Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Simba yaponea chupuchupu

Timu ya Simba, jana iliponea chupuchupu kuchapwa na Mtibwa Sugar katika mechi ya Ligi Kuu Bara baada ya kulazimisha sare ya bao 1-1 katika mechi iliyochezwa kwenye Uwanja wa Jamhuri, Mrogoro.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Mwananchi

Simba chupuchupu Mbeya

Mbeya City wamepoteza nafasi ya kukalia usukani wa Ligi Kuu baada ya kulazimishwa sare 1-1 na Simba jana kwenye Uwanja wa Sokoine, Mbeya.

 

10 years ago

BBCSwahili

Ndege ya Lufthansa yaponea ajali

Ndege ya kampuni ya Ujerumani ya Lufthansa imenusurika na ajali baada ya kuepuka kugongana na ndege isiyokua na rubani

 

11 years ago

BBCSwahili

Brazil yaponea kuaga mashindano

Brazil imeponea kuaga kombe la dunia kwa mikwaju ya penalti dhidi ya Chile

 

10 years ago

BBCSwahili

Nigeria yaponea marufuku ya FIFA

Fifa imethibitisha kuwa Nigeria imefanikiwa kukwepa kupigwa marufuku kutoka kwa soka ya kimataifa.

 

10 years ago

BBCSwahili

ManCity yaponea huku United ikishinda

Mabingwa wa ligi ya Uingereza Manchester City wamewachwa kwa alama nane na viongozi wa Ligi hiyo kufikia sasa Chelsea

 

11 years ago

Habarileo

RC chupuchupu kuhadaiwa

MKUU wa Mkoa wa Katavi , Dk Rajab Rutengwe ametoa ushuhuda wake jinsi alivyoponea chupuchupu, kuhadaiwa na mkazi wa mjini Mpanda jana asubuhi, ambayo ilikuwa Siku ya Wajinga Duniani.

 

10 years ago

Mwananchi

Madiwani Mbozi ‘chupuchupu’

Madiwani wa CCM wilayani hapa juzi walinusurika kupokonywa wadhifa huo kwa tuhuma za uzembe na kutowabana watendaji wanaoisababishia halmashauri hiyo kupata hati chafu kwa miaka mitatu mfululizo.

 

10 years ago

GPL

CHUPUCHUPU BASI KUUA

Toyota Coster 'Daladala'  inayofanya kazi kutoka Buguruni na Temeke likiwa mtaroni baada ya kugongwa na Scania (haipo pichani) ajali hiyo chupuchupu kuua watu na ikawaacha baadhi majeruhi. Wananchi wakisadia kuondoa daladala kwenye mtaro. Askari…

 

10 years ago

Habarileo

Coutinho chupuchupu Yanga

MASHABIKI wa Yanga wamemwokoa kiungo Mbrazili Andrey Coutinho asitemwe baada ya kumpigia simu Mwenyekiti wao Yusuf Manji, ambaye aliamuru mchezaji huyo asiachwe.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani