Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Kuelekea Kombe la Dunia...Mahojiano na Halifa Ramadhan kutoka Brazil


Photo Credits: EyesOnNews.com  Siku chache kabla ya kuanza kwa michuano ya Kombe la Dunia la Soka huko Brazil, mambo mengi yamekuwa yakizungumzwa kuhusu maandalizi ya michuano hiyo. Kuna malalamiko na maandamano nchini humo ambavyo kwa hakika vinaleta taswira isiyo njema kuhusu maandalizi ya michuano hiyo Kutaka kujua mengi, Kwanza Production imefanya mahojiano na Halifa Ramadhan. Mtanzania mwenye maskani yake nchini Brazil ambaye amezungumzia mengi kuhusu maandalizi ya fainali za...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

Michuzi

kombe la dunia brazil?

 Hapana. Hawa ni sehemu ya wadau kutoka sehemu mbalimbali ya nchi zaidi ya 10,000 waliofika asubuhi hii katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam kwa ajili ya usaili wa kazi katika Idara ya Uhamiaji, kuwania nafasi takriban 70 zilizotangazwa 

 

11 years ago

Michuzi

wadau washuhudia kombe la dunia Brazil

 Hawa ni sehemu ya Wadau kadhaa wa Kitanzania walioko Brazil kushuhudia Kombe la dunia. Hapa ni katika mchezo wa ufunguzi kati ya Wenyeji Brazil na Croatia katika uwanja wa Arena Sao Paulo. Hongera wadau kwa kutuwakilisha!

 

11 years ago

GPL

ZIMEBAKI SIKU 100 ZA DUNIA YOTE YA SOKA KUELEKEA BRAZIL

Ni siku 100 tu, ni vigumu kuamini kuwa iko karibu. Inaonekana kama jana tu kwamba Brazil imethibitishwa kuwa muandaaji wa FIFA World Cup 2014. Nakumbuka msisimko niliohisi na kuona kuwa nchi yangu inaenda kwenye hatua muhimu ya mpira katika Dunia hii. Hata ingawa mimi sitakuwa uwanjani, lakini nimeanza kupata vipepeo tumboni kama ambavyo nilikuwa nikikaribia mechi kubwa. Baada ya yote kumalizika FIFA World Cup, itakuwa ni ya...

 

11 years ago

Michuzi

Siku za kwenda Brazil Kombe la Dunia zinahesabika

FIFA-World-Cup-2014-Brazil Ni siku 100 tu, ni vigumu kuamini kuwa iko karibu. Inaonekana kama jana tu kwamba Brazil imethibitishwa kuwa muandaaji wa FIFA World Cup 2014. Nakumbuka msisimko niliohisi na kuona kuwa nchi yangu inaenda kwenye hatua muhimu ya mpira katika Dunia hii. Hata ingawa mimi sitakuwa uwanjani, lakini nimeanza kupata vipepeo tumboni kama ambavyo nilikuwa nikikaribia mechi kubwa. Baada ya yote kumalizika FIFA World Cup, itakuwa ni ya aina ya mwisho kwa Brazil, tofauti na kujitangaza yenyewe...

 

11 years ago

Michuzi

ulinzi wa kufa mtu kombe la dunia brazil

Ulinzi mkali kwa timu ya Taifa ya England jijini Rio de Janeiro, Brazil, kutokana na vurugu za wananchi wanaoona kuwa Kombe la Dunia kwao ni kupoteza muda na pesa wakati huduma muhimu za kijamii ni duni na mishahara haitoshi.

 

11 years ago

Mwananchi

Brazil 2014: Dhambi za Kombe la Dunia zisizosahaulika

Katika maisha ya sasa uliyowahi kuyaona, kuna watu wema na wabaya. Vituko katika fainali za Kombe la Dunia haviepukiki.

 

11 years ago

Dewji Blog

Vijimambo vya Kombe la Dunia Brazil 2014

2014-FIFA-World-Cup-Brazil

Na Eleuteri Mangi-Maelezo

Mashindano ya soka kombe la dunia yanaendelea kunoga na kupamba moto nchini Brazil yakijumuisha jumla ya wachezaji 892 wanaoshiriki mashindano wa mpira wa miguu duniani maarufu “Fifa World Cup” ya mwaka 2014.

Mashindano hayo yamepambwa na majina ya mbalimbali ya wachezaji kutoka nchi zinzoshiriki kinyang’anyiro hicho kwa mwaka huu.

Kwa mujibu wa mtandao wa FIFA, wachezaji wenye majina yenye herufi “M” ndio wanaoongoza kwa idadi kubwa katika michuano hiyo ambao...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Injini 5 za Ujerumani Fainali za Kombe la Dunia Brazil

MIONGONI mwa timu zinazopewa nafasi kubwa ya kubeba ubingwa wa fainali za Kombe la Dunia za nchini Brazil, ni Ujerumani. Ujerumani, wenyeji wa fainali hizo wa mwaka 2006, ni timu...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani