PICHA YA RAIS OBAMA NA ORTIZ YAZUA KIZAAZAA
![](http://api.ning.com:80/files/cPakA0chAEy2DIie-DcPw*n7-ccK3tGrCdEs9jWKljdZR4AgfUDzLfTzMZlgC0AmKXzddvp4KDCH6GidRi8fd56eeyURlaZh/OBAMANAORTIZ.jpg?width=650)
Rais Obama akipiga picha na David Ortiz. IKULU ya Marekani imeikashifu kampuni ya simu ya Samsung kwa kutumia picha ya Rais Barack Obama aliyopiga na mchezaji maarufu nchini Marekani David Ortiz kama tangazo la kibiashara. Rais Obama akiwa na jezi yake baada ya kukabidhiwa na Ortiz. Picha hiyo ilipigwa na Ortiz mwenyewe akiwa na Rais Obama akitumia simu yake ya Samsung mapema wiki. Hata hivyo kampuni ya Samsung...
GPL
Habari Zinazoendana
11 years ago
BBCSwahili04 Apr
Picha ya Rais Obama yazua kizaa zaa
10 years ago
Mwananchi08 Feb
Kauli ya Obama kuhusu Ukristo yazua kizaazaa
10 years ago
Mwananchi05 Dec
IPTL yazua Kizaazaa Mahakamani
9 years ago
Mtanzania05 Sep
Mabango ya Lowassa yazua kizaazaa
AZIZA MASOUD NA TUNU NASSOR, DAR ES SALAAM
MABANGO yenye picha ya mgombea urais kwa tiketi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), Edward Lowassa, yanayoendelea kubandikwa katika maeneo mbalimbali nchini yamezua kizaazaa, baada ya mengine kuondolewa na wale wanaofanya kazi ya kuyaweka kutishwa na hata kuwekwa ndani na Jeshi la Polisi.
Hali hiyo imejitokeza mkoani Iringa, ambako vijana wanaofanya kazi ya kuweka mabango hayo waliwekwa ndani na Jeshi la Polisi na jijini Dar es Salaam...
10 years ago
Mwananchi28 Apr
Helkopta ya Ndesamburo yazua kizaazaa
10 years ago
Mwananchi30 Jan
Uda yazua kizaazaa bungeni
11 years ago
BBCSwahili16 Apr
Picha ya Rais Kim Jong-Un yazua mgogoro
11 years ago
BBCSwahili14 May
Marufuku ya Miraa UK yazua kizaazaa Kenya
9 years ago
Mtanzania09 Nov
Mamilioni ya Nyalandu yazua kizaazaa kanisani
Na Veronica Romwald, Dar es Salaam
FEDHA zinazodaiwa kutolewa katika kanisa moja Dar es Salaam na aliyekuwa Waziri wa Maliasili na Utalii, Lazaro Nyalandu, zimezua kizaazaaa kanisani hapo.
Nyalandu anaelezwa alichanga Sh milioni 50 kuunga mkono ujenzi wa Kanisa la ‘Holy Ghost Anglican Church’ la Kimara Resort.
Hatua hiyo imetokana na msimamo wa waumini wa kanisa hilo jana, kuibua hoja baada ya ibada ya asubuhi kanisani hapo.
Walihoji hatua ya Mchungaji wa kanisa hilo kushindwa kutoa...