sita
![](https://fbcdn-sphotos-h-a.akamaihd.net/hphotos-ak-xpf1/v/t1.0-9/10929563_10155059878775247_3913798444414577470_n.jpg?oh=8a548382d15afcae09ca57c5f0ee6074&oe=5565ADD3&__gda__=1433093036_626af3b61ff199e263fcac8648094610)
11 years ago
Michuzi![](http://2.bp.blogspot.com/-NOsDz0mkAX4/UySLw7EnAFI/AAAAAAAFTrM/yUbFXlH-I1k/s72-c/unnamed+(26).jpg)
WAUMINI WA KANISA LA ADVENTISTA LA WASABATO WAADHIMISHA SIKU YA MATENDO YA HURUMA KWA KUCHANGIA DAMU
9 years ago
Vijimambo31 Aug
Waumini wakatoliki wa DMV waadhimisha ibada ya misa ya Kiswahili Baltimore Md.
![IMG_9991](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/08/img_9991.jpg?w=714)
![IMG_9954](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/08/img_9954.jpg?w=714)
![IMG_9952](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/08/img_9952.jpg?w=714)
![IMG_9956](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/08/img_9956.jpg?w=714)
![IMG_9975](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/08/img_9975.jpg?w=714)
![IMG_9977](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/08/img_9977.jpg?w=714)
![IMG_9988](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/08/img_9988.jpg?w=714)
![IMG_9998](https://sundayshomari.files.wordpress.com/2015/08/img_9998.jpg?w=714)
9 years ago
MichuziSTAR TIMES WAADHIMISHA WIKI YA HUDUMA KWA WATEJA JIJINI DAR
11 years ago
Habarileo05 Aug
Waumini Moravian kizimbani kwa kujeruhi
WAUMINI watatu wa Kanisa la Moravian Dar es Salaam wamepandishwa kizimbani katika Mahakama ya Wilaya ya Kinondoni kujibu mashitaka ya kumjeruhi askari wa Jeshi la Polisi.
10 years ago
Tanzania Daima02 Oct
Kanisa latoa tahadhari kwa waumini
WAZEE wa Kanisa la Ufunuo lililopo Sinza, Dar es Salaam, wametoa tahadhari kwa waumini wa kanisa hilo kuwa makini na watu wanaotumia majina ya watu kuchafua viongozi hao. Akizungumza na...
10 years ago
MichuziSOS WAADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA KWA MWANZILISHI WA VIJIJI VYA WATOTO DUNIANI
Akizungumza na leo katika maadhimisho ya kuezi kuzaliwa kwa mwanzilishi Vijiji vya Watoto SOS,Herman Gmeiner,Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS,Anglolwisye Mwollo-ntalima,amesema kuwa kila juni 23 kila mwaka wanaadhimisho kuzaliwa kwa Gmeiner.Mwollo-ntalima amesema kuwa kutokana na mwanzilishi huyo kwa sasa Rais wa SOS ni mtu aliyetokana na...
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-_yJRapBsGC0/XqVHT6FgFnI/AAAAAAALoQg/8fBXM1cu08kEzIA7kF8gZOvqQGxiKkhkgCLcBGAsYHQ/s72-c/index.jpg)
KANISA KUGAWA BARAKOA KWA WAUMINI WAKE
![](https://1.bp.blogspot.com/-_yJRapBsGC0/XqVHT6FgFnI/AAAAAAALoQg/8fBXM1cu08kEzIA7kF8gZOvqQGxiKkhkgCLcBGAsYHQ/s400/index.jpg)
Katika kupambana na maambukizi ya virusi vya ugonjwa wa Corona (Covid 19), Paroko wa parokia ya Mt. Vicent wa Paulo Katubuka jimbi la Kigoma Padre Stephene Shaiju amesema kanisa limeandaa mkakati wa kuhakikisa kila muumuni anapata barakoa 2 bure kutokana na barakoa kuuzwa bei ambayo siyo kila mtu anaweza kuimudu.
Ameyasema hayo wakati wa misa takatifu iliyoazimishwa parokiani hapo baada ya Daktari kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi hivyo.
Padre Shaiju...