Daladala wagoma
WANANCHI jijini Mwanza jana walikumbana na adha ya usafiri baada ya madereva wa daladala kugoma bila taarifa kwa madai kuwa wamekuwa wakisababishiwa kero ya faini ya Polisi wa Usalama Barabarani pamoja na kupinga kituo kipya cha daladala kilichopo eneo la Buzuruga.
habarileo
Habari Zinazoendana
11 years ago
Mwananchi20 May
Madereva wa daladala za Tegeta wagoma
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Daladala wagoma Iringa,nauli zapaa
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com/files/iC8gEB0kF6mBd7r6*8rSsXekJ*wCwi-bk9AUNlcLhatBnZpnFwCzLv2fq73rgAc5qaguKf20Ho7tClSIM8vg93ZfQThCBOFE/13.gif)
MADEREVA DALADALA WAGOMA KWENDA KITUO KIPYA
11 years ago
GPL![](http://api.ning.com:80/files/UbQGb2BFO*VuOF18pjA2C*7MGWdBfxzjNNHFh4J*7dGTNWXacY1zgI20WPWZLbTdoj*I1ot5ZBqtKU4vqhyGhna2o6bDodR5/BREAKINGNEWS.gif)
KIMENUKA MORO, MADEREVA DALADALA WAGOMA KUINGIA BARABARANI
10 years ago
Michuzi![](http://1.bp.blogspot.com/-9zxJue1SO3c/VL9c4ekOR1I/AAAAAAAG-m0/qF8caV9ZbXc/s72-c/4.jpg)
DALADALA WAGOMA KUTOA HUDUMA JIJINI ARUSHA LEO
![](http://1.bp.blogspot.com/-9zxJue1SO3c/VL9c4ekOR1I/AAAAAAAG-m0/qF8caV9ZbXc/s1600/4.jpg)
Wakazi wa maeneo mengi ya jiji hilo wanalazimika kutembea kwa miguu,huku wengine wenye uwezo kidogo wakitumia usafiri wa bodaboda ili kuwahi katika shughuli zao za kuendelea kujitafutia chochote.Askari Polisi na migambo wamesambaa kona za njia zote jijini Arusha.
Route zenye...
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Madereva wa Daladala Moro wagoma kwa saa saba
11 years ago
Michuzimadereva wa daladala jijini Mbeya wagoma kusafirisha abiria leo
10 years ago
GPLMADEREVA DALADALA WAGOMA KUTOA HUDUMA JIJINI ARUSHA LEO
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
UDA wagoma!
Na Mwandishi wetu
MADEREVA wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), wanaofanya safari kati ya Mnazimmoja na Kivukoni jana waligoma kufanya kazi wakipinga agizo la uongozi kuwataka wapeleke hesabu ya sh 300,000 kwa siku.
Kutokana na mgomo huo abiria wanaosafiri katika njia hiyo, walipata usumbufu hadi pale ufumbuzi wa mgogoro huo ulipopatikana majira ya saa moja asubuhi.
Akizungumza niaba ya madereva na makondakta jijini Dar es Salaam, mmoja wa madereva, ambaye hakupenda jina lake...