Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KANISA KUGAWA BARAKOA KWA WAUMINI WAKE

Na Editha Karlo,Kigoma.
Katika kupambana na maambukizi ya virusi vya  ugonjwa wa Corona (Covid 19), Paroko wa parokia ya Mt. Vicent wa Paulo Katubuka jimbi la Kigoma Padre  Stephene Shaiju amesema kanisa limeandaa mkakati wa kuhakikisa kila muumuni anapata barakoa 2 bure kutokana na barakoa kuuzwa bei ambayo siyo kila mtu anaweza kuimudu.

Ameyasema hayo wakati wa misa takatifu iliyoazimishwa parokiani hapo baada ya Daktari kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi hivyo.

Padre Shaiju...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

5 years ago

Michuzi

Njombe:Waumini wa kanisa la KKKT watakiwa kuvaa barakoa wanapoingia kanisani

Na Amiri kilagalila, NjombeWAUMINI wa kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania dayosisi ya kusini,wametakiwa kuhakikisha wanavaa barakoa wanapofika ibadani.
Wito huo umetolewa na askofu wa kanisa hilo dayosisi ya kusini Dkt,George Fihavango mara baada ya ibada ya Jumapili katika kanisa la hilo usharika wa Mji Mwema mjini Makambako,ambapo amesema kuwa waumini wote wanatakiwa kuvaa barakoa wanapokuwa ibadani ili waweze kukabiliana na maambukizi ya virusi vya Corona.
Aidha ametoa wito kwa wakuu...

 

5 years ago

CCM Blog

KANISA HALISI LA MUNGU BABA LAWAJENGA WAUMINI WAKE KIUCHUMI

Katika ibada ya Jumapili iliyopita, Kanisa Halisi la Mungu Baba, lilitumia ibada hiyo kufanya maonyesho makubwa ya bidhaa na huduma mbalimbali. ibada hiyo kwa mujibu wa Kanisa hilo inaitwa 'Mauzo ya Uzalishaji'.  mtiririko w ibada hiyo iliyoongozwa na Kiongozi wa Kanisa hilo Baba wa Uzao, ni ifuatayo;

KWA NINI IBADA NI UZALISHAJI?

UFUNGUO:
Katika Mathayo 21:13 Yesu aliwaambia watu aliowakuta wanafanyia biashara hekalumi kwamba; “Nyumba yangu itakuwa Nyumba ya Sala, lakini nyie mumeifanya kuwa...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Kanisa latoa tahadhari kwa waumini

WAZEE wa Kanisa la Ufunuo lililopo Sinza, Dar es Salaam, wametoa tahadhari kwa waumini wa kanisa hilo kuwa makini na watu wanaotumia majina ya watu kuchafua viongozi hao. Akizungumza na...

 

11 years ago

GPL

WAUMINI 30 WA KANISA LA MORAVIAN KORTINI KWA VURUGU

Hii ni safari ya kwenda kusomewa mashitaka yao.
Akina mama wakificha sura zao baada ya kutoka mahakamani.
Watuhumiwa wakiingizwa mahakamani.  …

 

11 years ago

Habarileo

'Viongozi wa dini acheni kugawa waumini'

WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Uwezeshaji na Uwekezaji, Dk Merry Nagu ameasa viongozi wa dini zote nchini, kutowagawa waumini wao kwa misingi ya vyama vyao.

 

11 years ago

Michuzi

WAUMINI WA KANISA LA ADVENTISTA LA WASABATO WAADHIMISHA SIKU YA MATENDO YA HURUMA KWA KUCHANGIA DAMU

Mpango wa Taifa wa Damu salama kwa kushirikiana na waumini wa dhehebu la Sabato wameendesha zoezi la kuchangia damu katika mikoa mbalimbali hapa nchini. Mikoa hiyo ni Dar-es-salaam, Dodoma, Mwanza, Kilimanjaro,Tabora, Mara, Morogoro, Mbeya na Iringa, lengo likiwa  ni kukusanya chupa 3000 katika mikoa hiyo. Akiongea na waumini waliofika katika kituo cha Damu salama ilala mchikichini Askofu wa Jimbo la Mashariki ambalo linajumuisha mikoa ya Dar-es-salaam, pwani, Dodoma, Morogoro, Lindi,...

 

10 years ago

GPL

TANZACOMEDY KUGAWA VITAMBULISHO KWA WANACHAMA WAKE

Wasanii wa komedi wakiwa kwenye kikao. Mwenyekiti wa Chama cha Komedi, Habibu Mrisho, akifungua zoezi la kupiga picha kwa ajili ya vitambulisho vya uanachama. Mwenyekiti Msaidizi wa Tanzacomedy, Pili Majeshi ‘Hellen’, akipiga picha.…

 

11 years ago

Michuzi

BARAZA LA WAZEE KANISA LA MORAVIAN TABATA LAWATOA HOFU WAUMINI, LAKANUSHA TAARIFA YA KUZUILIWA KWA IBADA

Wakili wa kujitegemea wa Baraza la wazee wa kanisa la Moravian Usharika wa Tabata Bw. Benjamin Mwakambe akiongea na waandishi wa habari kuhusu amri ya iliyotolewa na mahakama kuzuia Bodi ya wadhamini wa kanisa la Moravian Kanda ya Kusini kusimamisha huduma za kiroho na kijamii katika eneo hilo. Wengine ni Mzee Kiongozi wa Usharika huo Bw.Ernest Isakwisa(kulia) na Hamphrey Mgema (kushoto) Baadhi ya Wazee wa Kanisa la Moravian usharika wa Tabata wakifuatilia masuala mbalimbali wakati wa...

 

10 years ago

GPL

MR.UWAZI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE

Mr.Uwazi akijiandaa kumpatia zawadi msomaji eneo la Temeke baada ya kumkuta akiwa na Gazeti la Uwazi Mizengwe. Mr. Uwazi akipozi na wasomaji wa Gazeti la Mizengwe …

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani