Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


KIZAA ZAA BAGAMOYO ALIYEDHANIWA MAITI APUMUA WAKATI AKIKOSHWA!

Hospitali ya wilaya Bagamoyo ilithibitisha kuwa mgonjwa ni mauti !
Jasho lilianza kumtoka na joto kali la mwili ! Maziko hakuna tena !Bagamoyo,
Maajabu ya mwenyezi Mungu yametokea msibani huko mjini Bagamoyo katika eneo lijukanalo kama Majani Mapana jana baada ya mwanamama moja aletambulika kwa jina Bi.Hatujuani kuthibitishwa kuwa umauti umekuta au amekufa hatimaye amepumua wakati wakimkosha na kwa matayarisho ya kuvikwa sanda ambayo tayari ilikwisha shonwa,Bi.Hatujuani aliugua kwa muda na...

Vijimambo

Read more


Habari Zinazoendana

11 years ago

BBCSwahili

Picha ya Rais Obama yazua kizaa zaa

Ikulu ya Whitehouse imeikashifu kampuni ya simu ya Samung kwa kutumia picha ya Rais Barack Obama aliyojipiga na mchezaji maarufu nchini Marekani David Ortiz kama tangazo la kibiashara.

 

11 years ago

Michuzi

BASI LA SUMRY LAUA WATU 1( WAKATI WAKISITIRI MAITI ILIYOGONGWA NA GARI SINGIDA.


WATU 19 wakiwemo askari Polisi wanne wamepota maisha katika ajali ya barabarani, wakati basi linalomilikiwa na Kampuni ya Sumry, lilipopamia watu hao wakati wakimsitiri mtembea kwa miguu, aliyekufa kwa kugongwa na gari lisilofahamika. Ajali hiyo ilitokea usiku wa kuamkia jana katika Kijiji cha Utaho, kilometa 20 nje ya Mji wa Singida katika Barabara Kuu ya Singida Dodoma. 
Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Singida, Kamishina Msaidizi Mwandamizi, Geofrey Kamwela, alisema jana kuwa...

 

11 years ago

Habarileo

Aliyedhaniwa kufa ajitokeza

KATIKA hali isiyotarajiwa umati wa wakazi wa Mji wa Mpanda mkoani Katavi ulitimua mbio msibani baada ya mwendesha bodaboda Mohamed Kalyalya (24) aliyedhaniwa kuwa amekufa kujitokeza msibani hapo akiwa hai.

 

9 years ago

BBCSwahili

Aliyedhaniwa amefariki aamka kabla ya upasuaji

Mwanamume aliyedhaniwa kuwa alikuwa amefariki aliamka muda mfupi kabla ya kufanyiwa upasuaji katika chumba kimoja cha kuhifadhia maiti India.

 

11 years ago

GPL

JHIKOMAN ATEMBELEA SHULE YA MUZIKI YA REUTLINGEN,UJERMANI : WANAFUNZI NA WAKUU WA SHULE WAAHIDI KUTEMBELEA BAGAMOYO ! KILA WAKATI

Darasa la muziki katika taasisi ya shule ya muziki Reutlingen,Ujerumani . Jhikoman akiwafundisha wanafunzi kutumia gitaa katika shule ya muziki Reutlingen.…

 

10 years ago

GPL

MAMA KANUMBA: WEMA ZAA FASTA

Stori: MAYASA MARIWATA
MAMA wa aliyekuwa nguli wa sinema za Kibongo, Steven Kanumba, Flora Mtegoa amempa darasa la kuzaa haraka mwigizaji Wema Sepetu na mpenzi wake, Nasibu Abdul ‘Diamond’. Msanii wa filamu Bongo Wema Sepetu. Mama Kanumba alifunguka hayo hivi karibuni alipokuwa akipiga stori na mwanahabari wetu ambapo alipotakiwa kutoa ushauri juu ya penzi la Wema aliyewahi kuwa mpenzi wa mwanaye, mama huyo...

 

11 years ago

Tanzania Daima

Ni nini maana ya shughuli za kimwili?

WIKI iliyopita makala ililenga sababu na faida  za mazoezi na hatari ya kukaa bila zoezi au maisha ya kutojishughulisha. Makala ya wiki hii tutajadili nini maana ya shughuli za kimwili ...

 

10 years ago

GPL

HONGERA‭ ‬WEMA‭, ‬DIAMOND ACHA TABIA ZA‭ ‬KISWAZI

KWENU mastaa wawili wenye ‘taito’ ya juu ndani ya Bongo, Wema Isaack Sepetu ‘Madam’ na Nasibu Abdul ‘Diamond’, mambo vipi? Mko poa? Binafsi mimi ni mzima wa afya, namshukuru Mungu, naendelea na majukumu yangu kama kawaida. Jukumu nililonalo kupitia ukurasa huu ni kuwakumbuka kupitia barua hii. Nikianza na Madam, kwanza nakupongeza sana kwa hatua uliyofikia kisiasa. Umepata kura 90 na...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani