Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


BINTI ADAI KUBAKWA NA POLISI

Stori: gabriel ng’osha DUNIA ina maajabu jamani! Msichana wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) amebakwa huku mwenzake aitwaye Mecy (11) akipigwa na kuporwa simu na mtu aliyedai kuwa ni askari polisi (kituo hakijulikani).
Kwa mujibu wa Mecy (pichani)ambaye ni mkazi wa Kinondoni Msiriri jijini Dar, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo wote walijikuta wakipata dhahama hiyo baada ya kukutana na afande huyo na kuwafanyia...

GPL

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Polisi achunguzwa kwa kutorosha binti kidato 3

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Moita KokaJESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linachunguza tukio la askari wake (jina tunalo), iwapo alimtorosha na kumweka kinyumba mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Okaoni, wilayani Moshi Vijijini.

 

10 years ago

GPL

POLISI ALIYENASWA AKIMNYANYASA BINTI MWEUSI TEXAS AACHIA NGAZI

Ofisa huyo wa polisi akimhenyesha binti wa miaka 15. Eric Casebolt (41)  akiwa amembana binti huyo. Video ya tukio hilo iliyowekwa Jumamosi Youtube ikiwa imetazwa na zaidi ya watu milioni 10. OFISA wa Polisi katika Jimbo la Texas,…

 

10 years ago

Habarileo

Mshitakiwa adai kuteswa, kudhalilishwa polisi

MSHITAKIWA katika kesi ya ugaidi, Abdallah Maginga, ameiomba Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha, kumruhusu kutohudhuria siku za kesi na abaki magereza, kutokana na maumivu makali anayodai anayapata sehemu za siri alikominywa na polisi na kuingiziwa mti kwenye haja kubwa.

 

11 years ago

GPL

DEREVA ADAI KUVUNJWA MKONO NA ASKARI POLISI

Dereva wa basi la Princes Munaa Hamidu Juma akionyesha sehemu ya mkono aliyoumia. Sehemu ya mkono wa kushoto ulioumia.…

 

10 years ago

GPL

MREMBO CHUPUCHUPU KUBAKWA

Stori: Musa Mteja
Msichana mrembo ambaye jina lake halikuweza kufahamika mara moja, hivi karibuni aliponea chupuchupu kubakwa baada ya kuzidiwa na kilevi na kuangukia mikononi mwa wanaume wakware. Mrembo ( jina halikufahamika mara moja) akiwa hoi baada ya kufakamia pombe kwa wingi. Tukio hilo lilijiri mjini Iringa kwenye Uwanja wa Samora kulikokuwa na Tamasha la Fiesta ambapo awali msichana huyo alionekana akicheza kihasara...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Mtoto afa kwa kubakwa

MTOTO wa kike mwenye umri wa miaka 13, mkazi wa  Kijiji cha Nyangoto, wilayani Tarime, amefariki dunia baada ya kubakwa. Kamanda wa Polisi Tarime na Rorya, Justus Kamugisha, alisema jana...

 

11 years ago

GPL

UKWELI SKENDO YA AMANDA KUBAKWA

Stori: Sifael Paul na Gladness Mallya
MAMBO hadharani! Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’ ameanika ukweli juu ya skendo iliyoenea kama moto wa kifuu kuwa amebakwa jijini Arusha. Staa wa sinema za Kibongo, Tamrina Mohamed Poshi ‘Amanda’. Awali, Risasi Jumamosi lilipokea skendo hiyo kutoka kwa vyanzo vyake ambapo ilidaiwa kwamba Amanda alifanyiwa ‘unyambilisi’ huo...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Busega walaani mwalimu kubakwa

JUMUIYA ya Maendeleo ya Wanabusega (Budeco), imelaani tukio la kubakwa mwalimu wa shule ya Busega mkoani Simiyu. Tukio hilo lililotokea Agosti 23 mwaka huu, ambako majambazi wakiwa na silaha walivamia...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Wanabusega walaani mwalimu kubakwa

JUMUIYA ya Maendeleo ya Wanabusega (Budeco), imelaani tukio la kubakwa mwalimu wa shule ya Busega mkoani Simiyu. Tukio hilo lilitokea Agosti 23 mwaka huu, ambako watu wanaotuhumiwa majambazi walivamia nyumba...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani