Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SHIWATA WAGAWA MASHAMBA KWA WANACHAMA WAKE

Msanii Maarufu nchini Ahmed Olotu 'Mzee Chilo' wa kwanza kulia akimsikiliza mwenyekita wa SHIWATA Cassim Taalib wa pili kushoto  walipokuwa wakigawa mashamba kwa ajili ya wanachama waoWatakaohamia kijiji cha wasanii kupewa bustani bure

Na Mwandishi Wetu

MTANDAO wa Wasanii Tanzania (SHIWATA) umetoa bure kwa wanachama wake wanaomiliki nyumba katika kijiji chao cha Mwanzega Mkuranga ya eneo la kulima bustani.

Mwenyekiti wa SHIWATA,Cassim Taalib aliwaambia waandishi wa habari Dar es Salaam jana...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

mtandao wa wasanii tanzania (Shiwata) kugawa viwanja bure kwa wanachama wake mkuranga


WILAYA ya Mkuranga katika mkoa wa Pwani imepanga kupeleka Mwenge wa uhuru katika kijiji cha wasanii kilichopo MWANZEGA, Mkuranga Julai 22, mwaka huu, Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Cassim  Taalib amesema 

Bw. Taalib kasema kuwa mwenge utapokelewa kutoka wilaya ya Rufiji katikia kijiji cha Kiparang’anda na baadaye utakwenda moja kwa moja katika kijiji cha wasanii na wanamichezo cha Mwanzega ambako utawasili saa 7 mchana.
Alisema kutokana na ujio wa ugeni huo mkubwa SHIWATA...

 

11 years ago

Mwananchi

Saccos yapunguza riba kwa wanachama wake

Chama cha Akiba na Mikopo cha Mazombe Saccos Ltd, Wilaya ya Kilolo, mkoani hapa, kimepunguza riba ya mikopo kwa wanachama wake kutoka asilimia tatu kwa mwezi hadi 2.5.

 

10 years ago

GPL

TANZACOMEDY KUGAWA VITAMBULISHO KWA WANACHAMA WAKE

Wasanii wa komedi wakiwa kwenye kikao. Mwenyekiti wa Chama cha Komedi, Habibu Mrisho, akifungua zoezi la kupiga picha kwa ajili ya vitambulisho vya uanachama. Mwenyekiti Msaidizi wa Tanzacomedy, Pili Majeshi ‘Hellen’, akipiga picha.…

 

11 years ago

Michuzi

LAPF YATOA MIKOPO YA ELIMU KWA WANACHAMA WAKE

 Kaimu meneja Masoko wa LAPFBi Rehema Mkamba akitoa maelezo kwa wananchi na wanachama waliotembelea banda la lapf Nane Nane Mjini Dodoma. Afisa matekelezo wa LAPF  Bi Christina Mbaga akitoa maelezo juu ya Mkopo wa Elimu unaotolewa kwa wanachama wa LAPF. Mkopo huu umekuwa kivutio kikubwa kwa wanachama na wasio wanachama.  Afisa Mifumo ya Computer Bi. hilda Kato akifafanua jambo kwa wanachama waliotembelea bandani hapo. Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF walioshiriki katika maonyesho ya Nane...

 

10 years ago

Michuzi

NHIF LINDI WATOA ELIMU KATA KWA KATA KWA WANACHAMA WAKE,SANJARI NA UPIMAJI WA AFYA BURE KWA WANANCHI WILAYANI RUANGWA

Meneja wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF) Ofisi ya Mkoa wa Lindi,Fortunata Raymond akitoa Mada ya Maboresho yanayotekelezwa na Mfuko hususani kitita cha Mafao kwa Wanachama katika Kata namichiga Wilayani Ruangwa ambapo pia aliwataka kutumia Mkutano huo kubainisha Changamoto hasi na Chanya zitakazowezesha Maboresho Ya Huduma Za Matibabu Sambamba Na Sekta Ya Afya Kwa Ujumla,Kushoto Katikati Ni Mtendaji Kata Ya Namichiga Richard Nnonjela Na Kushoto Kabisa Ni Mwalimu Mkuu Wa Shule...

 

10 years ago

Michuzi

PSPF YAZINDUA HUDUMA MPYA ZA MIKOPO KWA WANACHAMA WAKE.

Mgeni rasmi Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, na viongozi wa juu wa PSPF,na TPB, wakiwa katika picha ya pamoja. Waziri wa Kazi na Ajira, Gaudentia Kabaka, (Wapili kushoto), Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF, Adam Mayingu, (Wapili kulia), Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Posta, (TPB), Sabasaba Moshingi, (Wakwanza kushoto) na Balozi wa PSPF, Mrisho Mpoto, wakishikana mikono kuashiria uzinduzi wa huduma mpya za mikopo kwa wanachama wa Mfuko huo kupitia TPB jijini Dar es Salaam,...

 

10 years ago

Michuzi

GEPF YAONGEZA HUDUMA YA MAFAO ZAIDI KWA WANACHAMA WAKE

Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Aloyce Ntukamazima akitoa mada kwa maofisa na mameneja wa Rasilimali Watu nchini, kuhusu mafao na maendeleo ya mfuko huo, kwa sasa mfuko huo pamoja na mambo mengine wanachama wake wananufaika na Fao la Elimu, Fao la kuanza maisha kwa waajiriwa wapya, Fao la Kujikimu na Fao la Uzazi. Baadhi ya maofisa na mameneja wa Rasilimali Watu nchini, wakimsikiliza Meneja Masoko wa Mfuko wa Pensheni wa GEPF, Aloyce Ntukamazima , alipokuwa akiwasilisha...

 

10 years ago

Dewji Blog

CCM Singida yabomoa CHADEMA kwa kukomba wanachama wake 150

DSC00412

Katibu wa itikadi na uenezi wilaya ya Singida vijijini, Halima Ng’imba, akikabidhi kadi za CCM kwa waliokuwa wanachama wa CHADEMA 150 waliohamia CCM. DSC00417 DSC00422 Katibu wa itikadi na uenezi wilaya ya Singida vijijini, Halima Ng’imba, akihutubia kwenye mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na wakazi wa kata ya Misughaa.Mkutano huo uliofanyikia kwenye kijiji cha Sakaa,uliitishwa maalum kwa ajili ya wanachama 150 kutoka CHADEMA kuhamia CCM. DSC00407 Kikundi cha burudani cha CCM cha kijiji cha Sakaa kata ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani