ROSE NDAUKA AMKIMBIA MUMEWE, KISA MFUNGO
![](http://api.ning.com:80/files/ac68YxxsLJ0i5*nzOsyAaKb6txTYVyDX6X9aDp16Kd0pn1hgNPqLw5vK6ulRc2Tg7LGuBZbTKUEfIkgmG3-zKyoxwJIpE11X/rose.jpg)
Stori: Hamida Hassan Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka hivi karibuni aliamua kumkimbia mumewe Malick Bandawe, kisa mfungo wa Ramadhani ambapo sasa anaishi Kigogo na mama yake mzazi. Staa wa filamu za Kibongo, Rose Ndauka katika pozi. Akipiga stori na Ijumaa, Rose alisema amelazimika kwenda nyumbani kwao ili kumpisha mumewe atimize nguzo hiyo ya Uislam bila kipingamizi kutokana na kutokufunga ndoa.… ...
GPL
Habari Zinazoendana
10 years ago
GPLALIYEKUWA MCHUMBA WA ROSE NDAUKA, MALICK BANDAWE ATEMBELEA GPL, AFUNGUKA KISA CHA KUACHANA NA ROSE
10 years ago
Bongo Movies15 Apr
Mke wa Shetta Adai Talaka, Kisa Rose Ndauka
Siku chache baada ya habari ya staa wa Bongo Fleva , Nurdin Bilal ‘Shetta’ kudaiwa kulala chumba kimoja na staa wa Bongo Movies, Rose Ndauka kuandikwa gazetini, mkewe Neila Yusuf ameshindwa kuvumilia na kudai talaka yake, Risasi Mchanganyiko linakujuza.
Shetta na Rose waliripotiwa na “gazeti pendwa”moja kuwa walilala katika chumba kimoja katika Hoteli ya Kingway iliyopo mkoani Morogoro walipokuwa wamekwenda kwenye mazishi ya muasisi wa Kundi la Tip Top Connection, Abdul Bonge.
Kwa mujibu...
10 years ago
Bongo Movies28 Dec
Rose Ndauka Awapasha Wanaofuatilia Maisha Yake...Kisa Namkasa? Picha Hizi!!
Mrembo na mwigizaji wa filamu za hapa bongo, Rose Ndauka ambae ni mama wa mtoto mmoja amewatolea uvivu baadhi ya watu ambao ni “followers” wake kwenye mtandao wa Instagram ambao walimshambulia sana kwa maneno baada ya yeye kuweka picha hiyo hapo juu akiwa amekaa na “jamaa” huku amemfunika uso.
Chokochoko
Baadhi ya watu hao walichukulia kwamba huyu jamaa pichani ndio “PROJECT” mpya ya Rose hivyo wakaanza kumshabulia mwananadada Rose kwa maneno kuwa hajatulia na ndiomana aliachika kwa bwana,...
10 years ago
Bongo530 Sep
Rose Ndauka na Chiwaman waachana, ndoto za ndoa zayeyuka, Rose athibitisha
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/3YX5i7K88AxlacpzagbU*UtSbBM-i-f*i2As-06drBxfdcwFUukJPukO10oKbDmad7mWtyUrA6tQkmHDAFOgwxBzOsJ1MCa5/rose.gif?width=650)
ROSE MUHANDO AMKIMBIA MENEJA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/u325ipbpd7r6sNXtBn71TOLW-G0NnokLcITIabRTPB5gbLawG4qmRtpa7BNIp5PYtKdfLreQ*DhJGaNWun1hd2pfvUVylc2O/rose.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA AJIFUNGUA
10 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/LRabT8flycFhwt31oy7U4ORJMENKY9BM6cqo15IegDzbC7n1d97ePI0XcoH-v985NhQeTjaCBff5nAQq5UdcSNLl6xS5qoLU/rose.jpg)
ROSE NDAUKA HAKAMATIKI
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/yl8XiM-qOZZBD8YLdGNM--jthscytZ1DZwMgTeVLw4J7C*ksRkqGcDCksC4VD115XWeZF36O3WKcWlWP3ktG5y-A5Zaf9I88/ndauka.jpg?width=650)
ROSE NDAUKA: SIWEZI KUZEEKA
10 years ago
Bongo Movies05 May
Mvua ya Mkwamisha Rose Ndauka
Staa wa Bongo Movies Rose Ndauka amesema anakerwa na mvua zinazoendelea kunyesha hapa jijini Dar kwa kuwa zinavuruga kazi zake za kumwingizia kipato.
Staa huyo alisema kazi zake nyingi zinafanyika katika hali ya kutokuwa na mvua lakini kila anapopanga kufanya kazi hizo mvua hunyesha na kumharibia mipango yake.
“Mvua naichukia maana kila ninapojipanga kwa kazi inanyesha lakini sina la kufanya kwa kuwa Mungu ndiye anayepanga inyeshe ila inakwamisha kazi zangu,” alimaliza Rose Ndauka.