Madereva wagoma Ilemela, kisa polisi kushusha nauli
Madereva wa mabasi yaendayo Kata ya Igombe, Manispaa ya Ilemela, Mwanza wamegoma kwa saa saba kupeleka wasafiri kwa madai ya kushushwa kwa nauli na ofisa mmoja wa polisi kitengo cha usalama barabarani kutoka Sh1,500 hadi Sh700.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
10 years ago
Habarileo06 Feb
Sumatra yatafakari kushusha nauli
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), imewataka wananchi na jamii kuwa watulivu na kuendelea kuvuta subira, huku suala la kushuka kwa bei ya mafuta likifanyiwa utafiti ili kujiridhisha kabla ya kuchukua hatua ya kushusha nauli za vyombo vya usafiri.
10 years ago
Habarileo16 Apr
Sumatra 'yagoma' kushusha nauli
MAMLAKA ya Udhibiti wa Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (SUMATRA) imetangaza kushusha nauli za mabasi ya Masafa Marefu huku ikiacha kabisa kuzigusa nauli za mabasi katika miji mikubwa, maarufu kama daladala.
10 years ago
GPLSERIKALI YATAKIWA KUSHUSHA BEI YA NAULI YA MABASI
11 years ago
Mwananchi28 Jun
USAFIRI: Sumatra yaiamuru Uda kushusha nauli
10 years ago
MichuziChama Cha Kutetea Abiria (CHAKUA) YAITAKA SUMATRA KUSHUSHA NAULI KWA DALADALA NA MABASI YA MIKOANI
Na Chalila Kibuda.
Chama Cha Kutetea Abiria (Chakua) kimesema kuwa kutokana na bei ya mafuta kushuka nchini nauli ya daladala na nauli ya mabasi mikoani inatakiwa kushuka kwa asilimia...
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Daladala wagoma Iringa,nauli zapaa
10 years ago
Habarileo20 Oct
Madereva UDA wagoma
MGOMO uliokuwa umeanza leo wa madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) umezimwa baada ya uongozi wa shirika hilo kukubali kushughulikia malalamiko ya madereva hao.
11 years ago
Habarileo30 Jun
Madereva wa mabasi wagoma
ABIRIA waliokuwa wanasafiri kwa mabasi kutoka Kanda ya Ziwa kuelekea mikoa ya Pwani na Kaskazini, juzi walijikuta wakilazimika kuchelewa kufika mjini Singida kwa zaidi ya saa tatu kutokana na mgomo wa madereva wao.
11 years ago
Mwananchi20 May
Madereva wa daladala za Tegeta wagoma