Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Maulidi ya Mfungo Sitta Muembetanga yafana

Angalia taswira za Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yalioandaliwa na wazee pamoja na vijana wa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.

  

Wasomaji wa Maulidi  ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yaliosomwa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.

Wageni waalikwa mbali mbali wakiwa katika Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yalioandaliwa na wazee pamoja na vijana wa Muembetanga Siku ya Jumatatu...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

Waumini wa Mwembetanga kwa Karagosi waadhimisha Maulidi ya Mfungo Sita

Vijana na wazee wa kiIslamu wa MwembeTanga wamefanikisha kuadhimisha Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yaliosomwa Siku ya Jumanne Jan 13 ,2015 sawa na Rabii Awal 1436Maulidi hayo walioaza rami mida ya Saa tatu usiku maraa tu baada kusaliwa sala ya Ishaa, katika Mtaa wa Mwembetanga maarufu (Kwa Karagosi) Zanzibar ambapo Wazee na vijana hao huuandaa maulidi kila mwaka, ifikapo mwezi wa kuzaliwa Mtume Muhammed S.A.W.
Muongozaji Maulidi ya Mwembetanga kwa karagosi MC Imam Sadat...

 

11 years ago

Michuzi

MAULIDI MUBARAK YAFANA DMV


Keki ya Maulid iliyofanyika DMV siku ya Jumapili Feb 16, 2014 katika viwanja vya Park ya Wheaton, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV wakiwemo marafiki zao.
Kama kawaida maulid iliaanza kwa sala ya Magharib Watanzania DMV wa dini ya Kislam wakijumuika pamoja kuadhimisha siku ya Maulid Mubarak iliyofanyika Jumapili Feb 16, 2014 katika viwanja vya park vilivyopo Wheaton, Maryland. Watanzania wa DMV wakijumuika pamoja kwenye Maulid iliyofanyika Wheaton, Maryland siku...

 

11 years ago

GPL

MAULIDI MUBARAK YAFANA DMV‏


Keki ya Maulid iliyofanyika DMV siku ya Jumapili Feb 16, 2014 katika viwanja vya Park ya Wheaton, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa na Watanzania wa DMV wakiwemo marafiki zao. Kama kawaida maulid iliaanza kwa sala ya Magharib Watanzania DMV wa dini ya Kislam wakijumuika pamoja kuadhimisha siku ya Maulid Mubarak iliyofanyika Jumapili Feb 16, 2014 katika viwanja vya park vilivyopo Wheaton, Maryland.…
...

 

11 years ago

GPL

MAULIDI YA KUZALIWA BWANA MTUME (S.A.W.) ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Sheikh Sherali Champsi Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Maulidi ya kuzaliwa Bwana Mtume (S.A.W.)  katika viwanja vya Mnazi Mmoja Mjini Unguja  palipofanyika Maulid hayo. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein (katikati) akiwa na Viongozi wengine (kutoka kushoto) Makamu wa Rais wa Jamhuri ya...

 

10 years ago

GPL

HUSNA MAULIDI AKANYAGA SKENDO YA WIZI

Stori: Gladness Mallya na Hamida Hassan
Miss Sinza aliyeshiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid amekanyaga skendo ya wizi baada ya kudaiwa kuwahi ‘kumdokolea’ aliyekuwa mpenzi wake, Mwani Rajabu ‘Mkongo’. Miss Sinza aliyeshiriki Miss Tanzania 2011, Husna Maulid. Chanzo kilichoomba hifadhi ya jina lake kilidai kuwa, kutokana na tabia hiyo Husna alitoswa na mpenzi wake huyo ambaye ni raia wa...

 

10 years ago

Vijimambo

BALOZI SEIF AHUDHURIA MAULIDI YA KUZALIWA MTUME (SAW) KISIWANI PEMBA

Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia na kutoa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam waliohudhuria maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad yalioandaliwa na Taasisi ya Samael Academy yaliofanyika katika Msikiti wa Gombani Chakechake Kisiwani Pemba.Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiwahutubia na kutoa nasaha zake kwa Waumini wa Dini ya Kiislam waliohudhuria maulid ya Kuzaliwa kwa Mtume Muhammad yalioandaliwa na Taasisi ya Samael...

 

10 years ago

Vijimambo

Waumini wa Mwembetanga kwa Karagosi waadhimisha Maulidi ya Mfunga Sita

Vijana na wazee wa kiIslamu wa M/Tanga wamefanikisha kuadhimisha Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu alayhi wasalam, yaliosomwa Siku ya Jumanne Jan 13 ,2015 sawa na Rabii Awal 1436 Maulidi hayo walioaza rami mida ya Saa tatu usiku maraa tu baada kusaliwa sala ya Ishaa, katika Mtaa wa Mwembetanga maarufu (Kwa Karagosi) Zanzibar ambapo Wazee na vijana hao huuandaa maulidi kila mwaka, ifikapo mwezi wa kuzaliwa Mtume Muhammed S.A.W Mapambo ya jukwaa: Maandalizi ya jukwaa maalumu kwaajili ya...

 

9 years ago

Michuzi

SHEREHE YA MAULIDI MAKUU YA MTUME MUHAMMAD(S.A.W) ILIVYOFANA VISIWANI ZANZIBAR

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akisalimiana na Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad alipowasili katika sherehe za Maulidi Makuu ya kuzaliwa kwa Mtume Muhammad (S.A.W) yaliyofanyika jana katika uwanja wa Maisara Suleiman Mjini Unguja.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein (wa pili kulia) Kadhi Mkuu wa Zanzibar Sheikh Khamis Haji Khamis, Makamo wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar...

 

10 years ago

Bongo Movies

‘Imani Haba’ Ndani ya Mfungo

Haya ndugu zangu, tupo kwenye mfungo mwezi mtukufu. Na ndugu yetu, mdogo wetu, kaka yetu Mangi kutoka Ndorobo Entertainment Vocha katuandalia, film yenye maudhui ya kuulenga mwezi, iliyo jaa mafunzo mazuri. Film hii inatoka tarehe 5/July. Pata nakala yako ili upata kujifunza yale ambayo huyafahau kutokana na dini. Haijalishi kuwa ni muislam tu, La hasha. Dini zote, tunaomba support zenu July, 5 .

Didas Entertainment on Instagram
 

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani