Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


TANZACOMEDY KUGAWA VITAMBULISHO KWA WANACHAMA WAKE

Wasanii wa komedi wakiwa kwenye kikao. Mwenyekiti wa Chama cha Komedi, Habibu Mrisho, akifungua zoezi la kupiga picha kwa ajili ya vitambulisho vya uanachama. Mwenyekiti Msaidizi wa Tanzacomedy, Pili Majeshi ‘Hellen’, akipiga picha.…

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

mtandao wa wasanii tanzania (Shiwata) kugawa viwanja bure kwa wanachama wake mkuranga


WILAYA ya Mkuranga katika mkoa wa Pwani imepanga kupeleka Mwenge wa uhuru katika kijiji cha wasanii kilichopo MWANZEGA, Mkuranga Julai 22, mwaka huu, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Cassim  Taalib amesema 

Bw. Taalib kasema kuwa mwenge utapokelewa kutoka wilaya ya Rufiji katikia kijiji cha Kiparang’anda na baadaye utakwenda moja kwa moja katika kijiji cha wasanii na wanamichezo cha Mwanzega ambako utawasili saa 7 mchana.
Alisema kutokana na ujio wa ugeni huo mkubwa SHIWATA...

 

5 years ago

Michuzi

KANISA KUGAWA BARAKOA KWA WAUMINI WAKE

Na Editha Karlo,Kigoma.
Katika kupambana na maambukizi ya virusi vya  ugonjwa wa Corona (Covid 19), Paroko wa parokia ya Mt. Vicent wa Paulo Katubuka jimbi la Kigoma Padre  Stephene Shaiju amesema kanisa limeandaa mkakati wa kuhakikisa kila muumuni anapata barakoa 2 bure kutokana na barakoa kuuzwa bei ambayo siyo kila mtu anaweza kuimudu.

Ameyasema hayo wakati wa misa takatifu iliyoazimishwa parokiani hapo baada ya Daktari kutoa elimu ya kujikinga na maambukizi ya virusi hivyo.

Padre Shaiju...

 

10 years ago

GPL

MR.UWAZI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE

Mr.Uwazi akijiandaa kumpatia zawadi msomaji eneo la Temeke baada ya kumkuta akiwa na Gazeti la Uwazi Mizengwe. Mr. Uwazi akipozi na wasomaji wa Gazeti la Mizengwe …

 

11 years ago

GPL

MR CHAMPIONI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR

Mr Championi (kushoto) akimpa zawadi mama baada ya kununua gazeti la Championi Shinda Mahera. Msomaji akijiandaa kujaza kuponi ya Championi Shinda Mahera maeneo ya Ubungo Stand.…

 

10 years ago

GPL

MR.UWAZI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR

Mkazi wa Mbezi Mwisho akipozi na Mr.Uwazi baada ya kurudishiwa pesa yake aliyonunulia gazeti. Mr.Uwazi akiongea na msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho huku akitoa maoni yake ya nini kifanyike ndani ya gazeti hilo ili liendelee kuwa bora.…

 

9 years ago

Michuzi

CCM YAKANUSHA UVUMI WA HABARI YA MGOMBEA WAKE WA URAIS DKT JOHN MAGUFULI KUAHIDI KUGAWA KOMPYUTA KWA WALIMU NCHINI

Katibu wa NEC,Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akifafanua jambo mbele ya Waandishi wa habari (hawapo pichani) katika Ofisi ndogo ya Makao Makuu ya Chama hicho,Lumumba jijini Dar,kuhusiana na madai ya kauli inayodaiwa kutolewa na Mgombea wa Urais wa Chama hicho Dkt John Magufuli kuwa kupitia Ilani yake ya chama atatoa kompyuta kwa Walimu nchi nzima iwapo CCM itapita madarakani,habari ambazo Nape amezikunusha vikali na kusema hayo ni maneno ya uzusihi na kuwa Dkt Magufuli hajawahi kutamka...

 

10 years ago

Michuzi

SHIWATA WAGAWA MASHAMBA KWA WANACHAMA WAKE

Msanii Maarufu nchini Ahmed Olotu 'Mzee Chilo' wa kwanza kulia akimsikiliza mwenyekita wa SHIWATA Cassim Taalib wa pili kushoto  walipokuwa wakigawa mashamba kwa ajili ya wanachama waoWatakaohamia kijiji cha wasanii kupewa bustani bure

Na Mwandishi Wetu

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umetoa bure kwa wanachama wake wanaomiliki nyumba katika kijiji chao cha Mwanzega Mkuranga ya eneo la kulima bustani.

Mwenyekiti wa SHIWATA,Cassim Taalib aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana...

 

11 years ago

Mwananchi

Saccos yapunguza riba kwa wanachama wake

Chama cha Akiba na Mikopo cha Mazombe Saccos Ltd, Wilaya ya Kilolo, mkoani hapa, kimepunguza riba ya mikopo kwa wanachama wake kutoka asilimia tatu kwa mwezi hadi 2.5.

 

11 years ago

Michuzi

LAPF YATOA MIKOPO YA ELIMU KWA WANACHAMA WAKE

 Kaimu meneja Masoko wa LAPFBi Rehema Mkamba akitoa maelezo kwa wananchi na wanachama waliotembelea banda la lapf Nane Nane Mjini Dodoma. Afisa matekelezo wa LAPF  Bi Christina Mbaga akitoa maelezo juu ya Mkopo wa Elimu unaotolewa kwa wanachama wa LAPF. Mkopo huu umekuwa kivutio kikubwa kwa wanachama na wasio wanachama.  Afisa Mifumo ya Computer Bi. hilda Kato akifafanua jambo kwa wanachama waliotembelea bandani hapo. Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF walioshiriki katika maonyesho ya Nane...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani