ALMA NYANG'ORO AKAMATA NONDO, NORTH CAROLINA
![](http://1.bp.blogspot.com/-CzgVlsoTs1k/VV_A8UHjhwI/AAAAAAADn7E/PLizQbCTC0U/s72-c/2f7b4d6ceedc57f0f65b39dded9264e5.jpg)
Alma Nyang]oro akiwa na Baba na Mama katika picha ya pamoja baada ya kukamata nondo katika shule ya Cary Academy iliyopo jimbo la North Carolina.
Alma katika picha ya pamoja na babu yake Mzee Yusuf Kalala na mdogo wake Monica baada ya kukamata nondo yake ya high school katika shule ya Cary Academy.
Alma na mama yake Alu Kalala Nyang'oro wakipata picha ya kumbukumbu katika siku hii muhimu maishani mwake.
Alma na mjomba wake Felix.
Alma akipata picha na familia nzimaKwa picha zaidi bofya soma...
Vijimambo