Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BABY MADAHA CHUPUCHUPU KUBAKWA

Na Mwandishi Wetu
STAA wa filamu na muziki Bongo, Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’ amenusurika kubakwa na vijana wa kihuni nchini Kenya maarufu kama machokoraa. Baby Joseph Madaha ‘Baby Madaha’. Tukio hilo lilitokea hivi karibuni pande za Mombasa nchini Kenya wakati nyota huyo alipokuwa akirekodi video ya wimbo wake uitwao The Gal Bladder ambapo vijana hao walikatisha shughuli nzima na kuanza...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MREMBO CHUPUCHUPU KUBAKWA

Stori: Musa Mteja
Msichana mrembo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni aliponea chupuchupu kubakwa baada ya kuzidiwa na kilevi na kuangukia mikononi mwa wanaume wakware. Mrembo ( jina halikufahamika mara moja) akiwa hoi baada ya kufakamia pombe kwa wingi. Tukio hilo lilijiri mjini Iringa kwenye Uwanja wa Samora kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo awali msichana huyo alionekana akicheza kihasara...

 

9 years ago

GPL

DIANA KIMARO CHUPUCHUPU KUBAKWA

 Diana Kimaro ‘Pacha wa Lulu’ Kisa pombe! Habari ya kushtua inaeleza kwamba, mwigizaji katika tasnia ya filamu Bongo, Diana Kimaro ‘Pacha wa Lulu’ amekiri kunusurika kubakwa na msanii mwenye hadhi na ‘taito’ kubwa katika gemu la sanaa Bongo (hakumtaja), chanzo kikiwa ni ulabu. Akizungumza na Ijumaa Wikienda jijini Dar, wikiendi iliyopita, Diana alifunguka kuwa, tukio hilo lilijiri maeneo...

 

9 years ago

Global Publishers

Denti chupuchupu kubakwa ufukweni

IMG_1317

Maria akisitilia na marafiki zake baada ya kunusurika kubakwa.

Deogratius Mongela na Chande Abdallah
SIKUKUU NOMA! Zikiwa zimepita siku chache baada ya Sikukuu ya Krismasi kupita, imeacha matukio ya hatari ambapo denti wa Shule ya Zanaki, Dar aliyejulikana kwa jina moja la Maria alinusurika kubakwa katika Ufukwe wa Coco Beach.

Tukio hilo lilinaswa na kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM), siku ya ‘Boxing day’ ambapo denti huyo alinusurika kubakwa na wanaume wakware waliokuwa wakimzengea...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA

Baby Joseph Madah. Na Waandishi Wetu AMA kweli maovu yanazidi kuongezeka, shetani naye mbioni siku zote kunasa waliyo wake, kauli hizo zote ziko sambamba na staa wa sinema za Kibongo na mkali wa muziki wa Kizazi Kipya, Baby Joseph Madaha amenaswa baada kuingia mkenge mtego wa kujiuza, Ijumaa limesheheni. Kumekuwa na skendo kuwa baadhi ya mastaa wa kike Bongo hujihusisha na biashara ya kujiuza ili kujipatia kipato na kufanya...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA: NIMEUMBUKA!

Stori:   Mwandishi Wetu
Jambo limezua jambo! Ile skandali ya kunaswa baada ya kuingia mkenge kwenye mtego wa kujiuza imemtokea puani staa wa sinema na Bongo Fleva, Baby Joseph Madaha ambaye amekiri kuumbuka.
Habari hiyo iliruka hewani kwenye gazeti dada la hili, Ijumaa wiki iliyopita toleo namba 862 la Januari 17 hadi 23 likiwa na kichwa cha habari ‘BABY MADAHA ANASA MTEGO WA KUJIUZA. SAFARINI
Ilielezwa kuwa...

 

11 years ago

Michuzi

11 years ago

GPL

BABY MADAHA AUMBUKA

Na Mayasa Mariwata
STAA wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha ambaye aliwahi kutangaza kuacha fani ya maigizo na muziki amejikuta akiumbuka kwa mashabiki wake kutokana na kuendelea kukomaa katika gemu kwa kuachia kazi mpya na kuandaa matamasha mbali mbali. Staa wa muziki na filamu Bongo, Baby Joseph Madaha akiwa kwenye pozi. Msanii huyo alitoa uamuzi huo kwa madai kuwa alichoshwa na skendo za kila kukicha ambazo...

 

11 years ago

GPL

BABY MADAHA ANASWA AKIJIPODOA

Baby Madaha akijipodoa tayari kurekodi video ya wimbo wake wa Nawaponda. Meneja wa Baby Madaha, Joe Kariuki (kulia) akijadiliana jambo na muongozaji wa video hiyo. MSANII wa muziki na filamu Bongo, Baby Madaha jana alinaswa na kamera zetu akijipodoa bila kuogopa wala kujali…

 

11 years ago

GPL

SHILOLE: BABY MADAHA HAJIELEWI

Na Shani Ramadhani
STAA wa Mduara Bongo, Zuwena Mohamed ‘Shilole’ amemfungukia msanii mwenzake, Baby Joseph Madaha kwamba  hajielewi. Zuwena Mohamed ‘Shilole’. Shilole ametoa kauli hiyo siku chache baada ya kuchanwa gazetini na Baby Madaha kwa kuambiwa kuwa yeye ni mcheza vigodoro.…

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani