MR.UWAZI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR
Mkazi wa Mbezi Mwisho akipozi na Mr.Uwazi baada ya kurudishiwa pesa yake aliyonunulia gazeti. Mr.Uwazi akiongea na msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho huku akitoa maoni yake ya nini kifanyike ndani ya gazeti hilo ili liendelee kuwa bora.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLMR.UWAZI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE
Mr.Uwazi akijiandaa kumpatia zawadi msomaji eneo la Temeke baada ya kumkuta akiwa na Gazeti la Uwazi Mizengwe. Mr. Uwazi akipozi na wasomaji wa Gazeti la Mizengwe …
11 years ago
GPLMR CHAMPIONI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR
Mr Championi (kushoto) akimpa zawadi mama baada ya kununua gazeti la Championi Shinda Mahera. Msomaji akijiandaa kujaza kuponi ya Championi Shinda Mahera maeneo ya Ubungo Stand.…
11 years ago
GPLMR UWAZI AZIDI KUMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE DAR
Mr. Uwazi akitoa zawadi kwa mmoja wa wasomji wa Gazeti la Uwazi eneo la Bunju B, Dar. Mr. Uwazi akiendelea kumwaga zawadi kwa wadau mbalimbali wa Gazeti la Uwazi.…
11 years ago
GPLUWAZI LATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE
Msomaji wa Gazeti la Uwazi akivaa tisheti aliyopewa na waandishi wa gazeti hilo kama zawadi baada ya kukutwa akisoma gazeti hilo maeneo ya Mbagala jijini Dar. Mr. Uwazi akimkabidhi msomaji zawadi ya sabuni kama motisha ya kusoma gazeti hilo. …
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/1.Msomaji-wa-Gazeti-la-la-Uwazi-mkazi-wa-eneo-la-Buza-Bakwata-akipokea-zawadi-yake-ya-Sukari-kutoka-kwa-Mr.-Uwazianayeshudia-kulia-ni-Ofisa-Usambazaji-wa-GlobalYohana-Mkanda..jpg?width=650)
MR UWAZI AMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE
Msomaji wa Gazeti la Uwazi mkazi wa eneo la Buza-Bakwata akipokea zawadi ya sukari kutoka kwa Mr. Uwazi. Anayeshuhudia kulia ni Ofisa Usambazaji wa Global,Yohana Mkanda. Wadau wa gazeti la Uwazi wakipozi na Mr. Uwazi…
11 years ago
GPL‘MR.UWAZI’ AENDELEA KUGAWA ZAWADI JIJINI DAR
Mr. Uwazi akiwa mitaa ya Gongo la Mboto Mwisho akigawa zawadi kwa wasomaji wa gazeti la Uwazi walilokutwa nao. Mwandishi wa gazeti la Uwazi, Jelard Lucas (wa kwanza kushoto) akiwa na Mr. Uwazi (katikati) na wasomaji wa gazeti la Uwazi leo mitaa ya Gongo la Mboto.…
9 years ago
GPL![](http://globalpublishers.co.tz/wp-content/uploads/2015/10/3.Mr_.Championi-akizidi-kugawa-zawadi-kwa-wasomaji-wake-waliokutwa-wakisoma-Gazeti-la-Uwazi-Mizengwe-eneo-la-Stendi-ya-Bagamoyo.-001.jpg)
MR. UWAZI AGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE BAGAMOYO
Mr.Uwazi alipotua stendi ya Bagamoyo kugawa zawadi kwa wasomaji wake. Msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe akipozi na Mr.Uwazi huku akisoma gazeti lake kabla ya upatiwa zawadi.…
11 years ago
GPLWASOMAJI WA ‘UWAZI’ WAMWAGIWA ZAWADI JIJINI DAR
Msichana wa Kawe akitokwa na machozi ya furaha wakati akikabidhiwa zawadi. Mr Uwazi akimwaga zawadi Kawe.…
9 years ago
GPLUWAZI MIZENGWE LAGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE KIBAHA
Baadhi ya wasomaji wa gazeti la Uwazi-Mizengwe, muda mfupi baada ya kununua gazeti hilo.
Mmoja wa wateja hao akichukua gazeti hilo mezani kwa muuzaji.
Msomaji akisoma kurasa za ndani za gazeti hilo.
Msomaji akiwa…
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
12-February-2025 in Tanzania