Jobs

Sales Representative

NORTH AMERICA ALIGN WORKERS EMPLOYMENT PROGRAM (NAAWEP)
Deadline: Oct 26, 2105




POPULAR ON YOUTUBE


Mumewe Flora Mbasha ajitokeza, afichua siri

>Emmanuel Mbasha, ambaye ni mume wa mwimbaji nguli wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amejitokeza hadharani na kusema kwamba atakwenda polisi mwenyewe kujibu tuhuma dhidi yake za kumbaka shemeji yake mwenye umri wa miaka 17.

Mwananchi

Read more


Habari Zinazoendana

9 years ago

Bongo5

Flora Mbasha afuta kesi ya talaka dhidi ya mumewe, ‘bado nampenda sana mume wangu’

Ndoa ya Flora Mbasha na mume wake Emmanuel Mbasha bado ipo hai baada ya wawili hao kukubali kuifuta kesi ya talaka iliyodumu kwa takriban mwaka mmoja. Flora ndiye aliyefungua kesi hiyo baada ya kutokea mgogoro kwenye ndoa yao iliyosababishwa na kesi ya kudaiwa kubaka aliyoshtakiwa mumewe. Hata hivyo Emmanuel hivi karibuni alikuwa mtu huru baada […]

 

11 years ago

Bongo Movies

Mmmh! Hii sasa ni kubwa kuliko! William Mtitu amfungukia haya Flora Mbasha kuhusu mumewe.

Lile sataka la kubaka linalomkabili mume wa mwanamuziki maafuru wa nyimbo za dini – Flora Mbasha limechukua sura mpya baada ya hapo jana mwigizaji na mwongozaji maarufu wa filamu nchini William Mtitu (Pichani) kuamua kufunguka haya juu ya mwanamziki huyu.

Hatutaki kukupotezea muda, jisomee mwenyewe hapo chini kasha “utafakari”.

 

Huku akiwa ameweka picha hiyo hapo juu ya Flora Mbasha na mumewe Mtitu alinzanza kwa kuandika…

 

“Ukiiangalia vizuli hii picha utagundua kitu katika macho ya...

 

10 years ago

GPL

FLORA ATOA USHAHIDI KESI YA MBASHA KWA SIRI

Mwimbaji wa Injili, Flora Mbasha, akiwa na mume wake, Emmanuel Mbasha. KESI ya kudaiwa kumbaka shemeji yake inayomkabili mfanyabiashara na mwimba Injili Bongo, Emmanuel Mbasha imeendelea kuunguruma leo katika Mahakama ya Ilala jijini Dar ambapo mkewe Flora alifika na kutoa ushahidi kwa siri. Kesi hiyo ilianza kuunguruma kwenye ofisi ya hakimu (Chamber), mishale ya saa 5 hadi saa 8 mchana mbele ya Hakimu Mfawidhi wa Mahakama...

 

9 years ago

GPL

FLORA MBASHA AKIRI: MWANANGU SI WA MBASHA!

Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha. Waandishi wetu OHOOO! Kimenuka tena. Mwimbaji wa nyimbo za Injili, Flora Mbasha amesema mwanaye mdogo (jina linahifadhiwa) hahusiani hata kidogo na aliyekuwa mumewe, Emmanuel Mbasha huku akidai kuwa anamtambua mwanaume huyo kama mzazi mwenzake kwa mtoto mmoja tu (Liz), Risasi Jumatano linakupa zaidi. Mtoto anayedaiwa kuibuwa mazito. Akizungumza na...

 

10 years ago

Vijimambo

11 years ago

GPL

MBASHA, FLORA WAPATANA

Stori: WAANDISHI WETU HAKUNA neno zuri la kusema zaidi ya Mungu mkubwa! Ule mtafaruku ndani ya ndoa ya mwimba Injili mahiri Bongo, Flora na mumewe, Emmanuel Mbasha umedaiwa kumalizika kwa wawili hao kupatana, Risasi Jumamosi linakuwa nambari wani kukuhabarisha.
Kwa mujibu wa chanzo cha uhakika, wawili hao walikalishwa kikao cha upatanishi mapema wiki hii kilichokuwa chini ya familia. Mume wa Flora Mbasha, Bw. Emmanuel Mbasha. ...

 

11 years ago

GPL

FLORA MBASHA AVAMIWA

Stori: Makongoro Oging'
SIKU chache baada ya tuhuma za ubakaji na mzozo wa familia ya mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha na mumewe, Emanuel Mbasha, mambo mengine yameibuka. Mwimba Injili mahiri nchini, Flora Mbasha Yaliyoibuka safari hii ni taarifa kwamba, juzikati, Flora alivamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake, Tabata Kimanga jijiini Dar dakika chache baada ya yeye kuingia na gari akitokea mafichoni anakoishi...

 

10 years ago

Vijimambo

Share

Magazeti ya Leo

Stay updated, Sign up

Habari za Mikoani