Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Polisi achunguzwa kwa kutorosha binti kidato 3

Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Moita KokaJESHI la Polisi mkoani Kilimanjaro linachunguza tukio la askari wake (jina tunalo), iwapo alimtorosha na kumweka kinyumba mwanafunzi wa kidato cha tatu katika shule ya sekondari Okaoni, wilayani Moshi Vijijini.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Michuzi

KAMANDA WA POLISI MKOA WA MBEYA AHMED .Z. MSANGI-SACP ANAWATANGAZIA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014 NA KIDATO CHA NNE MWAKA 2013 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI BAADA YA USAILI KUKAMILIKA

Maelekezo Muhimu.

Wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014, kidato cha nne mwaka 2013 na JKT Mafinga, Mlale, Ruvu, Mgambo, Bulombola, Kanembwa, Itende, Nachingwea, Mbweni, Maramba, Chita, Makutupola, Mtabila, Msange, Mgulani, Oljoro, Rwankoma na Kimbiji wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Jeshi la Polisi.

Wahitimu hawa waliochaguliwa wanatakiwa kuripoti tarehe 28/11/2014 kwa Makamanda wa Polisi wa Mikoa kama ilivyooneshwa kwenye jedwali hapa chini ili...

 

11 years ago

BBCSwahili

Moyes achunguzwa na polisi

Aliyekuwa kocha wa Manchester United David Moyes anachunguzwa na polisi kusu madai alimpiga mteja kwenye baa

 

11 years ago

Habarileo

Baba wa binti aliyefanya vyema kidato cha 6 atoa ya moyoni

BABA wa mwanafunzi aliyefanya vizuri katika mtihani wa kidato cha sita na kushika nafasi ya pili kitaifa masomo ya sayansi, Doris Noah amesema mtoto wake ana ndoto ya kuwa rubani lakini bado hakubaliani na maamuzi yake.

 

11 years ago

Michuzi

Taarifa Kwa Wahitimu Wa Kidato cha Sita 2014 ya Kujiunga na Jeshi la Polisi Nchini

Katika mwaka wa fedha 2014/2015 Jeshi la Polisi linatarajia kuajiri wahitimu wa kidato cha sita mwaka 2014 na kidato cha nne mwaka 2013. Ili kutekeleza azma hii tumeweka fomu kwenye tovuti ambayo wahitimu watarajiwa wa kidato cha sita wa mwaka 2014 watajaza kabla ya kufanya mitihani yao ya kumaliza kidato cha sita.

Baada ya kujazwa kikamilifu wakabidhi fomu kwa wakuu wa shule ambao watazirejeshe kwa Makamada wa Polisi wa mikoa kabla ya tarehe 17.03.2014. Wahitimu wa kidato cha nne...

 

9 years ago

Michuzi

Tangazo kwa wahitimu wa kidato cha nne, sita na JKT ambao wamechaguliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya Polisi

JESHI LA POLISI TANZANIA LINAWAJULISHA WAHITIMU WA KIDATO CHA SITA MWAKA 2014, KIDATO CHA NNE MWAKA 2014 NA JKT MWAKA 2015 WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA JESHI LA POLISI KUWA WANATAKIWA KURIPOTI KWA MAKAMANDA WA POLISI WA MIKOA TAREHE 28/08/2015 KWA AJILI YA MAANDALIZI YA USAFIRI WA KWENDA SHULE YA POLISI TANZANIATAREHE 29/08/2015.
KILA MMOJA ATATAKIWA KUWA NA NAULI YA KUMWEZESHA KUSAFIRI TOKA MAKAO MAKUU YA MKOA ANAKOANZIA KUSAFIRI HADI SHULE YA POLISI MOSHI NA ATAREJESHEWA NAULI ATAKAPOFIKA...

 

9 years ago

BBCSwahili

Mchezaji achunguzwa kwa kuchokoza mbwa

Mchezaji mmoja wa Oakland Raiders anachunguzwa na maafisa wa polisi kwa ‘kubweka’ na kujipiga kifua mbele ya mbwa wa polisi.

 

11 years ago

GPL

BINTI ADAI KUBAKWA NA POLISI

Stori: gabriel ng’osha DUNIA ina maajabu jamani! Msichana wa miaka 14 (jina limehifadhiwa) amebakwa huku mwenzake aitwaye Mecy (11) akipigwa na kuporwa simu na mtu aliyedai kuwa ni askari polisi (kituo hakijulikani).
Kwa mujibu wa Mecy (pichani)ambaye ni mkazi wa Kinondoni Msiriri jijini Dar, tukio hilo lilijiri hivi karibuni ambapo wote walijikuta wakipata dhahama hiyo baada ya kukutana na afande huyo na kuwafanyia...

 

11 years ago

BBCSwahili

Justin Bierber achunguzwa kwa kosa la wizi

Mwanamuziki wa kimataifa wa mtindo wa Pop Justin Bieber anachunguzwa na polisi kwa madai yakumuibia mwanamke simu yake

 

11 years ago

BBCSwahili

Achunguzwa kwa kupewa mke kama zawadi

Uchunguzi umeanzishwa nchini Afrika Kusini kuhusu madai kuwa mkuu wa shirika la habari la SABC alikabidhiwa msichana kama zawadi.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani