MREMBO CHUPUCHUPU KUBAKWA
![](http://api.ning.com:80/files/pog920fjmi8mtuYwT7X4pXfuAdzb4lHR8z-EYt9GUlB3XXIHudT6lUAy7277dh-UA-YxOiIOiR*SDrmugcqIZYIpebJqa9tt/mremboo.jpg)
Stori: Musa Mteja Msichana mrembo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni aliponea chupuchupu kubakwa baada ya kuzidiwa na kilevi na kuangukia mikononi mwa wanaume wakware. Mrembo ( jina halikufahamika mara moja) akiwa hoi baada ya kufakamia pombe kwa wingi. Tukio hilo lilijiri mjini Iringa kwenye Uwanja wa Samora kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo awali msichana huyo alionekana akicheza kihasara...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/dm99ly9wi65gpfcg6iJTkLWlNELZp3YZkvBSvo7crJZG3*PAIk1hQCxE58aqKSFUe2cM0ZvyrVXXzT0FImmfrcbJ8-o7orUM/diana.jpg)
DIANA KIMARO CHUPUCHUPU KUBAKWA
9 years ago
Global Publishers30 Dec
Denti chupuchupu kubakwa ufukweni
Maria akisitilia na marafiki zake baada ya kunusurika kubakwa.
Deogratius Mongela na Chande Abdallah
SIKUKUU NOMA! Zikiwa zimepita siku chache baada ya Sikukuu ya Krismasi kupita, imeacha matukio ya hatari ambapo denti wa Shule ya Zanaki, Dar aliyejulikana kwa jina moja la Maria alinusurika kubakwa katika Ufukwe wa Coco Beach.
Tukio hilo lilinaswa na kikosi cha Oparesheni Fichua Maovu (OFM), siku ya ‘Boxing day’ ambapo denti huyo alinusurika kubakwa na wanaume wakware waliokuwa wakimzengea...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/-TI4uM2ffQigZ5dtC2zv*jBdz62H*dPkJdhMg0ErLBY95DxxTM9XktfpsiXqp9JFRWfcfee91f8ARuErGpiw5nFmToRPSUDt/madaha.jpg?width=650)
BABY MADAHA CHUPUCHUPU KUBAKWA
11 years ago
Habarileo02 Apr
RC chupuchupu kuhadaiwa
MKUU wa Mkoa wa Katavi , Dk Rajab Rutengwe ametoa ushuhuda wake jinsi alivyoponea chupuchupu, kuhadaiwa na mkazi wa mjini Mpanda jana asubuhi, ambayo ilikuwa Siku ya Wajinga Duniani.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/p1hCpNEYWCKtegrH-EYWjN2pDqP-S0BGgRa1teMlQeoJtzq9cgS9tnwovBe5DtWMQ3WrOWzCS1Uq*7doVk8ELQ2S0FcpFgiz/IMG20140816WA0020.jpg?width=650)
CHUPUCHUPU BASI KUUA
10 years ago
Habarileo08 Aug
Coutinho chupuchupu Yanga
MASHABIKI wa Yanga wamemwokoa kiungo Mbrazili Andrey Coutinho asitemwe baada ya kumpigia simu Mwenyekiti wao Yusuf Manji, ambaye aliamuru mchezaji huyo asiachwe.
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Madiwani Mbozi ‘chupuchupu’
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Simba chupuchupu Mbeya
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Simba yaponea chupuchupu