Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KHERI YA MFUNGO WA RAMADHAN KUTOKA NEW YORK


KHERI YA MFUNGO WA RAMADHAN KUTOKA NEW YORK. Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania inawatakia Wanajumuiya wake pamoja Na waumini wote wa Dini ya Kiislam Mfungo mwema wa Mwezi mtukufu wa Ramadhan. Jumuiya pia inasisitiza mapenzi,ushirikiano na mshikamano baina yetu ili ibada hii iwe yenye mafanikio. Tunamuomba Mwenye Enzi Mungu akupeni afya,faraja na uwezo wa kuifanikisha ibada hii ya Funga katika Kipindi hiki cha jua Kali...Ameen. Hajji Khamis Mwenyekiti...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

SALAMU ZA KRISMASI NA KHERI YA MWAKA MPYA KUTOKA UONGOZI WA JUMUIYA YA WATANZANIA NEW YORK

Uongozi wa Jumuiya ya Watanzania New York,New Jersey,Connecticut na Pennsylvania unawatakia sikukuu njema wanajumuiya wote wa New York Tanzanian Community(NYTC).Tunakutakieni furaha katika sikukuu hizi,mapenzi pamoja na Afya njema,ni matumaini yetu kuwa mwaka tunaouaga ulikuwa ni mwaka wa kheri,mafanikio na baraka nyingi na kwa pamoja tunamuomba Mola aujaalie mwaka ujao 2015 uwe wenye mafanikio,Afya njema na adumishe umoja wetu ili tuendelee kushirikiana kama ambavyo tumeweza kufanya hivyo...

 

11 years ago

GPL

GPL INAWATAKIA JUMAPILI NJEMA NA MFUNGO MWEMA WA RAMADHAN

Kampuni ya Global Publishers Ltd, inapenda kuwatakia Jumapili njema wasomaji wote na mwanzo mwema wa mfungo wa mwezi mtukufu wa Ramadhan.

 

11 years ago

Michuzi

RAHA YA DAFU KATIKA MFUNGO WA RAMADHAN UNYWEE KATIKA KIFUU CHAKE !

Mkwezi akiwa kazini kama alivyokutwa na mdau Salehe Ngayonga  wa Kibiti,Rufiji, Mkoa wa Pwani  kwa niaba Globu  ya Jamii 

 

10 years ago

Vijimambo

MAKAMU WA KWANZA WA RAIS ZANZIBAR, MAALIM SEIF ATEMBELEA MASOKO KUANGALIA UPATIKANAJI WA VYAKULA KATIKA KIPINDI HIKI CHA MFUNGO WA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN

Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia bidhaa mbali mbali wakati alipotembelea masoko ya Mkoa wa Mjini Magharibi kuangalia upatikanaji wa bidhaa hizo zinazotumika zaidi katika mwezi mtukufu wa Ramadhan.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiulizia bei ya samaki aina ya vibua katika soko la Mombasa ambapo fungu moja linauzwa shilingi elfu tano. Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akiangalia...

 

11 years ago

Michuzi

KISARAWE YAPATA MATUNDA YA KALAMU EDUCATION FOUNDATION KWA KUZINDUA KITUO CHA MASOMO YA WATOTO CHA AWALI KATIKA MFUNGO WA RAMADHAN.

 Sheikh Suleiman Amran Kilemile Alipokuwa akifungua Kituo Cha Jamaat Islamiyyah Madrassa and Nursery School Cha Kisarawe. Sheikh Kilemile aliwahusia wazazi kuwasomesha watoto wao Masomo yote kwani husaidia kupata Viongozi Waadilifu na wenye Huruma katika Maendeleo ya Jamii.Sehemu ya Majengo ya Kituo Kipya cha Masomo ya Awali Cha Jamaat Islamiyya Kisarawe Pwani.  Sheikh Suleiman Kilemile akiwa na Mbunge wa Kisarawe Mh. Suleiman Jaffu pamoja na watoto wa Wilaya hiyo wakionyesha Matumaini Mapya...

 

10 years ago

Vijimambo

ANWAR RAMADHAN AKAMATA NONDO, NEW YORK NCHINI MAREKANI

Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mwanae Anwar Ramadhan baada ya kutunukiwa shahada yake ya kumaliza High School shule ya New Rochelle jimbo la New York Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja wanae Anwar Ramadhan Lutfia Ramadhan(kulia) na Arif Ramadhan (kushoto) baada ya kutunukiwa shahada yake ya kumaliza High School shule...

 

11 years ago

Michuzi

Kuelekea Kombe la Dunia...Mahojiano na Halifa Ramadhan kutoka Brazil


Photo Credits: EyesOnNews.com  Siku chache kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia la Soka huko Brazil, mambo mengi yamekuwa yakizungumzwa kuhusu maandalizi ya michuano hiyo. Kuna malalamiko na maandamano nchini humo ambavyo kwa hakika vinaleta taswira isiyo njema kuhusu maandalizi ya michuano hiyo Kutaka kujua mengi, Kwanza Production imefanya mahojiano na Halifa Ramadhan. Mtanzania mwenye maskani yake nchini Brazil ambaye amezungumzia mengi kuhusu maandalizi ya fainali za...

 

10 years ago

Dewji Blog

Rais Kikwete apokea salamu za kheri kutoka kwa Rais Obama

D92A4464

Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mh.Liberata Mulamula akiwasilisha kwa Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete salamu za kumtakia kheri na afya njema kutoka kwa Rais wa Marekani Barack Obama leo  jijini Baltimore, Maryland, Marekani.

D92A4470

jk3

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisoma salamu maalumu za kumtakia kheri na afya njema  kutoka kwa Rais Barack Obama wa Marekani leo jijini Baltimore,  Maryland, Marekani.

jk13

Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Balozi Liberata Mulamula na ujumbe wake wa...

 

10 years ago

Vijimambo

Risala ya mwezi mtukufu wa Ramadhan kutoka kwa Rais wa Zanzibar Dk Ali Mohamed Shein

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein akitoa Risala ya Mwezi Mtukufu wa Ramadhan kwa Wananchi na Waislamu wote nchini katika Risala hiyo amewataka Wananchi kuwa amani na Utulivu na kuwaombea kwa Mola wetu kuwajaalia Rehma baraka za Mwezi Mtukufu wa Ramadhan pia amewataka kufanya ibada kwa wingi katika kipindi chote cha mwezi huu,(Picha na Ikulu.)
RISALA YA MWEZI MTUKUFU WA RAMADHAN YA RAIS WA
ZANZIBAR NA MWENYEKITI WA BARAZA LA MAPINDUZI,
MHESHIMIWA...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani