Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Aliyedhaniwa kufa ajitokeza

KATIKA hali isiyotarajiwa umati wa wakazi wa Mji wa Mpanda mkoani Katavi ulitimua mbio msibani baada ya mwendesha bodaboda Mohamed Kalyalya (24) aliyedhaniwa kuwa amekufa kujitokeza msibani hapo akiwa hai.

habarileo

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

BBCSwahili

Aliyedhaniwa amefariki aamka kabla ya upasuaji

Mwanamume aliyedhaniwa kuwa alikuwa amefariki aliamka muda mfupi kabla ya kufanyiwa upasuaji katika chumba kimoja cha kuhifadhia maiti India.

 

10 years ago

Vijimambo

KIZAA ZAA BAGAMOYO ALIYEDHANIWA MAITI APUMUA WAKATI AKIKOSHWA!

Hospitali ya wilaya Bagamoyo ilithibitisha kuwa mgonjwa ni mauti !
Jasho lilianza kumtoka na joto kali la mwili ! Maziko hakuna tena !Bagamoyo,
Maajabu ya mwenyezi Mungu yametokea msibani huko mjini Bagamoyo katika eneo lijukanalo kama Majani Mapana jana baada ya mwanamama moja aletambulika kwa jina Bi.Hatujuani kuthibitishwa kuwa umauti umekuta au amekufa hatimaye amepumua wakati wakimkosha na kwa matayarisho ya kuvikwa sanda ambayo tayari ilikwisha shonwa,Bi.Hatujuani aliugua kwa muda na...

 

10 years ago

Habarileo

Laizer ajitokeza kupambana na Lema

Mbunge wa Arusha Mjini, Godbles Lema.JOTO la ubunge kwenye jimbo la Arusha Mjini, limezidi kupanda mara baada ya kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) mkoani Arusha, Francis Laizer kutangaza rasmi kuwania ubunge katika jimbo hilo, endapo akipewa ridhaa na chama chake kugombea.

 

5 years ago

CCM Blog

KIONGOZI WA KOREA KASKAZINI AJITOKEZA HADHARANI

Kiongozi wa Korea Kaskazini Kim Jong-un hatimaye amejitokeza hadharani katika uzinduzi wa kiwanda cha mbolea Ijumaa Mei 1 baada ya uvumi kuhusu afya yake, limesema shirika la habari la serikali la KCNA.
Shirika la habari la KCNA limesema wafanyakazi katika kiwanda cha mbolea walianza ," kushangiliia kwa nguvu" wakimshangilia Kim, ambao shirika hilo lilisema , analiongoza taifa hilo katika mapambano ya ujenzi wa uchumi wa kujitegemea kutokana na "upepo mkali unaokuja" kutoka kwa "nguvu...

 

9 years ago

Habarileo

Mwajuma ajitokeza kuwania Urais UPDP Zanzibar

MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha UPDP, Mwajuma Ali Khamis amejitokeza katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu. Alikabidhiwa fomu na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum Jecha.

 

5 years ago

CCM Blog

MWANAMKE WA KWANZA AJITOKEZA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR


Kada wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Mwatum Mussa Sultan akiwa Mwanamke wa Kwanza kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar akiwa ni Mwanachama wa 11 kujitokeza kuchukua Fomu leo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Akionesha mkoba ukiwa na Fomu za Kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa akiwaonesha Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo leo. Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu za kugombea Urais wa...

 

11 years ago

Mwananchi

Mumewe Flora Mbasha ajitokeza, afichua siri

>Emmanuel Mbasha, ambaye ni mume wa mwimbaji nguli wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amejitokeza hadharani na kusema kwamba atakwenda polisi mwenyewe kujibu tuhuma dhidi yake za kumbaka shemeji yake mwenye umri wa miaka 17.

 

10 years ago

GPL

KIJANA AJITOKEZA KWENYEZA KWENYE MAZISHI YAKE

Stori: Makongoro Oging’
DA! Duniani kuna mambo jamani! Katika hali isiyo ya kawaida, maeneo ya Tandale Kwatumbo jijini Dar, waombolezaji hawakuamini macho yao wakati walipomuona ‘marehemu’ Mohamed Salum ‘Fido’ (29) (pichani), akirejea nyumbani hapo huku maandalizi ya mazishi yake yakipamba moto na waombolezaji, hasa mkewe, mtoto na ndugu wakilia kwa uchungu kufuatia ‘kifo’ chake. ...

 

11 years ago

Michuzi

MWALIMU AJITOKEZA KUOMBA UBUNGE KALENGA KUPITIA CHADEMA

Katibu  wa  Chadema  wilaya ya  Iringa  vijijini Felix Nyondo akipokea fomu  kutoka kwa Mwalimu Vitus Lawa (kulia) fomu za kuwania kinyang'anyiro cha kuwa mgombea wa chadema jimbo la Kalenga Baadhi ya wadau waliomsindikiza Mwalimu Vitus Lawa kurejesha fomu za kuchaguliwa kuwania ubunge wa jimbo la Kalenga katika ofisi za chama hicho zilizoko kata ya Gangilonga. Mwalimu Lawa  akizungumza na wafuasi  wake Mwalimu Vitus Lawa akizungumza na waandishi (hawapo pichani)baada ya...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani