Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


‘Hausigeli’ adaiwa kubakwa na mwajiri

MTOTO mwenye umri wa miaka 14, mkazi wa maeneo ya Mghalani, mkoani hapa, ambaye ni mfanyakazi wa ndani ‘Hausigeli’, anadaiwa kubakwa na mwajiri wake na kumsababishia maumivu makali. Kaimu Kamanda...

Tanzania daima

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Mfanyakazi wa ndani adaiwa kuua mwajiri wake

>Karani wa Mahakama ya Wilaya ya Singida, Asha Juma(24), ameuawa kwa kuchomwa kisu na mfanyakazi wake wa ndani.

 

10 years ago

GPL

HAUSIGELI ADAIWA KUFARIKI, AIBUKIA MAZISHINI

Dustan Shekidele, Morogoro
Maajabu! Dada mmoja msaidizi wa kazi za ndani maarufu kama Hausigeli, aitwaye Sophia Omari (24) ambaye ndugu zake walitangaza kuwa alifariki kwa kunywa sumu, aliibuka nyumbani kwao mtaa wa Tuelewane, Kihonda mjini Morogoro Jumanne wiki hii wakati wanandugu wakijiandaa kwa ajili ya mazishi ya mwili wake, Ijumaa lina mkasa kamili. Sophia Omari anayedaiwa kufa na kuibukia mazishini. Sophia aliyetinga...

 

11 years ago

GPL

KHAA! MZUNGU DAR ADAIWA KUMLAZIMISHA HAUSIGELI AFANYE MAPENZI NA MBWA WAKE

Stori: Waandishi Wetu KHAA! Katika hali ya kushangaza, dada wa kazi za nyumbani (hausigeli) mkazi wa Tabata  jijini Dar aliyetambulika kwa jina moja la Aneth, amejikuta kwenye wakati mgumu baada ya kudai kuwa bosi wake ambaye ni Mzungu amemlazimisha kufanya mapenzi na mbwa wake. Mapolisi wakiwa wametinga nyumbani kwa mzungu na silaha. Kushoto ni hausigeli.
Mzungu huyo ambaye jina tunalihifadhi, alidaiwa kufanya tukio hilo...

 

10 years ago

GPL

SNURA ADAIWA ADAIWA KUPORA MUME WA DAVINA

HAMIDA HASSAN
Staa wa muziki wa mduara, Snura Mushi ameingia katika tuhuma nzito akidaiwa kutoka kimapenzi na mume wa rafiki yake Halima Yahya ‘Davina’.
Kwa mujibu wa chanzo chetu makini, kwa kipindi kirefu, Snura amekuwa akionekana nyakati za usiku akiwa na mume wa Davina, wakati mwingine mwanaume huyo anaenda nyumbani kwa Snura au wawili hao kuzungumza kwa muda mrefu ndani ya gari la mwanaume huyo. Staa wa...

 

10 years ago

GPL

MREMBO CHUPUCHUPU KUBAKWA

Stori: Musa Mteja
Msichana mrembo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni aliponea chupuchupu kubakwa baada ya kuzidiwa na kilevi na kuangukia mikononi mwa wanaume wakware. Mrembo ( jina halikufahamika mara moja) akiwa hoi baada ya kufakamia pombe kwa wingi. Tukio hilo lilijiri mjini Iringa kwenye Uwanja wa Samora kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo awali msichana huyo alionekana akicheza kihasara...

 

11 years ago

Habarileo

Walimu kuwa na mwajiri mmoja

CHAMA cha Walimu Nchini (CWT), kimeipongeza serikali kwa kukubaliana na hoja yao ya kuwa na mwajiri mmoja.

 

11 years ago

GPL

UKWELI SKENDO YA AMANDA KUBAKWA

Stori: Sifael Paul na Gladness Mallya
MAMBO hadharani! Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ ameanika ukweli juu ya skendo iliyoenea kama moto wa kifuu kuwa amebakwa jijini Arusha. Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’. Awali, Risasi Jumamosi lilipokea skendo hiyo kutoka kwa vyanzo vyake ambapo ilidaiwa kwamba Amanda alifanyiwa ‘unyambilisi’ huo...

 

9 years ago

Global Publishers

Denti chupuchupu kubakwa ufukweni

IMG_1317

Maria akisitilia na marafiki zake baada ya kunusurika kubakwa.

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
SIKUKUU NOMA! Zikiwa zimepita siku chache baada ya Sikukuu ya Krismasi kupita, imeacha matukio ya hatari ambapo denti wa Shule ya Zanaki, Dar aliyejulikana kwa jina moja la Maria alinusurika kubakwa katika Ufukwe wa Coco Beach.

Tukio hilo lilinaswa na kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM), siku ya ‘Boxing day’ ambapo denti huyo alinusurika kubakwa na wanaume wakware waliokuwa wakimzengea...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA CHUPUCHUPU KUBAKWA

Na Mwandishi Wetu
STAA wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amenusurika kubakwa na vijana wa kihuni nchini Kenya maarufu kama machokoraa. Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni pande za Mombasa nchini Kenya wakati nyota huyo alipokuwa akirekodi video ya wimbo wake uitwao The Gal Bladder ambapo vijana hao walikatisha shughuli nzima na kuanza...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani