YALE YALEEEE.......:Gari lapinduka wakati dereva akiwakimbia askari Polisi
![](http://4.bp.blogspot.com/-TgnCdE_cSWk/VFn6y_5zcII/AAAAAAAGvl8/dy8tpFwQDzg/s72-c/unnamed%2B(99).jpg)
Baadhi ya wakazi wa mji wa Moshi wakiangalia kwa mshangao gari aina ya Toyota Spacio, lenye namba za usajili, T111 BHW likiwa limepinduka chini juu mbele ya ofisi za TFA barabara ya Boma ,jirani kabisa na kipita shoto cha mnara wa saa ,Dereva wa gari hilo anadaiwa alikuwa akijaribu kuwakimbia askari wa kikosi cha barabarani kwa mwendo wa kasi kabla ya kugonga gari jingine na hatimaye kupinduka.hakuna aliepoteza maisha kwenye tukio hilo la ajali.Picha na Dixon Busagaga wa Globu ya jamii...
Michuzi
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/rf021BwezXHd3jkuJyILN-6lhzH-MrUq3WjzN6BKpDfQUQFTgmRo9RSxoaYACLEuMF7EXym0lbRca1HXB54J*S1yKnbxkiK3/unnamed100.jpg?width=650)
GARI LAPINDUKA WAKATI DEREVA AKIWAKIMBIA ASKARI POLISI
11 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-sjTYkDfW3u0/U1jKBQTLmnI/AAAAAAAFco0/H9a2gAscvAc/s72-c/Scanned+Image.jpeg)
YALE YALEEEE......
![](http://1.bp.blogspot.com/-sjTYkDfW3u0/U1jKBQTLmnI/AAAAAAAFco0/H9a2gAscvAc/s1600/Scanned+Image.jpeg)
Naomba uniwekee taarifa hii ya zengwe alilokutana nalo dereva wetu wa bodaboda ambaye alikamatwa jana maeneo ya posta na Jamaa wanaojiita TAMBAZA AUCTION MART & GENERAL BROKER sasa baada ya kugoma kulipa fain ya TSH 50,000 jamaa ambaye ndo mkuu wa hicho kikosi kilichokua pale kwenye traffik lights za Serena akasema anatupa kibali cha 20,000....na hata mtoza faini ..sasa angalia angalia hiyo fomu ya faini ambayo jamaa alikua kamjazia ili alipe faini ya 50,000 ...na...
10 years ago
Michuzi13 Nov
10 years ago
Vijimambo19 Jun
Askari Polisi Wagongwa Na Gari Baada Ya Gari Hiyo Kukataa
Ajali Arusha: Askari Polisi wagongwa na gari Ni baada ya dereva kusimamishwa akakataa, Trafiki wakapiga simu mbele, alipofika akakutwa askari wameweka kizuizi njiani akapita nao.
10 years ago
MichuziYALE YALEEEE....BAADA YA MSHIKAKI SASA KUNA KACHUMBARI....
11 years ago
GPLDEREVA ADAI KUVUNJWA MKONO NA ASKARI POLISI
10 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-YFKpWo8xoJQ/VMOMrmLWPyI/AAAAAAAG_Uw/l-2FcASe20k/s72-c/kova18_232_300.jpg)
TAARIFA YA POLISI JIJINI DAR: MAJAMBAZI WAWILI WAUAWA DAR WAKATI WA MAPAMBANO KATI YAO NA ASKARI WA JESHI LA POLISI
![](http://4.bp.blogspot.com/-YFKpWo8xoJQ/VMOMrmLWPyI/AAAAAAAG_Uw/l-2FcASe20k/s1600/kova18_232_300.jpg)
Tukio hilo lilitokea eneo la Kariakoo mtaa wa Mkunguni na Livingstone saa 3.00hrs usiku. Wakati wa tukio hilo umeme ulikuwa hakuna na mlalamikaji alikuwa anatumia taa za...
11 years ago
Michuzi![](http://4.bp.blogspot.com/-ihAeq2lwCdg/UuzPXTi1mPI/AAAAAAAFKGc/ouElErufAro/s72-c/unnamed+(61).jpg)
ASKARI POLISI WATANO MKOANI DODOMA WAFARIKI DUNIA PAPOHAPO KATIKA AJALI YA GARI
![](http://4.bp.blogspot.com/-ihAeq2lwCdg/UuzPXTi1mPI/AAAAAAAFKGc/ouElErufAro/s1600/unnamed+(61).jpg)
Askari polisi watano mkoani dodoma wafariki dunia papohapo katika ajali ya gari iliyotokea 31/01/2014 majira ya 23.45 hrs katika barabara kuu ya Dodoma – Morogoro eneo la Mtumba Center, Kata ya Mtumba Tarafa ya Kikombo Manispaa ya Dodoma, ambapo gari namba T.770 ABT Toyota Corolla lililokuwa likiendeshwa na Askari namba H. 3783 PC DEOGRATIUS wa Polisi Wilaya ya Kongwa likitokea Dodoma mjini likielekea Wilayani Kongwa liligongana uso kwa uso...
11 years ago
MichuziASKARI POLISI WALIOFARIKI KATIKA AJALI YA GARI WAAGWA LEO MKOANI DODOMA TAYALI KWA MAZISHI
Akiongea kwa masikitiko Kamishna Msaidi Mwandamizi wa Polisi DAVID MISIME amewashukuru watu waliojitokeza kuungana pamoja kuaga miili ya Askari hao.
Pia amewataka madereva wote kuwa waangalifu wanapokuwa wanaendesha vyombo vya moto na kuzingatia sheria za usalama barabarani ili kuepuka ajali zinazoweza kujitokeza za namna hii.