Wawekezaji wa UDA: Tunahujumiwa
Kampuni ya Simon Group Limited inayoendesha Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) imeahidi kuboresha sekta ya usafiri huku ikilalamika kuna kampeni zinaendelea za kuwavuruga.
Mwananchi
Habari Zinazoendana
11 years ago
Habarileo05 Jun
Mgogoro UDA
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA), limeingia katika mgogoro na Mamlaka ya Usafiri wa Nchi Kavu na Majini (Sumatra), kwa ukiukwaji wa masharti ya leseni.
10 years ago
Dewji Blog09 Oct
UDA wagoma!
Na Mwandishi wetu
MADEREVA wa Kampuni ya Usafiri Dar es Salaam (UDA), wanaofanya safari kati ya Mnazimmoja na Kivukoni jana waligoma kufanya kazi wakipinga agizo la uongozi kuwataka wapeleke hesabu ya sh 300,000 kwa siku.
Kutokana na mgomo huo abiria wanaosafiri katika njia hiyo, walipata usumbufu hadi pale ufumbuzi wa mgogoro huo ulipopatikana majira ya saa moja asubuhi.
Akizungumza niaba ya madereva na makondakta jijini Dar es Salaam, mmoja wa madereva, ambaye hakupenda jina lake...
10 years ago
Habarileo20 Oct
Madereva UDA wagoma
MGOMO uliokuwa umeanza leo wa madereva wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) umezimwa baada ya uongozi wa shirika hilo kukubali kushughulikia malalamiko ya madereva hao.
10 years ago
Mtanzania23 Mar
UDA taabani kifedha
Na Mwandishi wetu, Dar es Salaam
WAKATI Serikali ikitafakari kulipatia Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA) haki ya kuendesha mradi mkubwa wa mabasi yaendayo kasi katika Jiji la Dar es Salaam, kuna habari kuwa shirika hilo linaelekea kufilisika.
Habari za uhakika kutoka ndani ya shirika hilo zimebainisha kuwa kwa sasa UDA liko katika hali mbaya kifedha kiasi cha kushindwa kumudu gharama za kujiendesha, ikiwamo kushindwa kuwalipa wafanyakazi wake mishahara.
Chanzo hicho cha habari...
11 years ago
Tanzania Daima04 Jul
UDA yaitesa Sumatra
MAMLAKA ya Usafirishaji Majini na Nchi Kavu (Sumatra), imesema Shirika la Usafiri Dar es Salaam (UDA), kipindi hiki linawapa wakati mgumu kutokana na kushindwa kutii taratibu zilizowekwa barabarani. Akizungumza na...
10 years ago
Habarileo26 Sep
UDA yatimua madereva 42
SHIRIKA la Usafiri Dar es Salaam (UDA) limewafukuza kazi madereva wake 42 kwa makosa mbalimbali, yakiwemo utovu wa nidhamu. Makosa mengine yaliyosababisha wafukuzwe kazi ni, kuvunja sheria za barabarani kwa makusudi, kukatisha njia kinyume cha taratibu na kutoza nauli zisizo rasmi tofauti na zilizopo kwenye tiketi.
11 years ago
Tanzania Daima26 May
UDA giza nene
KAMATI ya Haki Kinga na Madaraka ya Bunge, imeanza kazi ya kuchunguza na kumhoji mmiliki wa kampuni ya usafiri ya mabasi jijini Dar es Salaam, Robert Kisena. Kisena, anadaiwa kuwatuhumu...
11 years ago
TheCitizen08 Jul
UDA must play by the rules
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Uda yazua kizaazaa bungeni