MARIAM KALALA NYANG'ORO AKAMATA NONDO CHUO KIKUU CHA STRAYER, GEORGIA DOME.
Mariam Kalala Nyang;oro akipata picha baada ya kukamata nondo ya Masters of Health Services Administration katika chuo kikuu cha Strayer kilichopo Georgia Dome kaskazini mashariki ya mji wa Atlanta jimbo la Georgia nchini Marekani.Kutoka kushoto ni dada mkubwa wa Mariam, Alu, baba mzazi wa Mariam, Mzee Yusuf Kalala na Mariam wakiwa katika picha ya pamoja baada ya Mariam kukamata nondo leo Jumamosi May 16, 2015 katika chuo kikuu cha Strayer kilichopo Georgia Dome kaskazini mashariki ya mji wa...
Vijimambo