LAPF YATOA MIKOPO YA ELIMU KWA WANACHAMA WAKE
Kaimu meneja Masoko wa LAPFBi Rehema Mkamba akitoa maelezo kwa wananchi na wanachama waliotembelea banda la lapf Nane Nane Mjini Dodoma.
Afisa matekelezo wa LAPF Bi Christina Mbaga akitoa maelezo juu ya Mkopo wa Elimu unaotolewa kwa wanachama wa LAPF. Mkopo huu umekuwa kivutio kikubwa kwa wanachama na wasio wanachama.
Afisa Mifumo ya Computer Bi. hilda Kato akifafanua jambo kwa wanachama waliotembelea bandani hapo.
Maafisa wa Mfuko wa Pensheni wa LAPF walioshiriki katika maonyesho ya Nane...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
MichuziLAPF YAZINDUA HUDUMA MPYA YA MIKOPO YA ELIMU YA JUU KWA WANACHAMA WAKE
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-TxdS1VylyJk/VBbdxUBhr_I/AAAAAAACq8Y/Uc9iC2f2CNg/s72-c/New%2BPicture.png)
Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 — 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.
![](http://1.bp.blogspot.com/-TxdS1VylyJk/VBbdxUBhr_I/AAAAAAACq8Y/Uc9iC2f2CNg/s1600/New%2BPicture.png)
Bilioni 3 kutumika mwaka wa masomo 2014 – 2015 kutoka mfuko wa pensheni wa LAPF kwa wanachama wake.
15 Septemba 2014, Dodoma: Wanachama wa mfuko wa penseni wa LAPF kunufaika na fao jipya lilozinduliwa hivi karibuni nchini kwa Baraka zake Waziri wa nchi ofisi ya Waziri Mkuu – TAMISEMI Mh. Hawa Ghasia.
Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’ limelenga kuwakopesha wanachama wa LAPF mikopo ya elimu ya juu kwani ni ombi la...
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-GYSW6seI2gs/VImp4-O5WSI/AAAAAAACwVY/QM9KJqEEjqs/s72-c/b7.jpg)
PSPF YAZINDUA HUDUMA MPYA ZA MIKOPO KWA WANACHAMA WAKE.
![](http://1.bp.blogspot.com/-GYSW6seI2gs/VImp4-O5WSI/AAAAAAACwVY/QM9KJqEEjqs/s1600/b7.jpg)
![](http://1.bp.blogspot.com/-r2KZ9K6lTIw/VImp0oam9YI/AAAAAAACwUU/oPNublCiqU0/s1600/b1.jpg)
10 years ago
Tanzania Daima18 Sep
Wanachama LAPF kunufaika fao la elimu
WANACHAMA wa mfuko wa Pensheni wa LAPF wanatarajiwa kunufaika na fao jipya la elimu lililozinduliwa hivi karibuni hapa nchini. Fao hilo lijulikanalo kama ‘Piga Kitabu na LAPF’, limelenga kuwakopesha wanachama...
10 years ago
MichuziNHIF LINDI WATOA ELIMU KATA KWA KATA KWA WANACHAMA WAKE,SANJARI NA UPIMAJI WA AFYA BURE KWA WANANCHI WILAYANI RUANGWA
11 years ago
Tanzania Daima07 Jan
LAPF na fursa ya uchumi endelevu kwa wanachama
KATIKA nchi zilizoendelea ili upate madaraka ya kuwatumikia watu inabidi uwaeleze ni jinsi gani utawasaidia kuwainua kiuchumi. Baada ya wananchi kuielewa vema mipango yako ya kiuchumi na kuamini inatekelezeka, watakuunga...
11 years ago
Michuzi02 Jul
11 years ago
MichuziPSPF YATOA ELIMU YA MFUKO WAKE KWA WANAHABARI JIJINI DAR
Miongoni mwa huduma wanazotoa na ikiwa ni huduma ya fao jipya ni Mpango wa Uchangiaji kwa Hiyari (PSS) ambapo mwanachama anatakiwa kujiunga kwa kiwango cha chini cha shilingi 10,000/= na kuchangia kadri awezavyo kila siku, wiki, Mwezi na...
11 years ago
Mwananchi29 Jan
LAPF yatoa msaada vifaa kwa hospitali