DEREVA ADAI KUVUNJWA MKONO NA ASKARI POLISI
Dereva wa basi la Princes Munaa Hamidu Juma akionyesha sehemu ya mkono aliyoumia. Sehemu ya mkono wa kushoto ulioumia.…
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rf021BwezXHd3jkuJyILN-6lhzH-MrUq3WjzN6BKpDfQUQFTgmRo9RSxoaYACLEuMF7EXym0lbRca1HXB54J*S1yKnbxkiK3/unnamed100.jpg?width=650)
GARI LAPINDUKA WAKATI DEREVA AKIWAKIMBIA ASKARI POLISI
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota Spacio lenye namba za usajili T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma, Moshi jirani kabisa na mnara wa saa.Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine na hatimaye kupinduka hakuna aliepoteza maisha kwenye tukio hilo la...
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-TgnCdE_cSWk/VFn6y_5zcII/AAAAAAAGvl8/dy8tpFwQDzg/s72-c/unnamed%2B(99).jpg)
YALE YALEEEE.......:Gari lapinduka wakati dereva akiwakimbia askari Polisi
![](http://4.bp.blogspot.com/-TgnCdE_cSWk/VFn6y_5zcII/AAAAAAAGvl8/dy8tpFwQDzg/s1600/unnamed%2B(99).jpg)
5 years ago
Michuzi![](https://1.bp.blogspot.com/-NOEPf2lvTAk/Xnnxaw3mMKI/AAAAAAALk6Q/hdUMqFjdEAYrsPSG1XRxBmhRmABwKv1eACLcBGAsYHQ/s72-c/IMG-20200324-WA0002.jpg)
MBEYA: JESHI LA POLISI LAMSHIKILIA DEREVA WA BASI LA RAHABU KWA KUSABABISHA KIFO CHA DEREVA WA BAJAJI
AJALI YA GARI KUGONGA BAJAJI NA KUSABABISHA VIFO VYA WATU WAWILI.![](https://1.bp.blogspot.com/-NOEPf2lvTAk/Xnnxaw3mMKI/AAAAAAALk6Q/hdUMqFjdEAYrsPSG1XRxBmhRmABwKv1eACLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200324-WA0002.jpg)
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...
![](https://1.bp.blogspot.com/-NOEPf2lvTAk/Xnnxaw3mMKI/AAAAAAALk6Q/hdUMqFjdEAYrsPSG1XRxBmhRmABwKv1eACLcBGAsYHQ/s640/IMG-20200324-WA0002.jpg)
JESHI la Polisi mkoani Mbeya linamshikilia Dereva AYOUB BALENZI MWANDWANGWA [36] Mkazi wa Ilomba Jijini Mbeya ambaye ni Dereva wa Basi la RAHABU linalofanya Safari zake kati ya Mbeya – Ifakara Morogoro kwa kosa la kusababisha vifo kwa dereva wa Bajaji ambaye bado hajafahamika jina na abiria wake aitwaye ESTER MBOJE [35] Mkazi wa Ilemi.Ni kwamba mnamo tarehe 24/03/2020 majira ya saa 06:15 asubuhi huko Ilomba, Kata ya Ilomba,...
11 years ago
MichuziKIINGLISHI KILIVYOWAGOMBANISHA ASKARI POLISI NA ASKARI WA MANISPAA YA MOSHI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/A8I8pebmYzr2eYP7hP5ut4Ux34fTSjiTEbUqdnAnphGP3N9CV6BX9mZVVmSJzAHGrShUfc0t3-F7mX7R7F3JzMTyL5D5uzfH/polisi.jpg?width=650)
ASKARI WAMPA KIPONDO DEREVA DALADALA
Stori: Dustan Shekidele, Morogoro
WAKAZI wa mjini hapa wamekilaani kitendo cha askari wa kituo kikuu cha polisi baada ya kumpa kipondo na kumkwida hadi kumvua nguo hadharani dereva wa daladala aliyefahamika kwa jina la Bello. Polisi akimpa kichapo dereva daladala. Tukio hilo lililojaza umati wa watu lililoshuhudiwa na paparazi wetu lilitokea mwishoni mwa wiki iliyopita ndani ya stendi ya daladala mjini hapa. Mashuhuda...
11 years ago
Michuzi28 Jul
Jaji adai fidia ya milioni 300/= kwa ajali ya uzembe wa dereva
Jaji wa Mahakama Kuu, Grace Mwakipesile amefungua kesi ya madai ya kulipwa fidia ya Sh milioni 300 kutokana na majeraha na maumivu aliyoyapata katika ajali aliyoipata mkoani Shinyanga.
Amefungua kesi hiyo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu dhidi ya dereva Kamota Hassan, Michael Mosha na kampuni ya bima ya Zanzibar. Kesi hiyo itatajwa Agosti 4 mwaka huu mbele ya Hakimu Mkazi Hellen Riwa.
Katika hati ya madai, Jaji Grace anaiomba mahakama iamuru walalamikiwa hao wamlipe fedha hizo kutokana...

Mwananchi23 Jul
Kifo cha mke wa askari aliyefia kwa dereva wa bodaboda utata
>Wingu zito limegubika kifo cha mke wa askari polisi wa wilayani Mwanga, Kilimanjaro aliyefia chumbani kwa dereva wa bodaboda. Uchunguzi wa awali wa polisi unadai kuwa mwanamke huyo alilala chumbani huko usiku mzima wa kuamkia Jumapili, siku ambayo maiti yake iligunduliwa saa 12 jioni.
Top 10
Tanzania Today
Today Breaking News,Tanzania World News
13-February-2025 in Tanzania