Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Uda yazua kizaazaa bungeni

Uuzwaji wa Shirika la Usafiri Dar es Salaam (Uda) jana uliibua utata juu ya uhuru wa mihimili mitatu ya nchi baada ya wabunge kutaka kujadili suala hilo, huku Mwanasheria Mkuu wa Serikali akipinga.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

10 years ago

Mwananchi

Majibu ya mapato ya Tanzanite yazua kizaazaa bungeni

Bunge limeagiza kuwa swali lililoulizwa na Mbunge wa Viti Maalumu (CCM), Kidawa Hamid Saleh kuhusu kiasi cha mapato yaliyotokana na mauzo ya Tanzanite katika kipindi cha mwaka 2011 hadi 2014, lijibiwe tena na Serikali.

 

10 years ago

Mwananchi

Helkopta ya Ndesamburo yazua kizaazaa

Helkopta ya Mbunge wa Moshi Mjini, Philemon Ndesamburo, imeleta kizaazaa, baada ya Kada wa CCM, Buni Ramolle ambaye aliikodi kwa ajili ya mikutano yake ya kutangaza nia ya kugombea ubunge katika jimbo hilo, kudai kuwa ni mbovu na ilitaka kumuua.

 

10 years ago

Mwananchi

IPTL yazua Kizaazaa Mahakamani

Kampuni za Pan Africa Power Solution Tanzania Limited (PAP) na Independent Power Tanzania Ltd (IPTL), zimewasilisha maombi ya kutaka Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato (TRA) akamatwe kwa kukiuka amri ya Bodi ya Rufaa za Kodi (TRAB) kwa kufuta Hati za Malipo ya Kodi za Mauzo ya Hisa (Capital Gain Certificate).

 

9 years ago

Mtanzania

Mabango ya Lowassa yazua kizaazaa

OTH_6104AZIZA MASOUD NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM

MABANGO yenye picha ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, yanayoendelea kubandikwa katika maeneo mbalimbali nchini yamezua kizaazaa, baada ya mengine kuondolewa na wale wanaofanya kazi ya kuyaweka kutishwa na hata kuwekwa ndani na Jeshi la Polisi.

Hali hiyo imejitokeza mkoani Iringa, ambako vijana wanaofanya kazi ya kuweka mabango hayo waliwekwa ndani na Jeshi la Polisi na jijini Dar es Salaam...

 

9 years ago

Mtanzania

Mamilioni ya Nyalandu yazua kizaazaa kanisani

nyalanduNa Veronica Romwald, Dar es Salaam

FEDHA zinazodaiwa kutolewa katika kanisa moja Dar es Salaam  na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, zimezua kizaazaaa kanisani hapo.

Nyalandu anaelezwa alichanga Sh milioni 50   kuunga mkono ujenzi wa Kanisa la ‘Holy Ghost Anglican Church’ la Kimara Resort.

Hatua hiyo imetokana na msimamo wa waumini wa kanisa hilo jana, kuibua hoja baada ya ibada ya asubuhi kanisani hapo.

Walihoji hatua ya Mchungaji wa kanisa hilo kushindwa kutoa...

 

11 years ago

BBCSwahili

Marufuku ya Miraa UK yazua kizaazaa Kenya

Wabunge kutoka eneo linalokuza mmea wa Khat au Miraa la Meru mashariki ya Kenya wametishia kuwasilisha mswada bungeni kulazimisha serikali kuwafukuza wakulima waingereza wanaoishi katika eneo hilo.

 

9 years ago

Mtanzania

Kodi ya TRA yazua kizaazaa Bakwata

Sheikh-Abubakar-Zuberi-bin-AllyNa Mwandishi Wetu, Dar es Salaam

MUFTI na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Sheikh Abubakari Zuberi, ameunda timu ya uchunguzi ambayo itapitia upya mikataba yote mibovu ya Baraza Kuu la Waislamu Tanzania (Bakwata).

Pamoja na hali hiyo pia ametangaza kumsimamisha kazi Mkurugenzi wa Utawala wa Bakwata, Makao Makuu,  Karim Majaliwa   kupisha uchunguzi juu ya kadhia ya magari 82  na tuhuma za matumizi mabaya ya ofisi.

Taarifa iliyotolewa jana kwa vyombo vya habari na kusainiwa na Mufti Zuberi ilieleza...

 

11 years ago

GPL

PICHA YA RAIS OBAMA NA ORTIZ YAZUA KIZAAZAA

Rais Obama akipiga picha na David Ortiz. IKULU ya Marekani imeikashifu kampuni ya simu ya Samsung kwa kutumia picha ya Rais Barack Obama aliyopiga na mchezaji maarufu nchini Marekani David Ortiz kama tangazo la kibiashara. Rais Obama akiwa na jezi yake baada ya kukabidhiwa na Ortiz. Picha hiyo ilipigwa na Ortiz mwenyewe akiwa na Rais Obama akitumia simu yake ya Samsung mapema wiki.
Hata hivyo kampuni ya Samsung...

 

10 years ago

Mwananchi

Kauli ya Obama kuhusu Ukristo yazua kizaazaa

Kauli ya Rais Barack Obama ya kuwataka Wakristo kujua kuwa Uislamu si dini pekee inayohusishwa na vurugu na mauaji, imezua kizaazaa duniani na baadhi wameanza kuhoji kama kiongozi huyo wa kwanza mweusi wa Marekani ni Mkristo.

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani