KIMENUKA MORO, MADEREVA DALADALA WAGOMA KUINGIA BARABARANI
MADEREVA wa daladala Manispaa ya Morogoro wamegoma asubuhi hii wakidai kukamatwa hovyo na matrafiki na hakuna daladala linalofanya safari yoyote katika manispaa hiyo. Madereva hao wanadai wameamua kugoma kutokana na kamatakamata ya askari wa usalama barabarani, ambapo wamesema daladala moja kwa siku linaweza kukamatwa hadi mara nne na wakihoji wanaambiwa ni makosa tofauti. Waliongeza kuwa wamepeleka malalamiko yao ngazi...
GPL
Habari Zinazoendana
9 years ago
Mwananchi05 Oct
Madereva wa Daladala Moro wagoma kwa saa saba
11 years ago
Mwananchi20 May
Madereva wa daladala za Tegeta wagoma
11 years ago
GPLMADEREVA DALADALA WAGOMA KWENDA KITUO KIPYA
10 years ago
GPLMADEREVA WA MABASI YA UDA WAGOMA KUINGIA KAZINI!
11 years ago
Michuzimadereva wa daladala jijini Mbeya wagoma kusafirisha abiria leo
10 years ago
GPLMADEREVA DALADALA WAGOMA KUTOA HUDUMA JIJINI ARUSHA LEO
11 years ago
Habarileo18 Feb
Daladala wagoma
WANANCHI jijini Mwanza jana walikumbana na adha ya usafiri baada ya madereva wa daladala kugoma bila taarifa kwa madai kuwa wamekuwa wakisababishiwa kero ya faini ya Polisi wa Usalama Barabarani pamoja na kupinga kituo kipya cha daladala kilichopo eneo la Buzuruga.
10 years ago
Mwananchi09 Sep
Daladala wagoma Iringa,nauli zapaa
10 years ago
Uhuru Newspaper14 Aug
Wanafunzi St.Joseph wagoma kuingia darasani
NA SHAABAN MDOE,ARUSHA
ZAIDI ya wanafunzi 350 wa Chuo Kikuu Cha Mtakatifu Joseph, tawi la Arusha, wamegoma kuingia madarasani kwa madai ya kufundishwa kwa mitalaa kutoka nchini India.
Mbali na hilo, wanafunzi hao ambao wanasomea ualimu, wanadai kufundishwa na walimu wenye fani ya uhandisi na kwamba huimbishwa nyimbo za darasa la kwanza, pili na tatu.
Kiongozi wa Chuo hicho, Bwigane Mwaipaja, alisema tokea mwanzo wa muhula wa masomo, walibaini kuwepo kwa mitaala tofauti katika chuo hicho.
Alisema...