UKWELI SKENDO YA AMANDA KUBAKWA
![](http://api.ning.com:80/files/0PKyB0rYTqrczGFnqqfm1MHta7oLvEG8Iog358i-*TNU1AY2*XIEQMVdutykDSjO3nYTMZAPwt0oixiBYcJf9hNMgtIEmMj*/amandaaaa.jpg?width=650)
Stori: Sifael Paul na Gladness Mallya MAMBO hadharani! Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ ameanika ukweli juu ya skendo iliyoenea kama moto wa kifuu kuwa amebakwa jijini Arusha. Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’. Awali, Risasi Jumamosi lilipokea skendo hiyo kutoka kwa vyanzo vyake ambapo ilidaiwa kwamba Amanda alifanyiwa ‘unyambilisi’ huo...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Bongo Movies30 Jun
Mfungo Wamuepusha Amanda na Skendo
Staa wa bongo movies, Tamrina Posh ‘Amanda’ amesema kuwa mfungo wa mwezi wa ramadhani umemuweka mbali na skendo ambazo amekuwa akiibuka nazo mara kwa mara na ikiwezekana huo ndiyo utakuwa mwisho wake kwani kwa sasa yupo katika kipindui cha kuomba toba kwa muumba wake kwa mabaya yote aliyowahi kufanya siku za nyuma.
Akizungumza na gazeti la Filamu, Amanda alisema kwa mwezi huu hatoonekana akikatiza mitaani na nguo zilizobana kiasi cha kuonyesha maungo yake ya sehemu za siri bali...
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi8mtuYwT7X4pXfuAdzb4lHR8z-EYt9GUlB3XXIHudT6lUAy7277dh-UA-YxOiIOiR*SDrmugcqIZYIpebJqa9tt/mremboo.jpg)
MREMBO CHUPUCHUPU KUBAKWA
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi65gpfcg6iJTkLWlNELZp3YZkvBSvo7crJZG3*PAIk1hQCxE58aqKSFUe2cM0ZvyrVXXzT0FImmfrcbJ8-o7orUM/diana.jpg)
DIANA KIMARO CHUPUCHUPU KUBAKWA
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Denti chupuchupu kubakwa ufukweni
Maria akisitilia na marafiki zake baada ya kunusurika kubakwa.
Deogratius Mongela na Chande Abdallah
SIKUKUU NOMA! Zikiwa zimepita siku chache baada ya Sikukuu ya Krismasi kupita, imeacha matukio ya hatari ambapo denti wa Shule ya Zanaki, Dar aliyejulikana kwa jina moja la Maria alinusurika kubakwa katika Ufukwe wa Coco Beach.
Tukio hilo lilinaswa na kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM), siku ya ‘Boxing day’ ambapo denti huyo alinusurika kubakwa na wanaume wakware waliokuwa wakimzengea...
11 years ago
Tanzania Daima20 Mar
Mtoto afa kwa kubakwa
MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa Kijiji cha Nyangoto, wilayani Tarime, amefariki dunia baada ya kubakwa. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Justus Kamugisha, alisema jana...
10 years ago
Tanzania Daima09 Sep
Busega walaani mwalimu kubakwa
JUMUIYA ya Maendeleo ya Wanabusega (Budeco), imelaani tukio la kubakwa mwalimu wa shule ya Busega mkoani Simiyu. Tukio hilo lililotokea Agosti 23 mwaka huu, ambako majambazi wakiwa na silaha walivamia...
10 years ago
Tanzania Daima12 Sep
Wanabusega walaani mwalimu kubakwa
JUMUIYA ya Maendeleo ya Wanabusega (Budeco), imelaani tukio la kubakwa mwalimu wa shule ya Busega mkoani Simiyu. Tukio hilo lilitokea Agosti 23 mwaka huu, ambako watu wanaotuhumiwa majambazi walivamia nyumba...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/6LjPLZ8wv3dLELrZZ2YrcKTe7J6xAJITfNqZ6R0aXLdqGKr7j1ertJV-XMPN2GeQuT6O2O83MYgxotpUe1DQTdkexbfb6NvW/binti.jpg?width=650)
BINTI ADAI KUBAKWA NA POLISI
11 years ago
Tanzania Daima21 Jun
‘Hausigeli’ adaiwa kubakwa na mwajiri
MTOTO mwenye umri wa miaka 14, mkazi wa maeneo ya Mghalani, mkoani hapa, ambaye ni mfanyakazi wa ndani ‘Hausigeli’, anadaiwa kubakwa na mwajiri wake na kumsababishia maumivu makali. Kaimu Kamanda...