Mfungo Wamuepusha Amanda na Skendo
Staa wa bongo movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema kuwa mfungo wa mwezi wa ramadhani umemuweka mbali na skendo ambazo amekuwa akiibuka nazo mara kwa mara na ikiwezekana huo ndiyo utakuwa mwisho wake kwani kwa sasa yupo katika kipindui cha kuomba toba kwa muumba wake kwa mabaya yote aliyowahi kufanya siku za nyuma.
Akizungumza na gazeti la Filamu, Amanda alisema kwa mwezi huu hatoonekana akikatiza mitaani na nguo zilizobana kiasi cha kuonyesha maungo yake ya sehemu za siri bali...
Bongo Movies
Habari Zinazoendana
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqrczGFnqqfm1MHta7oLvEG8Iog358i-*TNU1AY2*XIEQMVdutykDSjO3nYTMZAPwt0oixiBYcJf9hNMgtIEmMj*/amandaaaa.jpg?width=650)
UKWELI SKENDO YA AMANDA KUBAKWA
11 years ago
Tanzania Daima08 Jul
Ni Sheeda ya Madee baada ya mfungo
NYOTA wa muziki wa kizazi kipya nchini, Ahmed Ally ‘Madee’ amesema baada ya mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, anatarajiwa kukiweka sokoni kibao chake kipya cha ‘Ni Sheeda’. Akizungumza jijini...
10 years ago
Bongo Movies01 Jul
‘Imani Haba’ Ndani ya Mfungo
Haya ndugu zangu, tupo kwenye mfungo mwezi mtukufu. Na ndugu yetu, mdogo wetu, kaka yetu Mangi kutoka Ndorobo Entertainment Vocha katuandalia, film yenye maudhui ya kuulenga mwezi, iliyo jaa mafunzo mazuri. Film hii inatoka tarehe 5/July. Pata nakala yako ili upata kujifunza yale ambayo huyafahau kutokana na dini. Haijalishi kuwa ni muislam tu, La hasha. Dini zote, tunaomba support zenu July, 5 .
Didas Entertainment on Instagram
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/Jlj7Yacjzg38nFZeW6pst7hKQLVeo5JYltbWub3Q2uQU4DL8Et6ImAqM7ghUsTgzk-0SIljNr7Km4wu1Tb8DrSep9S66ohyX/johari.jpg)
MFUNGO WAMBADILI JOHARI MAVAZI
9 years ago
Dewji Blog06 Jan
Maulidi ya Mfungo Sitta Muembetanga yafana
Angalia taswira za Maulid ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yalioandaliwa na wazee pamoja na vijana wa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.
![](http://4.bp.blogspot.com/-BUZxrxxO-cI/VovLiMHl7BI/AAAAAAAAV68/CLzdZrJFXJI/s400/20160104110427.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-tHTECYJvGsE/VovLh81pjgI/AAAAAAAAV64/qu8mTj2RfSY/s400/20160105041713.jpg)
Wasomaji wa Maulidi ya Mtume Muhammad Salallahu Alayhi Wasalam, yaliosomwa Muembetanga Siku ya Jumatatu Jan 4 ,2016 (Kwa Karagosi) Zanzibar.
![](http://2.bp.blogspot.com/-UQqDyjd5p5s/Vou1EmpE4oI/AAAAAAAAV2c/-e6pGpDp3kk/s640/20160104101258.jpg)
![](http://3.bp.blogspot.com/-6sU6lk5mCr0/Vou1LhbFrZI/AAAAAAAAV4s/07ezqfXvAaY/s640/20160105041714%2B%25283%2529.jpg)
10 years ago
VijimamboKHERI YA MFUNGO WA RAMADHAN KUTOKA NEW YORK
KHERI YA MFUNGO WA RAMADHAN KUTOKA NEW YORK. Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inawatakia Wanajumuiya wake pamoja Na waumini wote wa Dini ya Kiislam Mfungo mwema wa Mwezi mtukufu wa Ramadhan. Jumuiya pia inasisitiza mapenzi,ushirikiano na mshikamano baina yetu ili ibada hii iwe yenye mafanikio. Tunamuomba Mwenye Enzi Mungu akupeni afya,faraja na uwezo wa kuifanikisha ibada hii ya Funga katika Kipindi hiki cha jua Kali...Ameen. Hajji Khamis Mwenyekiti...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/MOC7BqAcxPvGFuJq2de6wE8BQnTfBUEFNcC*prdn-zKpVbP4fGhGAeFVLNXqwBQRn1f3rQOiRoMGnWheESqqpHl*XZs0qMdT/mlela.jpg)
MFUNGO WAMZUIA MLELA KWA MPENZIWE
11 years ago
Tanzania Daima05 Jul
Mfungo wafuta maonyesho Extra, Twanga Pepeta
KATIKA kuheshimu mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhani, baadhi ya bendi zimesitisha maonyesho yake zikitumia nafasi hiyo kujipanga zaidi kwa lengo la kuongeza makali yao. Kwa upande wa bendi ya...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ0i5*nzOsyAaKb6txTYVyDX6X9aDp16Kd0pn1hgNPqLw5vK6ulRc2Tg7LGuBZbTKUEfIkgmG3-zKyoxwJIpE11X/rose.jpg)
ROSE NDAUKA AMKIMBIA MUMEWE, KISA MFUNGO