Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


UDA wagoma!

418187_10150720984938420_416779873_n

Na Mwandishi wetu

MADEREVA wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), wanaofanya safari kati ya Mnazimmoja na Kivukoni jana waligoma kufanya kazi wakipinga agizo la uongozi kuwataka wapeleke hesabu ya sh 300,000 kwa siku.

Kutokana na mgomo huo abiria wanaosafiri katika njia hiyo, walipata usumbufu hadi pale ufumbuzi wa mgogoro huo ulipopatikana majira ya saa moja asubuhi.

Akizungumza niaba ya madereva na makondakta jijini Dar es Salaam, mmoja wa madereva, ambaye hakupenda jina lake...

Dewji Blog

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Habarileo

Madereva UDA wagoma

MGOMO uliokuwa umeanza leo wa madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) umezimwa baada ya uongozi wa shirika hilo kukubali kushughulikia malalamiko ya madereva hao.

 

10 years ago

Tanzania Daima

UDA wagoma kwa muda

MADEREVA wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), wanaofanya safari kati ya Mnazi mmoja na Kivukoni jana waligoma kwa muda wakipinga agizo la uongozi la kuwataka wapeleke hesabu ya...

 

10 years ago

Tanzania Daima

Madereva UDA wagoma tena

BAADHI ya madereva wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), jana waligoma kufanya kazi kwa muda wakipinga agizo la kupeleka hesabu ya sh. 205,000 wakidai kuwa haziwezi kupatikana kutokana...

 

10 years ago

Mwananchi

Madereva mabasi ya Uda wagoma

Madereva wa mabasi ya Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda), jana waligoma kushinikiza kupunguzwa kiwango cha fedha wanachotakiwa kurejesha kwa siku.

 

10 years ago

GPL

MADEREVA WA MABASI YA UDA WAGOMA KUINGIA KAZINI!

Picha zote zinaonyesha wakazi wa Mbagala wakiwa Mbagala Rangi Tatu wakisubiri usafiri na wengine wakipanda mabasi ya daladala kwa kugombea. Madereva wa Kampuni ya Usafi jijini Dar es Salaam (UDA), leo wamegoma kuingiza mabasi barabarani kwa kinachoelezwa ni madai mbalimbali ya haki zao dhidi ya shirika hilo. Kwa mujibu wa dereva mmoja ambaye hakupenda kuweka wazi jina lake, wamefikia hatua hiyo kufuatia uongozi wao kutosikia...

 

11 years ago

Habarileo

Mgogoro UDA

SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA), limeingia katika mgogoro na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kwa ukiukwaji wa masharti ya leseni.

 

10 years ago

Tanzania Daima

UKAWA wagoma

SIKU moja baada ya Bunge Maalum la Katiba kupitisha Katiba inayopendekezwa, Umoja wa Katiba ya Wananchi (UKAWA), umegoma kutambua matokeo ya kura zilizopigwa kupitisha Katiba hiyo. UKAWA ambao unaundwa na...

 

11 years ago

Habarileo

Daladala wagoma

WANANCHI jijini Mwanza jana walikumbana na adha ya usafiri baada ya madereva wa daladala kugoma bila taarifa kwa madai kuwa wamekuwa wakisababishiwa kero ya faini ya Polisi wa Usalama Barabarani pamoja na kupinga kituo kipya cha daladala kilichopo eneo la Buzuruga.

 

11 years ago

Mwananchi

Wawekezaji wa UDA: Tunahujumiwa

Kampuni ya Simon Group Limited inayoendesha Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) imeahidi kuboresha sekta ya usafiri huku ikilalamika kuna kampeni zinaendelea za kuwavuruga.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani