TANZIA:MUIGIZAJI WA FILAMU NCHINI MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA.
Taarifa zilizotufikia katika chumba cha habari ya Globu ya Jamii zinaeleza kuwa Msanii wa filamu, Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Globu ya Jamii bado inafuatilia kwa karibu kujua chanzo cha kifo cha Muigizaji huyu mahiri wa filamu hapa nchini.Baadhi ya filamu alizowahi kuigiza Mzee Mnento ni Hero of the church, Dar to Lagos, Fake pastor n.k Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6ovfEf3pFLf*oQbPHC2by35YY*-FqtUtx43oX2zjiLFVY1pwJUFZx0ybIu4NqUB-EugE6XBhRf77Wd5iVW1126brFH2sCsWA/R.I_.P_.jpg?width=650)
TANZIA: MUIGIZAJI MZEE MANENTO AMEFARIKI DUNIA
10 years ago
Bongo Movies30 Oct
MSIBA : Muigizaji Mzee Manento amefariki dunia.
Habari zilizotufukia hivi punde zinasema kuwa muigizaji Mzee Manento amefariki dunia hapo jana. Bado tunafuatilia kwa karibu habari hizi nz chanzo ch kifo cha mzee wetu huyu.
Mzee Mnento atakumbukwa hasa kwa filamu alizocheza kiumakin na marehemu Kanumba. Hero of the church, Dar to lagos,fake pastor n.k pumzika kwa Amani
Mungu ailaze Roho ya maerehemu mahali pema peponi amina.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p0ZiZvXgHQhqnmHaH8rDEE2wUQXLJKwT1RaOgJwObV3fBao7kDv61juqgGYaFcHrCHFO7qfAjk-QjSGiRA8SgUgRNd3iXdaa/BREAKING.gif)
TANZIA: MSANII MKONGWE WA FILAMU, MZEE KANKAA AFARIKI DUNIA, KUZIKWA LEO JIONI
11 years ago
Bongo Movies17 Jun
SAD News: Muigizaji Mkongwe Nchini Mzee Small Afariki Dunia.
Mwigizaji maarurfu nchini Said Ngamba "Mzee Small" amefariki dunia usiku wa kuamkia leo baada ya kupatwa na pressure na kukimbizwa hospitali ya taifa Muhimbili. Muigizaji huyo mkongwe kabla ya kifo chake aliugua kwa muda mrefu pia. Mzee Small ni mmoja wa wasanii wa mwazo katika sanaa ya maigizo nchini kwenye enzi zake akiwa ametamba na wasanii wenzake wakongwe kama vile Bi.Chau na King Majuto, ni mmoja wa wasanii ambao mchango wake katika sanaa ya maigizo na tasnia ya filamu nchini hauwezi...
9 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-ohI7YbdHwA8/VhBd_5ZmyyI/AAAAAAAH8qk/_8RoM-Lk9Q8/s72-c/unnamed.jpg)
TANZIA: MZEE SIMON MEMBE AFARIKI DUNIA NCHINI INDIA
![](http://1.bp.blogspot.com/-ohI7YbdHwA8/VhBd_5ZmyyI/AAAAAAAH8qk/_8RoM-Lk9Q8/s320/unnamed.jpg)
Mipango ya mazishi inafanywa Dar es Salaam nyumbani kwa kaka wa Marehemu Mhe Bernard Membe (Mb) Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa.
Mwili wa marehemu unatarajiwa kuwasili nchini siku ya Jumatatu mchana tarehe 5 Oktoba 2015 saa 9 alasiri.
Ibada na heshima za mwisho kwa Dar es...
10 years ago
CloudsFM30 Oct
MSANII MZEE MANENTO AFARIKI DUNIA
MSANII wa filamu za Kibongo, Mzee Manento amefariki dunia jana jioni kiwa jijini Dar es Salaam baada ya kuugua kwa muda mrefu ugonjwa wa moyo.
Mzee Manento atakumbukwa katika filamu alizocheza kama 'Hero of the Church', 'Dar to Lagos', 'Fake Pastor' na nyinginezo.
5 years ago
Bongo514 Feb
Muigizaji wa filamu za James Bond afariki dunia
Muigizaji Clifton James, maarufu kama ‘JW Pepper’ kwenye filamu mbili za James Bond, amefariki dunia akiwa na miaka 96.
Alifariki karibu na mji wa Gladstone, Oregon, siku ya Jumamosi kutokana na matatizo ya ugonjwa wa kisukari.
James alifahamika sana kutokana na uigizaji wake katika filamu za Bond za ‘Live and Let Die’ na ‘The Man with the Golden Gun’ miaka ya sabini.
Binti yake Lynn amesema: ”Alikuwa mtu mpenda watu na mwenye uwazi sana. Alipendwa sana na kila mtu.”
Aliongeza: “Sidhani...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/nloXItybkA1d8wDEwbI3zxkyUmY5y-Hr-x*FWzfhoM-8x9tjklyj3aY7Jln8igC06KY9YAcFDcLiksjjjMLjCh8ZxIFzno90/luangisa.jpg)
TANZIA: MZEE SAMUEL LUANGISA AFARIKI DUNIA JIJINI NEW YORK