Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BASI LA MTEI LATEKETEZWA KWA MOTO BAADA YA KUGONGA NA KUUA SINGIDA

Mojawapo ya basi la Mtei sio lililopata ajali. Habari ambazo mtandao huu umezipata kutoka Singida sasa hivi zinasema Basi la abiria la Matei linalofanya safari zake kutoka Mwanza kwenda Dar  limechomwa moto na kuteketea kabisa na watu wenye hasira kali baada ya kugonda bodaboda ambayo ilikuwa imepakia ‘mshikaki’ wa watu watatu ambao walikufa papohapo eneo la tukio. Hakuna abiria wa basi aliyeumia.  Mwandishi...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

AJALI YATOKEA MKOANI TABORA BAADA YA BASI KUGONGA TRENI

 Ajali imetokea barabara ya kwenda Urambo eneo la Mororo,Tabora ikihusisha treni na basi la abiria. Inasemekana kuna watu wamepoteza maisha kwenye eneo la tukio baada ya gari la abiria kugongana na treni la mizigo, watu waliofariki bado hajafahamika idadi yao kamili waliotambuliwa ni wawili mmoja ni Samweli mkazi wa kata ya Ufuruma wilayani Uyui na Mwingine ni Issa.
Endelea kutufuatilia kwa taarifa zaidi

 

10 years ago

Habarileo

Kanisa lateketezwa kwa moto Kakonko

WATU wasiojulikana wamelichoma moto na kuliteketeza Kanisa la Evangelical Assemblies of God wilaya ya Kakonko mkoani Kigoma na kuteketekeza kila kitu kilichokuwemo ndani ya kanisa hilo.

 

10 years ago

Vijimambo

DEREVA WA BASI LA SHABIBY AWEKWA KITI MOTO NA ABIRIA BAADA YA BASI HILO KUHARIBIKA NA YEYE KUWAKIMBIA ABIRIA

Gari lenye namba za usajili T 607 CVL likiwa limeegeshwa pembezoni mwa barabara baada ya kuharibika.

Leo hii asubuhi nikitokea Singida kwenda Dar kwa basi la Shabiby Line, lenye nambari za usajili T607 CVL iliondoka stendi ya Misuna Singida mnaomo saa 12.48(moja kasoro 12) za asubuhi. Safari ilikuwa nzuri mpaka gari ilipofika nje kidogo ya Manyoni kuelekea Dodoma mnamo saa 2.30 kwa muda wa sekunde chache mpaka dkk moja hivi ulisikika mlio usio wa kawaida ingawa dereva wa gari hilo aliendelea...

 

10 years ago

GPL

MAAJABU AJALI YA BASI KUGONGA TRENI

Stori: Dustan Shekidele NImaajabu ya Mungu! Nyuma ya tukio la ajali ya basi kugona treni iliyotokea hivi karibuni, yamebainika maajabu ya aina yake baada ya mtoto Alhaji Mdoe aliyekuwa amepakatwa na mama yake kukutwa akiwa hai wakati mama yake akiwa amefariki dunia. Soma zaid hapa====>http://bit.ly/1LMsk2c

 

11 years ago

CloudsFM

AJIUA KWA KUJIPIGA RISASI KICHWANI BAADA YA KUGONGA MARA MBILI AKIWA ANAENDESHA GARI

MFANYABIASHARA wa madini, Richard Lucas (29), amejipiga risasi kichwani baada ya kusababisha ajali mbili tofauti na gari lake kupinduka.
Tukio hilo lilitokea juzi majira ya saa 12 jioni nyumbani kwa marehemu eneo la Kimandolu.

Akizungumza na waandishi wa habari, Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha, Liberatus Sabas, alithibitisha kutokea kwa tukio hilo.

Alisema kuwa Lucas alijipiga risasi ya kichwa kwa kutumia bastola aina ya Luger yenye namba B136986 baada ya kuwagonga watu hao.

Kamanda Sabas,...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Dereva basi la Muro mbaroni kwa kuua

JESHI la Polisi mkoani Iringa linamshikilia dereva wa basi la Prince Muro, Said Mtatifikolo kwa tuhuma za kumuua mtembea kwa miguu baada ya kumgonga. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa...

 

10 years ago

GPL

AJALI YA BASI LA SUPER ALJABIR KUGONGA TRENI IFAKARA, MAJINA YA MAREHEMU YATAJWA


Kamanda wa Polisi mkoa wa Morogoro, Leonard L. Paulo-SACP akithibitisha kutokea kwa ajali hiyo.…

 

11 years ago

Mwananchi

Mbaroni kwa kuua mwanafunzi kwa moto

Jeshi la Polisi mkoani hapa linawashikilia watu watatu kwa tuhuma za kumjeruhi kwa moto na kusababisha kifo cha mwanafunzi wa Chuo Kikuu cha Ruaha mkoani Iringa (RUCO), Daniel Lema (25).

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani