Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UWAZI LATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE

Msomaji wa Gazeti la Uwazi akivaa tisheti aliyopewa na waandishi wa gazeti hilo kama zawadi baada ya kukutwa akisoma gazeti hilo maeneo ya Mbagala jijini Dar. Mr. Uwazi akimkabidhi msomaji zawadi ya sabuni kama motisha ya kusoma gazeti hilo. …

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

RISASI LATOA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE

Msomaji aliponaswa akisoma gazeti hilo maeneo ya Sinza Makaburini jijini Dar. Mhariri Msaidizi wa gazeti hilo, Joseph Shaluwa akimrejeshea msomaji huyo pesa yake.…

 

9 years ago

GPL

MR UWAZI AMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE

Msomaji wa Gazeti la  Uwazi mkazi wa eneo la Buza-Bakwata akipokea zawadi  ya sukari kutoka kwa Mr. Uwazi.  Anayeshuhudia kulia ni Ofisa Usambazaji wa Global,Yohana Mkanda. Wadau wa gazeti la Uwazi wakipozi na Mr. Uwazi…

 

9 years ago

GPL

MR. UWAZI AGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE BAGAMOYO

Mr.Uwazi alipotua stendi ya Bagamoyo kugawa zawadi kwa wasomaji wake. Msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe akipozi na Mr.Uwazi huku akisoma gazeti lake kabla ya upatiwa zawadi.…

 

10 years ago

GPL

MR.UWAZI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE

Mr.Uwazi akijiandaa kumpatia zawadi msomaji eneo la Temeke baada ya kumkuta akiwa na Gazeti la Uwazi Mizengwe. Mr. Uwazi akipozi na wasomaji wa Gazeti la Mizengwe …

 

9 years ago

GPL

UWAZI MIZENGWE LAGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE KIBAHA

Baadhi ya wasomaji wa gazeti la Uwazi-Mizengwe, muda mfupi baada ya kununua gazeti hilo.
Mmoja wa wateja hao akichukua gazeti hilo mezani kwa muuzaji.
Msomaji akisoma kurasa za ndani za gazeti hilo.
Msomaji akiwa…

 

11 years ago

GPL

MR UWAZI AZIDI KUMWAGA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE DAR

Mr. Uwazi akitoa zawadi kwa mmoja wa wasomji wa Gazeti la Uwazi eneo la Bunju B, Dar. Mr. Uwazi akiendelea kumwaga zawadi kwa wadau mbalimbali wa Gazeti la Uwazi.…

 

10 years ago

GPL

MR.UWAZI AZIDI KUGAWA ZAWADI KWA WASOMAJI WAKE JIJINI DAR

Mkazi wa Mbezi Mwisho akipozi na Mr.Uwazi baada ya kurudishiwa pesa yake aliyonunulia gazeti. Mr.Uwazi akiongea na msomaji wa Gazeti la Uwazi Mizengwe katika Kituo cha Daladala cha Mbezi Mwisho huku akitoa maoni yake ya nini kifanyike ndani ya gazeti hilo ili liendelee kuwa bora.…

 

11 years ago

GPL

‘UWAZI’ LAGAWA ZAWADI KIBAO KWA WASOMAJI GONGO LA MBOTO!

Msomaji aliyejulikana kwa jina  la Mama Irene akipewa zawadi na Mr. Uwazi. Binti aliyejitambulisha kwa jina la Nasra akiwa na Mr. Uwazi.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani