Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


DALADALA WAGOMA KUTOA HUDUMA JIJINI ARUSHA LEO

Waendesha Daladala jijini Arusha,leo wamefanya mgomo wa kutoa huduma ya kusafirisha abiria katika maeneo mbali mbali ya mji huo kwa kile kinachodaiwa kugomea kuanzishwa kwa route mpya wanayotakiwa kuianza hivi sasa. 
Wakazi wa maeneo mengi ya jiji hilo wanalazimika kutembea kwa miguu,huku wengine wenye uwezo kidogo wakitumia  usafiri wa bodaboda ili kuwahi katika shughuli zao za kuendelea kujitafutia chochote.Askari Polisi na migambo wamesambaa kona za njia zote jijini Arusha.
Route zenye...

Michuzi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

GPL

MADEREVA DALADALA WAGOMA KUTOA HUDUMA JIJINI ARUSHA LEO

(Baadhi ya wanafunzi wakiwa kwenye lori kutokana na mgomo wa daladala. Picha na Maktaba Yetu) MADEREVA Daladala jijini Arusha,leo wamefanya mgomo wa kutoa huduma ya kusafirisha abiria katika maeneo mbalimbali ya jiji hilo kwa kile kinachodaiwa kugomea kuanzishwa kwa safari mpya wanayotakiwa kuianza hivi sasa. Wakazi wa maeneo mengi ya jiji hilo wanalazimika kutembea kwa miguu, huku wengine wenye uwezo kidogo wakitumia usafiri wa...

 

11 years ago

Michuzi

madereva wa daladala jijini Mbeya wagoma kusafirisha abiria leo

Wakazi wa Jiji la Mbeya leo wamejikuta wakiwa katika mazingira magumu baada ya mgomo wa mabasi madogo wa kutopakia abiria kutoka stendi kuu jijini humo,wakitaka wabadilishiwe ruti au kuongezewa nauli kwa sababu ya ruti hiyo inawapa mzungunguko mkubwa sana kulinganisha na nauli wanayoichaji kwa abiria hao.hali hiyo imepelekea abiria mbali mbali wa jiji hilo kupanga kwenye pikup na kulipa nauli ile ile wanayolipa kwenye daladala kama ionekanavyo katika picha mbali mbali zilizopigwa na Mpiga...

 

10 years ago

Habarileo

Daladala zarejesha huduma Arusha

DALADALA zilizokuwa zimegoma kutoa huduma za usafiri maeneo mbalimbali jijini Arusha, zimerejea kutoa huduma zake huku nyingine zikionekana kuweka alama za mstari maalum za kuonesha njia walizopangiwa kupita.

 

11 years ago

Michuzi

NEWZZ ALERT:STENDI KUU YA MABASI MOSHI,WAMILIKI WA MABASI MADOGO WAGOMA KUTOA HUDUMA

Kituo kikuu cha mabasi yaendayo sehemu mbalimbali ndani ya mkoa wa Kilimanjaro na Arusha ikiwa haina gari baada ya wamiliki wa magari yaendyo maeneo hayo kugoma kutoa huduma. Kutokana na mgomo huo ndipo madereva wa magari hayo na makondakta wakaamua kugeuza stendi hiyo uwanja wa mpira wa miguu likapigwa mbungi kati ya madereva na makondakta. PICHA ZAIDI BOFYA HAPA

 

11 years ago

Habarileo

Daladala wagoma

WANANCHI jijini Mwanza jana walikumbana na adha ya usafiri baada ya madereva wa daladala kugoma bila taarifa kwa madai kuwa wamekuwa wakisababishiwa kero ya faini ya Polisi wa Usalama Barabarani pamoja na kupinga kituo kipya cha daladala kilichopo eneo la Buzuruga.

 

11 years ago

Mwananchi

Madereva wa daladala za Tegeta wagoma

Madereva wa daladala zinazofanya safari kati ya Ubungo, Mwenge na Tegeta jana waligoma siku nzima wakitaka kufahamu stendi mbadala baada ya kufungwa ile ya Ubungo kutokana na ujenzi wa barabara unaoendelea.

 

10 years ago

GPL

MGOMO WA WAENDESHA DALADALA JIJINI MWANZA LEO

Daladala zikiwa zimepaki katika Jiji la Mwanza kutokana na mgomo wa madereva. Taswira kutoka maeneo ya Jiji la Mwanza baada ya mgomo wa waendesha daladala.…

 

9 years ago

Vijimambo

LOWASSA NDANI YA DALADALA JIJINI DAR LEO

Mgombea Urais wa Tanzania wa UKAWA kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Mh. Edward Lowassa akisalimiana na Bi. Kulwa Juma ambaye ni mfanyabiashara ndogo ndogo ya kuuza Mihogo ya Kukaanga katika Kituo cha Mabasi cha Gongo la Mboto mwisho, Jijini Dar es salaam leo, wakati alipofanya ziara ya kushtukiza eneo hilo ili kujionea hali halishi ya biashara ndogo ndogo. Mh. Lowassa aliianza ziara yake eneo hilo la Gongo la Mboto na baadae alipanda daladala mpaka Pugu Kajiungeni, jijini...

 

10 years ago

Mwananchi

Daladala wagoma Iringa,nauli zapaa

Madereva wa daladala zinazofanya safari zake katika maeneo ndani ya Manispaa ya Iringa wamegoma kutos huduma hiyo wakishinikiza Serikali kuzizuia pikipiki za miguu mitatu (Bajaji) kusafirisha abiria kama ilivyo kwa daladala.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani