Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NI SHEEDA! MUIGIZAJI WA FILAMU SLIM ADAIWA KUGOMA KUREJESHA GARI

Stori: Imelda Mtema
NI sheeda! Muigizaji wa filamu za Kibongo, Salim Omary ‘Slim’ amejikuta akiwekwa nguvuni katika Kituo cha Polisi cha Makangarawe, Yombo-Buza, jijini Dar akidaiwa kugoma kurejesha gari aina ya Land Lover Discovery walilopewa zawadi siku ya ndoa. Muigizaji wa filamu za Kibongo, Salim Omary ‘Slim’. Gari hilo walipewa na wakwe zake alipofunga ndoa na binti yao aitwaye Asia Morgan,...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

SLIM AANGUA KILIO GARI LIKIENDA KWA MTALAKA

Imelda Mtema
MUIGIZAJI mahiri wa filamu, Slim Mbegu ‘Slim’ hivi karibuni aliangua kilio akiwa Mahakama ya Mwanzo Magomeni baada ya kushuhudia gari alilopewa zawadi yeye na mkewe aliyetengana naye, Asia Morgana likivutwa kwa Break Down kusogezwa eneo hilo. Muigizaji mahiri wa filamu, Slim Mbegu ‘Slim’. Wawili hao walikuwa na shauri mahakamani hapo wakigombea gari hilo kila mmoja akidai ni mali yake...

 

10 years ago

Dewji Blog

Wasambazaji wa filamu kugoma kulipa kodi ifikapo 1/7/2015

Mwenyekiti wa kikosi kazi kutoka chama cha wasambazaji wa filamu Tanzania, Bw Moses Mwanyilu akionyesha baadhi ya filamu ambazo zinauzwa nchini bila kupata kibali kutoka bodi ya filamu Tanzania na kutokuwa na stika za ushuru za Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) wakati wa mkutano na waandishi wa habari wakielezea changamoto zao kuhusiana na filamu za kitanzania kulazimishwa kukaguliwa na bodi ya filamu na kuwekwa stika za TRA ilhali filamu za nje hazifanyiwi hivyo na kupelekea filamu za...

 

5 years ago

Bongo5

Muigizaji wa filamu za James Bond afariki dunia

Muigizaji Clifton James, maarufu kama ‘JW Pepper’ kwenye filamu mbili za James Bond, amefariki dunia akiwa na miaka 96.

Alifariki karibu na mji wa Gladstone, Oregon, siku ya Jumamosi kutokana na matatizo ya ugonjwa wa kisukari.

James alifahamika sana kutokana na uigizaji wake katika filamu za Bond za ‘Live and Let Die’ na ‘The Man with the Golden Gun’ miaka ya sabini.

Binti yake Lynn amesema: ”Alikuwa mtu mpenda watu na mwenye uwazi sana. Alipendwa sana na kila mtu.”

Aliongeza: “Sidhani...

 

9 years ago

Bongo5

Picha: Muigizaji wa Kenya apoteza maisha kwenye ajali mbaya akiwa na gari ya kifahari

Muigizaji wa tamthilia nchini Kenya aliyejulikana kwa jina la Nana Gichuru Jumanne hii alipoteza maisha kwa ajali mbaya ya gari baada ya gari lake kugongana uso kwa uso na lori. Nana enzi za uhai wake Polisi na mashuhuda walidai kuwa muigizaji huyo huenda alikuwa akijaribu kuyapita magari kadhaa mbalimbali wakati akiwa kwenye gari yake aina […]

 

10 years ago

Michuzi

Sikiliza Audio ya Mahojiano na Ernest Napoleon, Muigizaji wa filamu ya ‘Going Bongo

 Cheif wa swahilivilla blog Abou Shatry  na Ernest NapoleonBlog ya swahilivilla imepata furasa ya kufanya mahojiano na muigizaji, muongozaji na muandishi wa  filam ya kwanza Afrika Mashariki kukubalika kuuzwa kupitia iTunes ‘Going Bongo Ernest Napoleon a-filamu-ya-kwanza-afrika-mashariki-kukubalika-kuuzwa-kupitia-itunes-07-2014/Pata filamu hiyo ya kihistoria kwenye iTunes bit.ly/goingbongoitunes ama DVD bit.ly/goingbongodvd. Check trailer hapa bit.ly/goingbongotrailer, share na wenzio.Jiunge...

 

10 years ago

Michuzi

TANZIA:MUIGIZAJI WA FILAMU NCHINI MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA.

Taarifa zilizotufikia katika chumba cha habari ya Globu ya Jamii zinaeleza kuwa Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Globu ya Jamii bado inafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha Muigizaji huyu mahiri wa filamu hapa nchini.Baadhi ya filamu alizowahi kuigiza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to Lagos, Fake pastor n.k Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.

 

5 years ago

BBCSwahili

Muigizaji maarufu wa filamu Idris Elba atangaza kuambukizwa virusi vya Korona.

Kupitia mitandao ya kijamii- muigizaji maarufu raia wa Uingereza Idris Elba ametangaza kuwa ameambukizwa virusi vya Korona.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani