Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


MWANAMKE WA KWANZA AJITOKEZA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR


Kada wa Chama cha Mapinduzi Mhe. Mwatum Mussa Sultan akiwa Mwanamke wa Kwanza kuchukua Fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar akiwa ni Mwanachama wa 11 kujitokeza kuchukua Fomu leo katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar. Akionesha mkoba ukiwa na Fomu za Kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa akiwaonesha Waandishi wa habari wa vyombo mbalimbali waliohudhuria hafla hiyo leo. Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Fomu za kugombea Urais wa...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Habarileo

Mwajuma ajitokeza kuwania Urais UPDP Zanzibar

MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha UPDP, Mwajuma Ali Khamis amejitokeza katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu. Alikabidhiwa fomu na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum Jecha.

 

5 years ago

CCM Blog

KHAMIS MUSSA OMAR AJITOKEZA KUCHUKUA FOMU YA URAIS ZANZIBAR

Kada 17 wa Chama Cha Mapinduzi Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango Zanzibar.Ndg. Khamis Mussa Omar ajitikeza kuchukua Fomu ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM, hafla hiyo imefanyika leo katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar.Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg. Galos Nyimbo akimkabidhi Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia CCM Ndg. Khamis Mussa Omar, alipojitokeza kuchukua fomu hiyo leo katika Afisi Kuu ya CCM Zanzibar. Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg....

 

5 years ago

CCM Blog

NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, HAMAD MASAUNI AJITOKEZA KUOMBA RIDHAA YA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchiu Eng. Mhe. Hamad Masauni akiwa na mkoba ukiwa na Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg Galos Nyimbo, Hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.  Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiongozana na  mkewe Thania Abdulla(kulia) wakati akiwasili Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM),kuchukua fomu...

 

10 years ago

Mwananchi

‘Watakaopitishwa kugombea Urais wote wapimwe afya zao kwanza’

Wagombea nafasi ya urais  kwenye Uchaguzi Mkuu ujao wameshauriwa kupima afya zao kabla ya kuingia kwenye kinyang’anyiro hicho, ili kuepuka gharama za matibabu ya mara kwa mara za kiongozi huyo mkubwa wa nchi.

 

9 years ago

Vijimambo

Mgombea Urais wa Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila Arejesha fomu ya Kugombea Urais wa Zanzibar Tume ya Uchaguzi ZEC.

Mgombea Urais wa ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwasili katika viwanja vya Afisi ya Tume ya Uchaguzi ziliko katika hoteli ya Bwawani Zanzibar kwa ajili ya kurejesha famu yake ya kugombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha ACT. Mgombea Urais kupitia Chama cha ACT Mhe Khamis Iddi Lila akiwa na mkoba wake wa fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar akishindikizwa na Viongozi wa Chama hicho wakiwasili katika Afisi za Tume ya Uchaguzi Zanzibar ZEC bwawani Zanzibar. Mgombea Urais wa Zanzibar kupitia Chama...

 

10 years ago

Habarileo

Hamad Rashid kugombea urais Zanzibar

MBUNGE wa Wawi, Hamad Rashid Mohamed (CUF) ametangaza kugombea urais wa Zanzibar huku akimtuhumu na kumkosoa Katibu Mkuu wa chama chake, Seif Sharif Hamad.

 

10 years ago

Mwananchi

Shein aidhinishwa kugombea urais Zanzibar

>Halmashauri Kuu ya CCM inayokutana mjini Dodoma leo imemuidhinisha rasmi Dr Ali Mohamed Shein

 

10 years ago

Vijimambo

KIKAO CHA KAMATI MAALUM YA CCM ZANZIBAR. YAPITISHA JINA LA DK SHEIN KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR KUPITIA CCM.

WAJUMBE wa Kamati Maalum ya CCM Zanzibar wakiwa katika ukumbi wa Mkutano Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandua kwa ajili ya kupitisha Jina la Mgombea Nafasi ya Urais wa Zanzibar Dk. Shein,MAKAMU Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk Ali Mohamed Shein, akisalimiana na Makamu wa Rais wa Dkt. Mohammed Gharib Bilal wakati wa Kikao cha Kamati Maalum ya CCM Zanzibar ilokutana kupitisha Jina la Mgombea wa Urais wa Zanzibar.VIONGOZI wa Meza Kuu wakiwa wamesimama baada ya kuingia katika ukumbi wa Mkutano.NAIBU Katibu...

 

9 years ago

Michuzi

DK.SHEIN ACHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS WA ZANZIBAR

 Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar na Mkewe Mama Mwanamwema  Shein wakisalimiana na Viongozi walipofika katika Ofisi Kuu ya CCM Kisiwandui kupata baraka za Wazee wa Chama  kabla ya kuelekea kuelekea katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi ZEC  Bwawani Hotel Mjini Unguja kuchukua fomu  leo.

Mgombea nafasi ya Urais wa Zanzibar kupitia Chama cha Mapinduzi CCM Dk.Ali Mohamed Shein akiwa Makamo Mwenyekiti...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani