Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Imani Haba’ Ndani ya Mfungo

Haya ndugu zangu, tupo kwenye mfungo mwezi mtukufu. Na ndugu yetu, mdogo wetu, kaka yetu Mangi kutoka Ndorobo Entertainment Vocha katuandalia, film yenye maudhui ya kuulenga mwezi, iliyo jaa mafunzo mazuri. Film hii inatoka tarehe 5/July. Pata nakala yako ili upata kujifunza yale ambayo huyafahau kutokana na dini. Haijalishi kuwa ni muislam tu, La hasha. Dini zote, tunaomba support zenu July, 5 .

Didas Entertainment on Instagram
 

Bongo Movies

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Bongo5

Audio: Kipindi cha Haba na Haba chajadili mpango wa matokeo makubwa sasa

Kipindi cha Haba na Haba kinachotayarishwa na idhaa ya Kiswahili ya BBC wiki hii kinajadiliana na wadau ili kujua “Je Mpango wa Matokeo Makubwa Sasa kwenye elimu umeweza kupandisha kiwango cha elimu?” Changia mawazo yako kupitia www.facebook.com/BBCHabanahaba au kupitia www.twitter.com/BBC_HabanaHaba”

 

11 years ago

BBCSwahili

Haba na Haba TV Tanzania

Haba na Haba TV ni kipindi cha uhalisia, ukweli na kinachoangazia maisha halisi ya watu wa Tanzania

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni Sheeda ya Madee baada ya mfungo

NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ahmed Ally ‘Madee’ amesema baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, anatarajiwa kukiweka sokoni kibao chake kipya cha ‘Ni Sheeda’. Akizungumza jijini...

 

11 years ago

GPL

MFUNGO WAMBADILI JOHARI MAVAZI

Stori: Jamila Said MWIGIZAJI wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’ amesema amewaunga mkono Waislamu kwa kuvaa mavazi ya kujistiri na kuziba sehemu kubwa ya mwili kuheshimu mwezi wa Ramadhani. Mwigizaji wa filamu Bongo, Blandina Chagula ‘Johari’. Akipiga stori mbili tatu na paparazi wetu, Johari alisema ameamua kufanya hivyo kwa sababu dini zote ni za Mungu na kwa kuwa ni kipindi cha Ramadhani,...

 

10 years ago

Bongo Movies

Mfungo Wamuepusha Amanda na Skendo

Staa wa bongo movies,  Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema kuwa  mfungo wa mwezi wa ramadhani umemuweka mbali na skendo ambazo amekuwa akiibuka nazo mara kwa mara  na ikiwezekana huo ndiyo utakuwa mwisho wake kwani kwa sasa yupo katika kipindui cha kuomba toba kwa muumba wake kwa mabaya yote  aliyowahi kufanya siku za nyuma.

Akizungumza na gazeti la Filamu, Amanda  alisema kwa mwezi  huu hatoonekana akikatiza mitaani na nguo zilizobana kiasi cha kuonyesha  maungo yake  ya sehemu za siri bali...

 

11 years ago

GPL

MFUNGO WAMZUIA MLELA KWA MPENZIWE

Stori: Gladness Mallya NYOTA wa filamu Bongo, Yusuph Mlela hataweza kuonana na mpenzi wake ambaye pia ni mzazi mwenzake kutokana na mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan. Nyota  wa filamu Bongo, Yusuph Mlela. Akipiga stori na gazeti hili, Mlela alisema alikuwa na desturi ya kwenda kwa mzazi mwenzake kila siku kwa ajili ya kwenda kumuona mwanaye, Mwantumu lakini kwa mwezi huu itakuwa ngumu kutokana na misingi ya dini yake....

 

9 years ago

Dewji Blog

Maulidi ya Mfungo Sitta Muembetanga yafana

Angalia taswira za Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yalioandaliwa na wazee pamoja na vijana wa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.

  

Wasomaji wa Maulidi  ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yaliosomwa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.

Wageni waalikwa mbali mbali wakiwa katika Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yalioandaliwa na wazee pamoja na vijana wa Muembetanga Siku ya Jumatatu...

 

10 years ago

Vijimambo

KHERI YA MFUNGO WA RAMADHAN KUTOKA NEW YORK


KHERI YA MFUNGO WA RAMADHAN KUTOKA NEW YORK. Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inawatakia Wanajumuiya wake pamoja Na waumini wote wa Dini ya Kiislam Mfungo mwema wa Mwezi mtukufu wa Ramadhan. Jumuiya pia inasisitiza mapenzi,ushirikiano na mshikamano baina yetu ili ibada hii iwe yenye mafanikio. Tunamuomba Mwenye Enzi Mungu akupeni afya,faraja na uwezo wa kuifanikisha ibada hii ya Funga katika Kipindi hiki cha jua Kali...Ameen. Hajji Khamis Mwenyekiti...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mfungo wafuta maonyesho Extra, Twanga Pepeta

KATIKA kuheshimu mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, baadhi ya bendi zimesitisha maonyesho yake zikitumia nafasi hiyo kujipanga zaidi kwa lengo la kuongeza makali yao. Kwa upande wa bendi ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani