Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI, HAMAD MASAUNI AJITOKEZA KUOMBA RIDHAA YA KUWANIA URAIS ZANZIBAR

Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchiu Eng. Mhe. Hamad Masauni akiwa na mkoba ukiwa na Fomu ya kugombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa na Katibu wa Idara ya Oganizesheni ya CCM Zanzibar Ndg Galos Nyimbo, Hafla hiyo imefanyika katika Afisi Kuu ya CCM Kisiwandui Jijini Zanzibar.  Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akiongozana na  mkewe Thania Abdulla(kulia) wakati akiwasili Afisi Kuu ya Chama cha Mapinduzi(CCM),kuchukua fomu...

CCM Blog

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Michuzi

WATUMISHI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAMPOKEA NAIBU WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI MH. HAMAD MASAUNI

Naibu waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mh. Hamad Masauni wa kwanza kushoto akisalimiana na Kamisha wa Operesheni na Mafunzo wa Jeshi la Polisi Paul Chagonja wa pili kulia muda mfupi baada ya Naibu waziri huyo kukaribishwa wizarani hapo baada ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Magufuli kumuapisha kushika wadhifa huo Ikulu jana jijini Dar es Salaam wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA).Katibu Mkuu wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi...

 

5 years ago

CCM Blog

IDD HAMAD IDD AJITOSA KUCHUKUA FOMU ZA KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

Kada wa CCM Idd Hamad Idd nae achukua fomu kuwania urais wa Zanzibar kupitia CCM. Ni mtia nia wa 29

 

9 years ago

Habarileo

Mwajuma ajitokeza kuwania Urais UPDP Zanzibar

MGOMBEA wa urais wa Zanzibar kwa tiketi ya chama cha UPDP, Mwajuma Ali Khamis amejitokeza katika Ofisi za Tume ya Uchaguzi kuchukua fomu. Alikabidhiwa fomu na Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Zanzibar, Jecha Salum Jecha.

 

10 years ago

Vijimambo

WAZIRI BERNARD MEMBE ACHUKUA FOMU YA KUOMBA RIDHAA YA KUTEULIWA KUGOMBEA NAFASI YA URAIS 2015

 Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Bernard Membe leo June 8, 2015 amechukua fomu za kuomba ridhaa ya kugombea Urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) makao makuu ya chama hicho mjini Dodoma baada ya kutangaza nia hiyo jana (Jumapili). Waziri Membe akipokelewa fomu na Mkewe Dorcas mara baada ya kukabidhiwa fomu mjini Dodoma. Waziri Membe alipokelewa na makada na wafuasi wa chama hicho mjini Dodoma baada ya kukabidhiwa fomu hiyo na Katibu wa Halmashauri Kuu ya Taifa...

 

10 years ago

Michuzi

NDEREMO ZATAWALA WAKATI Dk.Ali Mohamed Shein AKICHUKUA FOMU KUOMBA RIDHAA YA KUGOMBEA URAIS ZANZIBAR

 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akionesha mkoba wa wenye fomu kuomba ridhaa kwa Chama cha Mapinduzi kumteuwa kuwa mgombea Urais wa Zanzibar baada ya kukabidhiwa Fomu hizo katiuka Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein akiwapungia mkono Wanachama wa CCM waliofika Viwanja vya Jengo la Ofisi ya CCM Kisiwandui Mjini Unguja leo  wakati alipofika kuchukua fomu kuomba ridhaa kwa...

 

9 years ago

Michuzi

UJUMBE WA UBALOZI WA CHINA NCHINI WAMTEMBELEA WAZIRI WA MAMBO YA NDANI YA NCHI WAKUBALIANA KUIMARISHA USHIRIKIANO NA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI

 Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China hapa nchini, Lu Youqin akizungumza katika kikao na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi. Mhe. Charles Kitwanga (wa pili upande wa kushoto).  Katika kikao hicho kilichofanyika Wizara hapo, viongozi hawa walijadili masuala mbalimbali kuhusu ushirikiano wa Serikali ya China na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.  Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe. Charles Kitwanga (wa kwanza upande wa kulia), akimsikiliza Balozi wa Jamhuri ya Watu wa China nchini Tanzania, Lu...

 

5 years ago

Michuzi

MASAUNI ACHUKUA FOMU YA KUOMBA KUTEULIWA KUGOMBEA URAIS WA SERIKALI YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR

 Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya kuomba kuteuliwa na Chama cha Mapinduzi (CCM), kugombea nafasi ya Urais wa Zanzibar.Kushoto ni Katibu Kamati Maalumu ya  NEC na Idara ya Oganaizesheni,fomu hiyo amechukua leo katika Afisi ya CCM Kisiwandui Zanzibar.Picha na Abubakari Akida Mbunge wa Jimbo la Kikwajuni na Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni akionyesha mkoba wenye fomu ya...

 

10 years ago

Michuzi

NAIBU WAZIRI WA WIZARA YA MAMBO YA NDANI YA NCHI AFUNGUA MKUTANO WA VITAMBULISHO VYA TAIFA BARANI AFRIKA.

 Naibu Waziri wa Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Pereira Ame Silima akikata utepe kuzindua mkutano  wa Kimataifa kuhusu Vitambulisho vya Taifa vya Kielektroniki, ulioanza leo jijini Dar es Salaam katika Hoteli ya Serena, Kulia kwa Naibu Waziri ni Waziri wa Maendeleo na Mshikamano wa  Jamii  wa Jamhuri ya Djibout, Zahar Youssuouf Kayad na Kaimu Mkurugenzi wa Wakala wa Vitambulisho vya Taifa (NIDA) hapa nchini, Joseph Makani na kushoto ni Naibu Waziri wa Mawasiliano wa Ghana, Bw. Edward Ato...

 

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani