Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


ANWAR RAMADHAN AKAMATA NONDO, NEW YORK NCHINI MAREKANI

Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja na mwanae Anwar Ramadhan baada ya kutunukiwa shahada yake ya kumaliza High School shule ya New Rochelle jimbo la New York Naibu mwakilishi wa kudumu wa Tanzania Umoja wa Matifa Mhe. Balozi Ramadhan Muombwa Mwinyi akiwa katika picha ya pamoja wanae Anwar Ramadhan Lutfia Ramadhan(kulia) na Arif Ramadhan (kushoto) baada ya kutunukiwa shahada yake ya kumaliza High School shule...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Vijimambo

ALMA NYANG'ORO AKAMATA NONDO, NORTH CAROLINA

 Alma Nyang]oro akiwa na Baba na Mama katika picha ya pamoja baada ya kukamata nondo katika shule ya Cary Academy iliyopo jimbo la North Carolina. Alma katika picha ya pamoja na babu yake Mzee Yusuf Kalala na mdogo wake Monica baada ya kukamata nondo yake ya high school katika shule ya Cary Academy. Alma na mama yake Alu Kalala Nyang'oro wakipata picha ya kumbukumbu katika siku hii muhimu maishani mwake. Alma na mjomba wake Felix.
Alma akipata picha na familia nzimaKwa picha zaidi bofya soma...

 

10 years ago

Vijimambo

MARK HARRY MBWANA AKAMATA NONDO MEAD HIGH SCHOOL

Mark Harry Mbwana akijiandaa kuhudhuria mahafali ya Mead High School baada ya kuhitimu shule hiyo.Mark akiandaliwa na mama yake Celina.Mark akipata picha ya pamoja na mama yake na mdogo wake.Mark akimchum Mama yake.

 

10 years ago

Vijimambo

DOTTO HARUNA AKAMATA NONDO PRINCE GEORGE COMMUNITY COLLEGE

Dotto Haruna katika picha baada ya kukamata nondo ya utaalam wa mapafu na upumuaji( Respiatory practitioner with honor degree kutoka Prince George Community College, Maryland nchini Marekani.Dotto Haruna akiwa na ndugu yake Sensei Ramadha Fundi siku alipokamata nondo katika chuo cha Prince George.Dotto Haruna akiwa na familia yake.Dotto Haruna akiwa na wanafunzi wenzake Mazengo class 98 waliofika kumpongeza kwa kukamata nondo kwenye sherehe yake siku ya Jumamosi May 23, 2015.Dotto Haruna na...

 

10 years ago

Vijimambo

NGALU BUZOHERA AKAMATA NONDO YA MASTER OF HEALTH SERVICES ADMINISTRATION

Ngalu Buzohera akiwa katika picha ya pamoja na mama yake mzazi Mrs.Rehema Buzohera mfanyakazi Hazina,wizara ya Fedha  Dar es Salaam Tanzania siku ya Jumamosi June 27, 2015 chuo kikuu cha Strayer alipokamata nondo ya Master of Health Services Administration Ngalu Buzohera akiwa katika picha ya pamoja na mama mkubwa Zainab Kastico siku ya Jumamosi June 27, 2015 chuo kikuu cha Strayer alipokamata nondo ya Master of Health Services Administration Kutoka kushoto ni mama mkubwa Zainab Kastico,...

 

10 years ago

Vijimambo

MARIAM KALALA NYANG'ORO AKAMATA NONDO CHUO KIKUU CHA STRAYER, GEORGIA DOME.

Mariam Kalala Nyang;oro akipata picha baada ya kukamata nondo ya Masters of Health Services Administration katika chuo kikuu cha Strayer kilichopo Georgia Dome kaskazini mashariki ya mji wa Atlanta jimbo la Georgia nchini Marekani.Kutoka kushoto ni dada mkubwa wa Mariam, Alu, baba mzazi wa Mariam, Mzee Yusuf Kalala na Mariam wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Mariam kukamata nondo leo Jumamosi May 16, 2015 katika chuo kikuu cha Strayer kilichopo Georgia Dome kaskazini mashariki ya mji wa...

 

10 years ago

Vijimambo

WATOTO LISHA SHARIF NA WILLIAM RAMADHAN WASHEREHEKEA SIKU ZAO ZA KUZALIWA BOWIE, MARYLAND NCHINI MAREKANI.

Mtoto Lisha Sharif akiwa kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ya kufikisha miaka 12, siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014 iliyofanyika nyumbani kwao Bowie, Maryland nchini Marekani na kuhudhuriwa ndugu, jamaa na marafiki waiwemo wanafunzi wenzake waliofika kusherehekea nae siku hiyo maalum katika historia ya maisha yake.Mtoto William Ramadhan  akiwa kwenye sherehe ya siku yake ya kuzaliwa ya kufikisha miaka 8, siku ya Jumamosi Novemba 22, 2014 iliyofanyika nyumbani kwao Bowie, Maryland...

 

10 years ago

Michuzi

MISA YA KUMBUKUMBU YA MAREHEMU MZEE SAMUEL LUANGISA NEW YORK NCHINI MAREKANI

Mchungaji Butiku akiongoza misa ya shukurani na arubaini ya marehemu Mzee Samuel Luangisa iliyofanyika siku ya Jumamosi Aug 8, 2015 Mount Vernon, New York na kuhudhuriwa na ndugu, jamaa na marafiki kutoka kila pembe ya Marekani.Mrs Luangisa, mke wa marehemu akifuatilia misa.
Wanafamilia wakifuatilia misa.

BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI

 

9 years ago

Michuzi

FLAVIANA MATATA ATEULIWA KUWA BALOZI WA UTALII NEW YORK CITY NCHINI MAREKANI

 Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meru akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam kuhusiana na kumtambulisha Flaviana Matata  kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City nchini Marekani. Kutoka kulia ni Flavianao Matata na kushoto Kaimu Mkurugenzi mwendeshaji Bodi ya Utalii TTB Devota Mdachi.Katibu mkuu wizara ya maliasili na utalii Adelhelm Meru akimkabidhi cheti   cha kumtambua kuwa balozi wa utalii jimbo la New York City nchini Marekani Flaviana...

 

9 years ago

Michuzi

Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) yaandaa maandamano jijini new york

Jumuiya ya Wazanzibari waishio nchini Marekani (ZADIA) inapenda kuwaarifu Wazanzibari, Watanzania na Wapenda Amani wote ulimwenguni kuhudhuria katika maandamano ya kushinikiza kumaliza mchakato wa kuhesabu kura na kutangaza matokeo ya uchaguzi mkuu uliofanyika huko nyumbani Zanzibar tarehe 25/10/2015. Maandamano hayo yatafanyika siku ya Ijumaa tarehe 18/12/2015 kwenye viunga vya Makao Makuu ya Umoja wa Mataifa, New York kuanzia saa nne asubuhi (10:00 AM) hadi saa sita mchana (12:00 PM)....

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani