Ni Sheeda ya Madee baada ya mfungo
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ahmed Ally ‘Madee’ amesema baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, anatarajiwa kukiweka sokoni kibao chake kipya cha ‘Ni Sheeda’. Akizungumza jijini...
Tanzania daima
Habari Zinazoendana
11 years ago
Michuzi04 Jul
9 years ago
Bongo524 Dec
Madee amdiss Afande Sele, ni baada ya kuwaponda wanaoshoot video South
![afande 2](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/12/afande-2-300x194.jpg)
Kauli ya Afande Sele kuwa wasanii wanaoenda kushoot video zao Afrika Kusini wanafanya biashara za siri, haijamuingia vyema hasimu wake wa muda mrefu, Madee.
Bongo5 iliongea na msanii huyo mkongwe wiki hii na kudai kuwa haoni sababu ya maana wasanii wa Tanzania kwenda kufanya video zao nje ya nchi.
“Kwenye kushoot video nje ni ulimbukeni,” alisema.
“Tanzania tuna kila kitu kuliko hata huko wanakoenda. Mimi hii naitafsiri ni usaliti wa nchi, sisi tunakosa nini hapa nyumbani? Tuna milima,...
9 years ago
Bongo510 Dec
Madee aeleza sababu za Mb Dogg kushindwa kufanya vizuri baada ya kuondoka Tip Top
![MB-DOGG](http://www.bongo5.com/wp-content/uploads/2015/06/MB-DOGG-300x194.jpg)
MB Dogg ni miongoni mwa majina yaliyoshiriki kwenye kuichora ramani iliyotumika kwenye ujenzi wa kiwanda ya muziki wa Bongo fleva miaka kadhaa iliyopita. Hits zake kama Latifah, Si uliniambia, Inamaana na zingine zilimuweka kwenye nafasi za juu kipindi hicho akiwa chini ya Tip Top Connection.
Hivi sasa jina la MB Dogg liko kwenye orodha ya wasanii wa zamani walioshindwa kurudi na kukaa kwenye nafasi zao, na msanii mwenzake Madee wa Tip Top anaifahamu sababu iliyomkwamisha MB Dogg ashindwe...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi-7aj*B9uRfn2lHldo9*C-Dxpo9TzpmOrJQNsEK9dwfTVUbB5HLTT1KK4sX1R0bbbsaH8JQtOJet*Ac-iK06zXS/slimu.jpg)
NI SHEEDA! MUIGIZAJI WA FILAMU SLIM ADAIWA KUGOMA KUREJESHA GARI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jlj7Yacjzg38nFZeW6pst7hKQLVeo5JYltbWub3Q2uQU4DL8Et6ImAqM7ghUsTgzk-0SIljNr7Km4wu1Tb8DrSep9S66ohyX/johari.jpg)
MFUNGO WAMBADILI JOHARI MAVAZI
10 years ago
Bongo Movies30 Jun
Mfungo Wamuepusha Amanda na Skendo
Staa wa bongo movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema kuwa mfungo wa mwezi wa ramadhani umemuweka mbali na skendo ambazo amekuwa akiibuka nazo mara kwa mara na ikiwezekana huo ndiyo utakuwa mwisho wake kwani kwa sasa yupo katika kipindui cha kuomba toba kwa muumba wake kwa mabaya yote aliyowahi kufanya siku za nyuma.
Akizungumza na gazeti la Filamu, Amanda alisema kwa mwezi huu hatoonekana akikatiza mitaani na nguo zilizobana kiasi cha kuonyesha maungo yake ya sehemu za siri bali...
10 years ago
Bongo Movies01 Jul
‘Imani Haba’ Ndani ya Mfungo
Haya ndugu zangu, tupo kwenye mfungo mwezi mtukufu. Na ndugu yetu, mdogo wetu, kaka yetu Mangi kutoka Ndorobo Entertainment Vocha katuandalia, film yenye maudhui ya kuulenga mwezi, iliyo jaa mafunzo mazuri. Film hii inatoka tarehe 5/July. Pata nakala yako ili upata kujifunza yale ambayo huyafahau kutokana na dini. Haijalishi kuwa ni muislam tu, La hasha. Dini zote, tunaomba support zenu July, 5 .
Didas Entertainment on Instagram
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPvGFuJq2de6wE8BQnTfBUEFNcC*prdn-zKpVbP4fGhGAeFVLNXqwBQRn1f3rQOiRoMGnWheESqqpHl*XZs0qMdT/mlela.jpg)
MFUNGO WAMZUIA MLELA KWA MPENZIWE
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
Maulidi ya Mfungo Sitta Muembetanga yafana
Angalia taswira za Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yalioandaliwa na wazee pamoja na vijana wa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.
![](http://4.bp.blogspot.com/-BUZxrxxO-cI/VovLiMHl7BI/AAAAAAAAV68/CLzdZrJFXJI/s400/20160104110427.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-tHTECYJvGsE/VovLh81pjgI/AAAAAAAAV64/qu8mTj2RfSY/s400/20160105041713.jpg)
Wasomaji wa Maulidi ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yaliosomwa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.
![](http://2.bp.blogspot.com/-UQqDyjd5p5s/Vou1EmpE4oI/AAAAAAAAV2c/-e6pGpDp3kk/s640/20160104101258.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-6sU6lk5mCr0/Vou1LhbFrZI/AAAAAAAAV4s/07ezqfXvAaY/s640/20160105041714%2B%25283%2529.jpg)