Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Daladala wagoma Iringa,nauli zapaa

Madereva wa daladala zinazofanya safari zake katika maeneo ndani ya Manispaa ya Iringa wamegoma kutos huduma hiyo wakishinikiza Serikali kuzizuia pikipiki za miguu mitatu (Bajaji) kusafirisha abiria kama ilivyo kwa daladala.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Wapendekeza nauli za daladala zipunguzwe

Baraza la Ushauri la Watumiaji wa Huduma za Usafiri wa Nchi Kavu na Majini Sumatra (Sumatra-CCC), wameishauri Mamlaka ya Udhibiti Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kupunguza nauli za mabasi, ikiwamo daladala kwa asilimia 15 hadi 24.

 

11 years ago

CloudsFM

NAULI ZA DALADALA KUPANDA TENA

HATIMAYE picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400 ya sasa mpaka kati ya Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.

Kwa wanafunzi, nauli kwa ruti moja kwenda katika vituo hivyo vikubwa katika mradi huo ambao utaanza kwa majaribio mwishoni mwa mwaka huu, zitapanda kutoka Sh...

 

11 years ago

Habarileo

Nauli daladala Dar kupanda

 Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu Tamisemi, Jumanne Sagini,HATIMAYE picha halisi ya gharama ya Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka Dar es Salaam (Dart) awamu ya kwanza, imeonesha nauli ya basi kutoka maeneo mbalimbali ya Jiji la Dar es Salaam kwenda na kurudi vituo vikubwa vikiwemo vya Kariakoo na Posta, itapanda kutoka nauli ya chini ya Sh 400 ya sasa mpaka kati ya Sh 700 na Sh 800 kwa ruti moja.

 

9 years ago

Mwananchi

Madereva wagoma Ilemela, kisa polisi kushusha nauli

Madereva wa mabasi yaendayo Kata ya Igombe, Manispaa ya Ilemela, Mwanza wamegoma kwa saa saba kupeleka wasafiri kwa madai ya kushushwa kwa nauli na ofisa mmoja wa polisi kitengo cha usalama barabarani kutoka Sh1,500 hadi Sh700.

 

11 years ago

Habarileo

Daladala wagoma

WANANCHI jijini Mwanza jana walikumbana na adha ya usafiri baada ya madereva wa daladala kugoma bila taarifa kwa madai kuwa wamekuwa wakisababishiwa kero ya faini ya Polisi wa Usalama Barabarani pamoja na kupinga kituo kipya cha daladala kilichopo eneo la Buzuruga.

 

11 years ago

Mwananchi

Kiwango cha nauli za daladala kushuka Dar es Salaam

Kiwango cha nauli kitakacholipwa baada ya kukamilika kwa Mradi wa Mabasi Yaendayo Haraka (BRT) kinaelezwa kuwa ni kidogo ukilinganisha na kile kinacholipwa na abiria sasa.

 

11 years ago

Mwananchi

Madereva wa daladala za Tegeta wagoma

Madereva wa daladala zinazofanya safari kati ya Ubungo, Mwenge na Tegeta jana waligoma siku nzima wakitaka kufahamu stendi mbadala baada ya kufungwa ile ya Ubungo kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea.

 

9 years ago

GPL

MRISHO MPOTO ATAFUTA NAULI KWA KUPIGA DEBE KWENYE DALADALA - 4

MPENZI msomaji, wiki iliyopita katika simulizi hii ya Mrisho Mpoto tuliishia pale alipotua Dar na mama yake, akaanzishwa Shule ya Msingi, Ilala Boma na kipindi hicho walikuwa maskini wa kutupwa kwani maisha yao yalikuwa ya kwenda kuokota vifuu, kuni na kuviuza. Songa nayo mwenyewe... “Mazingira ya nyumba yetu pale Ilala yalikuwa ni kama eneo la kumuelekeza mtu kutokana na jumba bovu nililokuwa nikiishi na mama.”Duh!...

 

11 years ago

GPL

MADEREVA DALADALA WAGOMA KWENDA KITUO KIPYA

MADEREVA wa daladala wanaoegesha magari yao eneo la Ubungo, Darajani jirani na njia panda ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) wamegoma kwenda kituo kipya kilichopo nyuma ya jengo la Mawasiliano Tower. Madereva hao wameamua kuwashambulia wenzao walioonekana kutii amri kwa kuwavunjia vioo vya magari yao jambo lililopelekea polisi kuingilia kati kuwatuliza. Taarifa zaidi zitawajia hivi punde! ...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani