Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Picha ya Rais Obama yazua kizaa zaa

Ikulu ya Whitehouse imeikashifu kampuni ya simu ya Samung kwa kutumia picha ya Rais Barack Obama aliyojipiga na mchezaji maarufu nchini Marekani David Ortiz kama tangazo la kibiashara.

BBCSwahili

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

GPL

PICHA YA RAIS OBAMA NA ORTIZ YAZUA KIZAAZAA

Rais Obama akipiga picha na David Ortiz. IKULU ya Marekani imeikashifu kampuni ya simu ya Samsung kwa kutumia picha ya Rais Barack Obama aliyopiga na mchezaji maarufu nchini Marekani David Ortiz kama tangazo la kibiashara. Rais Obama akiwa na jezi yake baada ya kukabidhiwa na Ortiz. Picha hiyo ilipigwa na Ortiz mwenyewe akiwa na Rais Obama akitumia simu yake ya Samsung mapema wiki.
Hata hivyo kampuni ya Samsung...

 

10 years ago

Vijimambo

KIZAA ZAA BAGAMOYO ALIYEDHANIWA MAITI APUMUA WAKATI AKIKOSHWA!

Hospitali ya wilaya Bagamoyo ilithibitisha kuwa mgonjwa ni mauti !
Jasho lilianza kumtoka na joto kali la mwili ! Maziko hakuna tena !Bagamoyo,
Maajabu ya mwenyezi Mungu yametokea msibani huko mjini Bagamoyo katika eneo lijukanalo kama Majani Mapana jana baada ya mwanamama moja aletambulika kwa jina Bi.Hatujuani kuthibitishwa kuwa umauti umekuta au amekufa hatimaye amepumua wakati wakimkosha na kwa matayarisho ya kuvikwa sanda ambayo tayari ilikwisha shonwa,Bi.Hatujuani aliugua kwa muda na...

 

11 years ago

BBCSwahili

Picha ya Rais Kim Jong-Un yazua mgogoro

Viongozi wa Korea Kaskazini walitembelea saluni moja iliyoko mjini London, kutaka kujua ni kwa nini ilitumia picha ya kiongozi wao Kim Jong-un katika bango la kibiashara.

 

10 years ago

Mwananchi

Kauli ya Obama kuhusu Ukristo yazua kizaazaa

Kauli ya Rais Barack Obama ya kuwataka Wakristo kujua kuwa Uislamu si dini pekee inayohusishwa na vurugu na mauaji, imezua kizaazaa duniani na baadhi wameanza kuhoji kama kiongozi huyo wa kwanza mweusi wa Marekani ni Mkristo.

 

9 years ago

Bongo5

Rais Obama abandika picha aliyopiga na Sauti Sol wakicheza ‘Sura Yako’ kwenye ukuta wa White House

Mafanikio kwa bendi ya Sauti Sol ya Kenya yanazidi kuonekana siku hadi siku. Kwa mujibu wa Sauti Sol, Rais Obama amebandika picha aliyopiga na bendi hiyo wakicheza hit song yao ‘Sura Yako’, kwenye ukuta wa White House ya Marekani. Picha hiyo ilipigwa wakati wa ziara ya Obama nchini Kenya miezi miwili iliyopita ambapo Sauti Sol […]

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha Ya Lulu Na Idriss Yazua Mjadala

Ikiwa ni takribani siku Nne sasa tangu mtanzania, Idris Sultan kuibuka mshind kwenye shindao la Big Brother Africa (BBA ) hotshots 2014, na kunyakua kiasi cha zaidi ya milioni 500. Kama ilivyokuwa kwa watanzania wengi kumuunga mkono kuanzia kwenye kumuombea kura hadi kumpongeza aliposhinda, hali ilikuwa tofauti pale mwanadada  Elizabeth Michael aka Lulu ambe ni muigizaji maarufu wa filamu, alipompongeza  kwakuwepa picha  akiwa na mshiriki huyo na kumpongeza kwa kuandika  “He did...

 

10 years ago

Bongo Movies

Picha ya Wema Sepetu na ‘Mchumba’ wa Linnah Yazua Utata

Picha iliyosambaa mtandaoni ya Staa wa Bongo Movie,Wema Sepetu akiwa na aliyekuwa mchumba wa msanii wa Bongo Fleva,Linnah Sanga aitwaye Naga imezua utata baada ya mashabiki wa mwigizaji huyo kuhisi huenda amejiweka kwa mwanaume huyo baada ya kuachana na aliyekuwa mpenzi wake Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinumz.

Taarifa kutoka ‘kitaani’zinasema kuwa wawili hao wameingia kwenye uhusiano wa kimapenzi ili kulipiza kisasi cha miaka kadhaa iliyopita baada ya kusemekana kuwa Linnah aliwahi...

 

10 years ago

CloudsFM

Picha ya Zari akioga bafuni yazua gumzo mtandaoni

Picha ya mpenzi wa Staa wa Bongo Fleva,Diamond Platinum,Zari aliyoipost kwenye Account yake ya Instagram akiwa kwenye bafu akioga imezua gumzo kwenye mitandao huku wengine wakisema kuwa hakupaswa kuweka picha ile na kwamba amejianika na haina maadili.

Haya ni baadhi ya maoni ya mashabiki wakizungumzia picha hiyo: faridahfakhi Noo kinachotia kinyaa ni kwamba haikupaswa ajianike apo ili iweje istoshe kamera zinawastili watu

santamolly1234 ajui kulea bhana amewaacha watoto ug anakuja kula bhata...

 

10 years ago

BBCSwahili

Unamfahamu dadake rais Obama,Auma Obama?

Je ulimwona rais Obama akimkumbatia mwanamke aliyekuwa mwisho kabisa katika foleni ya wale waliomkaribisha Kenya ijumaa usiku

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani