Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


SOS WAADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA KWA MWANZILISHI WA VIJIJI VYA WATOTO DUNIANI

Na Chalila Kibuda,Globu ya Jamii Watoto wametakiwa kujaliwa kwa kila namna ili kuwaanda kuwa taifa bora kutokana na misingi ambayo imewekwa kwa watoto hao.


Akizungumza na leo katika maadhimisho ya kuezi  kuzaliwa kwa mwanzilishi Vijiji vya Watoto SOS,Herman Gmeiner,Mkurugenzi wa Kijiji cha SOS,Anglolwisye Mwollo-ntalima,amesema  kuwa kila juni 23 kila mwaka wanaadhimisho kuzaliwa kwa Gmeiner.

Mwollo-ntalima amesema kuwa kutokana na mwanzilishi huyo kwa sasa Rais wa SOS ni mtu aliyetokana na...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Dewji Blog

Dkt. Bilal ashiriki sherehe za maadhimisho ya siku ya kuzaliwa mwanzilishi wa uskauti duniani, jijini Dar

1.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania,  Abdulkarim Shah (kulia) na Kiongozi wa Skauti, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, jana Feb 21, 2015 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya Siku ya kuzaliwa Mwanzilishi wa Uskauti Duniani, Lord Rebert Stevenson Smyth Baden-Powell. (Picha na OMR).

2.

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed...

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA RAIS DKT. BILAL ASHIRIKI SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUZALIWA MWANZILISHI WA USKAUTI DUNIANI

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akivishwa Skafu na Kamishna Mkuu wa Skauti Tanzania, Abdulkarim Shah (kulia) na Kiongozi wa Skauti, wakati alipowasili kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja jijini Dar es Salaam, leo Feb 21, 2015 kwa ajili ya kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya Siku ya kuzaliwa Mwanzilishi wa Uskauti Duniani, Lord Rebert Stevenson Smyth Baden-Powell.Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,...

 

11 years ago

Michuzi

WANAHABARI IRINGA WAADHIMISHA SIKU YA UHURU WA VYOMBO VYA HABARI DUNIANI KWA KUFANYA USAFI WA MAZINGIRA

Katibu  wa chama  cha waandishi wa habari  mkoa wa Iringa (IPC) Francis Godwin wa pili  kulia  akiongoza  wanahabari na wananchi wa kata ya Ilala kwenda kufanya usafi wa mazingira   leo  wakati wa maadhimisho ya siku ya uhuru wa vyombo vya habari duniani. Wanahabari  mkoa wa Iringa  wakiadhimisha siku ya uhuru wa  vyombo vya habari kwa kufanya usafi.

BOFYA HAPA KUONA PICHA ZAIDI

 

11 years ago

Michuzi

Wafanyakazi wa NBC waadhimisha Siku ya Moyo Duniani kuchangisha fedha kusaidia vijana na watoto wanaosumbuliwa na magonjwa ya moyo

Baadhi ya wafanyakazi wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC) wakianza matembezi ya hisani ya takribani Kilomita 10 jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni moja ya matukio ya benki hiyo kudhimisha Siku ya Moyo Duniani ambapo kiasi cha pesa watakachochangisha kitapelekwa katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH) kusaidia watoto na vijana wanaosumbuliwa na matatizo ya ugonjwa wa moyo. Siku ya Moyo Duniani huadhimishwa kimataifa Septemba 29 kila mwaka. Hapa baadhi ya wafanyakazi hao wakipita katika...

 

9 years ago

Dewji Blog

Wafanyakazi TBL Group waadhimisha Siku ya UKIMWI duniani kwa kupima afya zao

ukimwi 1

Mfanyakazi wa Kampuni ya TBL; kiwanda cha kuzalisha pombe kinywaji aina ya Chibuku  kilichopo Ubungo Dar es Salaam,Reocatus Hanania akipewa ushauri  nasaha na  akimsikiliza mtoa ushauri nasaha kutoka Kampuni ya bima ya Afya ya Metropolitan;  Aurelia Kanambi kabla ya kupima Virusi vya Ukimwi ikiwa ni sehemu ya maadhimishao ya siku ya Ukimwi Duniani. TBL kila mwaka ambapo Kampuni ya kutengezea bia (TBL) hiyo kila mwaka huadhimisha siku hiyo kwa kualika wataalamu wa afya kwa ajili ya kutoa...

 

10 years ago

Vijimambo

JUMUIYA YA DAWOOD BOHRA, TANZANIA WAADHIMISHA SIKU YA KUZALIWA KIONGOZI WAO

Binti wa jumuiya ya Dawood Bohra nchini Tanzania, akiwa ameshikilia bango lenye picha ya Sheikh Syedna Burhanuddin (RA), wakati wa kuadhimisha siku ya kuzaliwa kiongozi wa 53 wa madhehebu hayo, Syedna Mufaddal Saifuddin, (TUS), jijini Dar es Salaam Jumamosi jioni, Februari 14, 2015. Maadhimisho hayo yalipambwa na matembezi ya waumini wa madhehebu hayo, ambapo vijana walionyesha vipaji vyao, michezo namavazi mbalimbali yakiwemo yale ya kimasai. Pia matembezi hayo yaliongozwa na brass band ya...

 

11 years ago

Habarileo

Zanzibar waadhimisha siku ya utalii duniani

KAMISHENI ya Utalii Zanzibar jana ilizindua Siku ya Utalii Duniani ambayo itafikia kilele chake kesho katika kijiji cha Nungwi wilaya ya Kaskazini Unguja.

 

11 years ago

Michuzi

CWT WAADHIMISHA SIKU YA WALIMU DUNIANI

Mratibu wa Uhakiki wa Ubora wa Elimu kutoka Shirika la Kijamii la Masuala ya Elimu (Haki Elimu), Robert Mihayo akitoa mada kuhusu Ubora wa Elimu Tanzania wakati wa semina ya maadhimisho ya Siku ya Walimu Duniani iliyofanyika jijini Dar es Salaam. Semina hiyo iliandaliwa na TEN/MET kwa kushirikiana na Chama Cha Walimu Tanzania (CWT).
Ofisa Mradi wa TEN/MET, Alistidia Kamugisha (kulia), Meneja wa Fedha na Utawala (TEN/MET), Beatrice Malya (katikati) na Mratibu wa TEN/MET, Cathleene Sekwao. 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani