CHUPUCHUPU BASI KUUA
![](http://api.ning.com:80/files/p1hCpNEYWCKtegrH-EYWjN2pDqP-S0BGgRa1teMlQeoJtzq9cgS9tnwovBe5DtWMQ3WrOWzCS1Uq*7doVk8ELQ2S0FcpFgiz/IMG20140816WA0020.jpg?width=650)
Toyota Coster 'Daladala' inayofanya kazi kutoka Buguruni na Temeke likiwa mtaroni baada ya kugongwa na Scania (haipo pichani) ajali hiyo chupuchupu kuua watu na ikawaacha baadhi majeruhi. Wananchi wakisadia kuondoa daladala kwenye mtaro. Askari…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo23 Aug
Basi la Kisbo lapasuka tairi na kuua 2
WATU wawili wamekufa papo hapo na wengine 52 kujeruhiwa baada ya basi la Kampuni ya Kisbo walilokuwa wakisafiria kutoka Dar es Salaam kwenda Kahama kupasuka tairi ya mbele na kupinduka katika kijiji cha Kambi ya Mkaa, wilayani Ikungi kwenye barabara kuu ya Singida – Dodoma.
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/st-pA-4csCGQ4-t4jx12MikAxzFvyvUW-zC35WxKpbGhYiXhPqU4H5di0w8j4TwMDjoHYFJKlkEAnto0riRQW1TncFQ-7kLz/5ajali5.jpg)
BASI LAGONGA TRENI NA KUUA IFAKARA
11 years ago
Tanzania Daima05 Apr
Dereva basi la Muro mbaroni kwa kuua
JESHI la Polisi mkoani Iringa linamshikilia dereva wa basi la Prince Muro, Said Mtatifikolo kwa tuhuma za kumuua mtembea kwa miguu baada ya kumgonga. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
BASI LA MTEI LATEKETEZWA KWA MOTO BAADA YA KUGONGA NA KUUA SINGIDA
11 years ago
Habarileo02 Apr
RC chupuchupu kuhadaiwa
MKUU wa Mkoa wa Katavi , Dk Rajab Rutengwe ametoa ushuhuda wake jinsi alivyoponea chupuchupu, kuhadaiwa na mkazi wa mjini Mpanda jana asubuhi, ambayo ilikuwa Siku ya Wajinga Duniani.
10 years ago
Mwananchi11 Sep
Madiwani Mbozi ‘chupuchupu’
11 years ago
Mwananchi16 Feb
Simba chupuchupu Mbeya
11 years ago
Mwananchi06 Feb
Simba yaponea chupuchupu